Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Sijawahi kuwa CHADEMA, niletee hiyo post niliyosema Mimi ni CDM au CCM
Kwanza tuanzie hapa ili ujue wewe una asili ya mambo ya kiuongo uwongo-Bisha jambo hili si wewe
1628329723612.png
 
zandrano upo? Pumzika sasa kwani kapatikana comrade mpya kukaimu nafasi yako. Listi ya michepuko ya mwenge inaongezeka. Katika orodha mweke na huyu mwingine Stuxnet.

Stuxnet, karibu ujiunge na wenzako...
  1. Elitwege
  2. Idugunde
  3. Jumbe Brown
  4. Kamanda Asiyechoka
  5. johnthebaptist
  6. USSR
  7. Magonjwa Mtambuka
  8. Dr Akili
  9. JUMA JUMA
  10. mtanzania1989
  11. Phillipo Bukililo
  12. Mr Dudumizi
  13. digba sowey
  14. IDEGENDA
  15. Niza doyi
  16. Kivumishi Kielezi
  17. Gerald .M Magembe
Huyu stuxtnet ni kada wa CCM pure,huwa anakanaga siyo mwana CCM,soma post yangu inayofuatia namba 312 nimeweka screenshort utanielewa.
 
Sijawahi kuwa CHADEMA, niletee hiyo post niliyosema Mimi ni CDM au CCM
Nachojua wewe ni mwana CCM kindakindaki ambaye ulikuwa unamchukia tu MEKO kwa sababu alimpiga ndugu yako kesi ya money laundering na kupelekea kuingia kwenye plea bargaining.Kabla ya hapo ulikuwa shabiki wa MEKO kwelikweli lakini alipokugusa kisawasawa ukamgeuka.
 
Niko right, nilikuambia sijawahi kuwa CDM, Au hujui kusoma
Na pia ukasema hujawahi kuandika kwamba upo CCM.Na najua waziwazi ulishajinasibu huko nyuma wewe ni CDM.This one point inaonyesha wewe ni mwongo.
 
watoto wa mbowe,mke wake, mke wa mnyika, kibatala, Mrema n.k wametulia tuli nyumbani na familia zao wewe unaenda kuhatarisha maisha yako na mwisho unaenda segera, halafu unadhani eti wewe ni shujaa!! ni upumbavu, jiongeze.
nenda katafute chakula chako na mkeo au na mume wako na watoto wako
Wewe mbona mumeo alishakukataza kupoteza muda wa kumpikia JF lakni umo tu. Nenda kampikie mumeo chakula. JF siyo saizi yako.
Wacha wanaume tujadili mambo makubwa humu.
 
Wafuasi wa CHADEMA wapumbavu sana. Wenye akili waliondoka na Dr Wilbroad Slaa. Nyie mnasema Samia ni DIKTETA, je Mbowe ni nani? Yeye amekuwa Mwenyekiti wenu kuanzia 2002, ni Katiba gani anatumia? Acheni ujinga huo, mnakuwa IRRELEVANT kwa wananchi. Pumbavu kabisa nyinyi.

Mwwnanchi mwwnye akili yuko busy ana hustle kutafuta hela, nyie wajinga mnashinda kwenye Mahakama. Jinga sana
Mpumbav makubwa,hao Ni wanasiasa na kazi yao Ni siasa!Huoni serikali ndio inawanyima haki kwa kuwabambika makesi yasiyo na kichwa Wala miguu!Ukitaka kujua hilo angalia kesi ngapi wameshafunguliwa wapinzani na ngapi wamekutwa na hatia mahakamani!nyang'au wewe!
 
Nafuu Mimi nyang'au lakini niko huru, kuliko hao mnaowabebesha mabango ya Katiba mpya. Wacha wanyee ndoo kwanza ndiyo akili ziwarudi
 
Wewe ni mgeni hapa JF. Sisi wengine tuna misimamo SEM umeanza kutujuwa Leo. Hatuwezi kuunga mkono UPUMBAVU wenu.

Tafuta threads na posts zangu utagundua kuwa Mimi ni Mtanzania mwwnye mawazo huru.

Kama CHADEMA mko objective kwenye suala la Katiba Mpya, anzeni na ya kwenu kwanza. Inakuwaje muna Mwenyekiti Mbowe yangu mwaka 2000? Huo ndiyo UDIKTETA.
Unaona sasa? Hebu tulia, unasema sina msimamo? Usikurupuke kama yule mwendakuzimu, kaa kitako nikupe somo kidogo kijana. Kwa kuanzia nakiri siipendi CCM na wala sijawahi kuipenda.

Sikuipenda CCM wakati wa mfumo wa chama kimoja, niliendelea kutoipenda tulipoingia katika mfumo wa vyama vingi na siku zilivyosogea ndivyo nilivyozidi kutoipenda na hadi sasa siipendi.

