Yaliyojiri: Kongamano la Vijana - LandMark Hotel - Disemba 9, 2013

Mbowe anachanganyikiwa usaliti ni mbaya sana Zitto kawabeba beba hapo CHADEMA eti leo ni msaliti!!

Mbowe achia hicho kiti uende salama la sivyo ni wewe ndo tutakae kulaumu kwa kuharibu hizi harakati
 
Kapokea mike jamaa anasema.
ye hafurahishwi na mtandao ndani ya Chadema.

anasema yeye ni msukuma, wanamagunia yao mpunga wanakosa sehemu pa kuyauza.
Anaomba kwasababu rais anasafiri sana awe anaenda na mpunga wao akawauzie huko nje.

CC. ZeMarcopolo, FaizaFoxy, Simiyuyetu, Chris Lukosi.Please help to deliver the message to mr fastjet
 
Wewe unasumbuliwa na haja
ya nafsi, ulijifanya kihelehele eti naondoka CHADEMA na sitaki kabisa
kujishughulisha na chama.Tangu ujivishe gamba kuna post umewahi andika
isiyohusu CHADEMA au viongozi wake kama si wanachama? Leo
unaleta tetesi, peleka kwenye vijiwe vya kahawa.Unadhani Dr.Slaa
alikosea nini, alinena ukweli mtupu kwani hakuna aliyemhimili wa chama
hivyo yeyote anayekiuka katiba,kanuni na taratibu za chama sharti
achukuliwe hatua.

Nasubiri kuona adhabu ya Lema aka Min KABANG,kwani pia alisemezana na zzk kwa njia ya mtandao,au katiba imemkataza mtu mmoja mmoja.,,,,?NITONYE BASI.
 
Unadhan huyo babu yako anaweza kazi ndio maana kutwa ziara halafu huku anawaachia vijana wamsafishe mama,alikua anamkabidh Lema sasa Lema nae mtoto sio riziki yule

Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Baba Rizy hawezi kazi!?maana yeye kutwa kucha yupo ziarani nje ya nchi!je malkia huwa anamuachia Mwigulu nini!?
 
View attachment kongamano 2013.docx
northeism and chagaism in chadema.oh my GOD DRIFT THIS PART AWAY.AMEEEN

hao watu waliohudhuria wote kwenye kongamano la jana kwa mfano mdogo tu ,wote ni northeism and chagaism ?
Mods naomba mnisaidie ku-upload hizo picha kwenye attachement.
Kuna picha wakati DC aliejihuzuru bwana Gabriel Kimoro na jana alijiunga rasmi na CDM,kuna picha za umati wa watu waliohudhuria,kuna picha ya Lilian Wassira kwenye albamu ya nyimbo aliyoizindua jana.
 
Kapokea mike jamaa anasema.
ye hafurahishwi na mtandao ndani ya Chadema.

anasema yeye ni msukuma, wanamagunia yao mpunga wanakosa sehemu pa kuyauza.
Anaomba kwasababu rais anasafiri sana awe anaenda na mpunga wao akawauzie huko nje.

Neema hiyo, chakula kimejaa mpaka hakijulikani kiuzwe wapi. Confirmation of Kilimo Kwanza success story.

Mliopo ukumbini mwambieni asihangaike, aupeleke jirani tu hapo Burundi una faida nzuri huko.
 
Wewe ulikuwa unawaza chai na soseji, muulize Ben Saanane godson wa mbowe aje akanushe km godfather wake hakusema haya maneno .

chai na soseji unavovisema wewe ni ELIMU nilopata kutoka kwa Makananda wangu wa ukweli: Mch. Msigwa, G.Lema, Mnyika JJ, T.A.Lissu, Madam Msabaha, Heche, na makamanda wengine.
 
ujinga kwa kila unayetofautiana nae kihoja ni CCM,mimi sio msukule napambanua

Siwezi fanya league na wewe, manake wewe unalipwa kwa shughuli hii(LB7), ujira unaotegemea idadi ya post.

Nasikia mia mbili hamsini kwa kila post, kazi mnayo. Mpaka ufikishe buku kumi vidole vinauma!
 
Ame panic huyo lichama limemfia mikononi mwake.

Amecheza na akili kubwa, wakati yeye ni akili ndogo.

kama JK vile na degree yake ya daraja la mwisho anavyoongoza MAPROFESA NDANI YA CCM KAMA MAGEMBE, KAPUYA, MWANDOSYA, MWAKYUSA, MUHONGO, MBALAWA, na wengine wa type hiyo:croc::croc::croc::croc:
 
kama JK vile na degree yake ya daraja la mwisho anavyoongoza MAPROFESA NDANI YA CCM KAMA MAGEMBE, KAPUYA, MWANDOSYA, MWAKYUSA, MUHONGO, MBALAWA, na wengine wa type hiyo:croc::croc::croc::croc:

Nikikuita finyu ntakuwa nimekosea? Umesahau Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina watu million ngapi? kama hujui kwanini nnakuuliza hivyo, msome Mwenyekiti wa Chadema aka Mr DJ anavyosema kuhusu Rais wake;

"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
 
serikali iliyotukuka, serikali ni nini???? siyo individual ni taasisi, wenye watu wengi, the same kwa chadema ni taasisi wenye watu wengi, haiongozwi na mboye peke yake, keep it in little your brain, KUTOKA KWA WABUNGE 5 BUNGENI HADI 40'S NW chadema ni chini ya uongozi MAKINI WA FREEMAN AIKAEL MBOYE, call him any names but ukweli unabaki palepale NI RIGHT PERSON KUWA MWENYEKITI WA CDM, MIMI NADHANI ZITO ANAFAA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHENU CHA WALAGHAHI, WEZI, NA WABAKAJI. ASANTE:amen:
 
Malizia basi maneno Ya Mbowe;

"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya..." - Freeman Aikaeli Mbowe
 
Back
Top Bottom