Yaliyojiri kupatwa kwa Mwezi Usiku wa leo July 27-28,2018

Science means,, intellectual and practical activity encompassing the systematic study of the structure and behaviour of the physical and natural world through observation and experiment.
Mkuu unachokiandika hapo siyo science we expected ungetupa article au utwambie mwanasayansi gani au kitabu gani kimeeleza hivyo... u cant just say some scientific facts from ur head bila proof...
Proof zipo, angalia surface ya moon ilivyo. Hundreds of thou bombardment zilivyoipiga, soo probably zile ndizo zilizounda.
Sayansi Ya unajimu ni tofauti sana na sayansi ya afya acha kukariri.. Ndio maana kuna theories nyingi sana zinazoelezea origin ya moon.
Gugo utazipata hii ya kugongana ni moja kati ya nyingi
 
Last edited:
Kuna watu walianza kuswali walifikiri mwisho wa dunia. Tunaishukuru Serikali kukamata maderereva wakasome wakimaliza waende na kada nyingine.
 
Proof zipo, angalia surface ya moon ilivyo. Hundreds of thou bombardment zilivyoipiga, soo probably zile ndizo zilizounda.
Sayansi Ya unajimu ni tofauti sana na sayansi ya afya acha kukariri.. Ndio maana kuna theories nyingi sana zinazoelezea origin ya moon.
Gugo utazipata hii ya kugongana ni moja kati ya nyingi
Acha siasa kijana.. hizo theory unazosema wewe ni zipi? si uzilete humu na sisi tuzione... Of coz kuna theory zinaelezea formation ya earth's moon, but that is not a guarantee kwamba other planetary moons where formed in the same way...by the way a theory is just a theory (can be right or can be wrong).. Lete source ya information zako wanasayansi wenzio wakuelewe...

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mwezi unaizunguka dunia tena???!!! Duhh, umeanza lini?
Mwezi unaizunguka dunia, ndio na imeanza toka solar system ilipoanza. Mwezi Unakamilisha kuzunguka dunia baada ya siku 28-29.
Tunapoanza mwezi mpya mfano july kwenda august sio kwamba walijiamulia tu, ni kutokana na hili la mwezi kuizunguka dunia. Wakati dunia inajizingushha ktk muhimili wake na pia ikiwa safarini kulizunguka jua, pembezoni iko na mwezi ukiizunguka dunia.

Ila ngoja nizame youtube university nijue zile siku za ziada ktk mwezi kuufanya uwe na siku 30 au 31 zilipatikana vipi.

Nadhani the extra days mfano ya siku 31 ni to make up the number ikamilishe 364/365 daya.
 
Last edited:
Acha siasa kijana.. hizo theory unazosema wewe ni zipi? si uzilete humu na sisi tuzione... Of coz kuna theory zinaelezea formation ya earth's moon, but that is not a guarantee kwamba other planetary moons where formed in the same way...by the way a theory is just a theory (can be right or can be wrong).. Lete source ya information zako wanasayansi wenzio wakuelewe...

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Naona umemng'ang'ania ila upo sahihi alete source either ya link au atuwekee kitabu na page # yake.
 
Uliandika point nzuri sana kwamba tuwe karibu na vitabu.. ila unaonyesha we bado uko mbali na vitabu.. uranus has 27 moons, mars has 2 moons... paka pluto ina miezi kadhaa...
Kweli geography imenipita kushoto lakini kuna mengine niliambulia ambulia... nijuavyo sayari zote zina miezi leo naambiwa mwezi upo sayari ya Dunia pekee.

Haya labda na wewe unisaidie hilo chimbuko la mwezi/miezi ni nini?
 
Science means,, intellectual and practical activity encompassing the systematic study of the structure and behaviour of the physical and natural world through observation and experiment.
Mkuu unachokiandika hapo siyo science we expected ungetupa article au utwambie mwanasayansi gani au kitabu gani kimeeleza hivyo... u cant just say some scientific facts from ur head bila proof...
umembana mbavu hatari
 
Habari mkuu,mambo ya kuelimishana tu,mwezi hauna mwanga mkuu,kule ni vumbi tupu,ule mwanga unaona ni reflection ya mwanga wa jua,na hata ukibahatika kwenda kwenye mwezi,utaiona dunia na yenyewe ina mwanga kama ilivyo mwezi,source ya mwanga ni jua tu mkuu.
Mwezi una mwanga japo mwanga huo ni ule ambao umeakisiwa kutoka kwenye jua.
 
Hivi mwezi nao unaweza sema ni chanzo cha mwanga wa asili kweli?
Mwez unaakisi wa jua iweje iwe chanzo? !!
Labda nimekosa msamiati sahihi wa kuutumia badala ya "chanzo". Lakini wote tunafahamu mwanga tunauona usiku untokana na mwezi. Sjakataa kwamba mwezi unaakisi mwanga huo toka kwenye jua.
 
Waambie tu siku ya mwisho itakuja "kama mtego"....hakuna atakaye kuwa taarifa wala fununu ya lini na wapi na wala viashiria vyake.

Siku ya mwisho sio siku iliyo katika utaratibu wa saa 24 kiasi kwamba tuweze kusema ni tarehe fulan ndo itakua siku ya mwisho,

Tatizo la walokole na hawa ndugu zetu wa al-qaeda wanapenda kutumia hisia badala ya kuelekeza mioyo yao kwa Mungu ndo maana leo wanapiga kelele sana wanafkiri ndo siku ya mwisho
Usilokijua ni usiki wa giza nene sana.
Hivi unajua kwamba kwenye qurani imeandikwa juu ya kupatwa kwa jua na mwezi ? Na nini kifanyike ikitokea kimoja wapo kupatwa ?
Mkuu waislamu huwa hawakurupuki,kitabu chao kinaelezea kila kitu mpaka jinsi ya kuvaa nguo mpya,jinsi ya kula,kuamka,kuishi na majirani,kuingia chooni,kumwingilia mkeo,kutembea juu ya ardhi,unaposafiri,unapouza,unaponunua,Kupatwa kwa mwezi,kupatwa kwa jua,nk.
Hakuna kilichoachwa kwenye uislam.
mpaka jinsi ya kumtii Rais ipo kwenye qurani
 
Kweli geography imenipita kushoto lakini kuna mengine niliambulia ambulia... nijuavyo sayari zote zina miezi leo naambiwa mwezi upo sayari ya Dunia pekee.

Haya labda na wewe unisaidie hilo chimbuko la mwezi/miezi ni nini?
Sio kweli kwamba ni dunia pekee yenye mwezi.

Zipo sayari pia zenye miezi zaidi ya mmoja.
 
Back
Top Bottom