Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Dar: Mkutano Mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi, Yeremia Kulwa Maganja ateuliwa kuwania Urais Tanzania

Na mie kila nikisikia Zitto anajiita Kiongozi Mkuu hunikumbusha madikteta wa North Korea, maana ndivyo wanavyoitwa mpaka leo. Na Zitto anatoa teuzi wakati mwenyekiti yupo, na katibu mkuu yupo. Ndo maana nashangaa hiki cheo cha Zitto.
Huenda katiba yao inampa mamlaka hayo.
 
Mkutano mkuu wa chama cha NCCR Mageuzi umempitisha Yeremia Kulwa Maganja kupeperusha bendera ya chama hicho kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kura 231 kati ya 258, sawa na asilimia 89%, kura 20 za hapana huku saba zikiharibika.

Uyu mbatia si anamuunga mkono magufuli
 
Population ya kule ni 60% ya wapigakura ( sensa) iliyopita. Magu anauhakika mpaka sasa 57% ya 60%. Hatari fire.
Kanda ya ziwa hata usipopata kura hata moja Kanda zingine njebya ziwa unakamata Uraisi
Kanda ya ziwa nfio huamua Nani awe Raisi sababu ya population yao hasa mikoa ya wasukuma na wanyamwezi

Magufuli kule anashinda mapema asubuhi Sasa ukiunganisha na anavyopendwa mikoa mingine atashinda kwa kishindo kikubwa
 
Wanatia huruma
IMG_20200808_083637_084.JPG
 
Back
Top Bottom