Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,649
Mkuu ungeanza kunijibu hivi kwanini Dr slaa nae anamchukia kikwete sana
Una akili fupi kupita maelezo huwezi kubishana kwa hoja zaidi ya uzushi tu
Nina uhakika kama wewe si mwandani wa zito basi utakuwa shosti ake
Tokea Zitto alipokurupushwa hulali unahangaika mweh
Tufanye kama tumekubali kuwa Mbowe ni mbabe Chadema cha kikabila na kidini
Swali?
Unataka nini? zaidi ya kulialia kama a *mitch kila siku hapa
Chadema inazidi kupaa and you know it
Jibu swali unataka nini baada ya kuestablish kuwa Chadema ni mbaya na uongozi wake mbaya
*mitch - a male bi*ch, someone who loves to
get others in trouble to draw
attention the to themselves.