DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Nadhani walioyaandika hayo walipoteza muda wao bure maana hao ndugu zetu tunaishi nao kawaida tu huku mtaani. Tena vizuri tu.Usilokijua ni usiki wa giza nene sana.
Hivi unajua kwamba kwenye qurani imeandikwa juu ya kupatwa kwa jua na mwezi ? Na nini kifanyike ikitokea kimoja wapo kupatwa ?
Mkuu waislamu huwa hawakurupuki,kitabu chao kinaelezea kila kitu mpaka jinsi ya kuvaa nguo mpya,jinsi ya kula,kuamka,kuishi na majirani,kuingia chooni,kumwingilia mkeo,kutembea juu ya ardhi,unaposafiri,unapouza,unaponunua,Kupatwa kwa mwezi,kupatwa kwa jua,nk.
Hakuna kilichoachwa kwenye uislam.
mpaka jinsi ya kumtii Rais ipo kwenye qurani