Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,447
- 21,159
Yaan me mwenyewe ndio kabisaaa nimeachwa sijui Chato maana me hua napenda sana kuangalia mwezi hasa ukiwa full na ile nyota hua naiona pemben yake siku zote... sasa leo naambiwa ni Mars na hutokea miaka 15 ndio nimebaki mdomo wazi.Hapa nahisi hata mm umeniacha mkuu..kwahyo ile nyota tuna iona siku zote pembeni ya mwezi ndio Mars?
Mbona walisema hili tukio la Mars kuwa karibu huwez kuona kwa necked eye. Iweje iwe ile nyota tuna iona kila siku?