Mwaka 1977 siku CCM inaasisiwa na wafanya kazi wote serikalini na kwenye mashirika ya umma kulazimika kuhudhuria vikao vya ufunguzi vya matawi maofisini, nilikataa na kuamua kuacha kazi.

Toka wakati huo hadi leo naamini kwamba adui mkubwa (nambari wani) wa taifa hili ni CCM na hakuna ubishi kwamba chama cha CCM ndicho chanzo cha matatizo yetu kama taifa tangu kuasisiwa kwake.
Huyu stuxtnet ni kada wa CCM pure,huwa anakanaga siyo mwana CCM,soma post yangu inayofuatia namba 312 nimeweka screenshort utanielewa.
Ndugu yangu John7371, achana na huyo mpuuzi Stuxnet, eti anadai hana upande mnafiki mkubwa! Anadai pia kwamba eti labda mimi Mag3, naanza kumjua leo!

CCM ni chuo kinachofyatua viongozi wabovu na bahati mbaya kwa Tanzania ni kwamba kila kiongozi tunayesukumiziwa baada ya miaka kumi/mitano ni wa hovyo kuliko wa awali.

CCM wanaamini wana hatimilki ya hatma ya taifa hili lakini toka iasisiwe taifa kila siku linazidi tu kudidimia na nchi iliyojaaliwa maziwa na asali wameitafuna hadi inabaki mifupa mitupu.

Badala ya kutumia ushawishi wa sifa na uwezo kubaki madarakani hivi sasa wanatumia hila, wizi na nguvu kung'ang'ania madaraka kwa kuwatesa, kuwatesa na kuwaua wapinzani wao.

Halafu wanatokea wapuuzi kama Stuxnet ambao kwa njaa ya tumbo wako tayari kuuza utu wao na kuwapa sifa wasizostahili hawa mumiani bila kujua aliyeonja nyama ya mtu haachi.

Adui wa Tanzania ni CCM...nilisema hivyo wakati wa Mwinyi, nikasema wakati wa Mkapa, nikasema wakati wa Kikwete, nikasema wakati wa mwendakuzimu na nasema hivyo sasa.

CCM ilijengwa katika misingi ya dhulma...mali za umma (majengo, magari, viwanja na mashirika ya umma) ndizo nguzo zinazoibeba CCM. Mpaka itakapotolewa madarani taifa litaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu!

Tanzania bila CCM yawezekana. Mimi naipinga CCM na kila mwenye msimamo wa kweli huyo nitamuunga mkono haijalishi ni wa chama gani...huo ndio uhusiano wangu na Chadema ambao hata ofisi zao sijawahi kukanyaga.
 
Nafuu Mimi nyang'au lakini niko huru, kuliko hao mnaowabebesha mabango ya Katiba mpya. Wacha wanyee ndoo kwanza ndiyo akili ziwarudi
Uko huru wapi wakati wewe ni kada mtiifu wa CCM!
Umeumbuliwa humu jukwaani kwa comment yako ya zamani ukikiri kuwa wewe ni msukule wa lumumba!
 
Yule mwamba shujaa wa wapigania haki atakuwapo Kisutu leo.

Ifahamike kuwa ni kosa kwa mtu yeyote kuvunja sheria kama zilivyoainishwa katika katiba ya nchi.

View attachment 1882238

Ifahamike pia vitendo hivi vya polisi ndivyo vinavyotupa mwamko zaidi wa kudai haki zetu zote kwa mujibu wa katiba.

Tulipo sasa mikakati yetu wa wazi ya kujilinda kama ilivyoainishwa hapa:

Ni muhimu sana katika kupanua wigo wa ushiriki na kumfahamisha Sirro ili kuweza kujitafakari.

Tukutane Kisutu ambako kamanda Mbowe hatakuwa peke yake.

Aluta Continua!
Ujinga huu unaofanywa na polisi ndio unawachochea raia kama Hamza kuwatwanga polisi risasi hadharani. Hawa watu tunaishi nao mitaani na tunajua nyendo zao zote. Tukiamua kuwamaliza hata kwa sumu hatushindwi.
 
Amesikika ACP Kingai akiwaonya bawacha kwenye mambo yao ya jogging kuwa wao polisi wana akili zaidi kuliko raia.

Ngoja waendelee kujidanganya.
 
Unaona sasa? Hebu tulia, unasema sina msimamo? Usikurupuke kama yule mwendakuzimu, kaa kitako nikupe somo kidogo kijana. Kwa kuanzia nakiri siipendi CCM na wala sijawahi kuipenda.

Sikuipenda CCM wakati wa mfumo wa chama kimoja, niliendelea kutoipenda tulipoingia katika mfumo wa vyama vingi na siku zilivyosogea ndivyo nilivyozidi kutoipenda na hadi sasa siipendi.

Mwaka 1977 siku CCM inaasisiwa na wafanya kazi wote serikalini na kwenye mashirika ya umma kulazimika kuhudhuria vikao vya ufunguzi vya matawi maofisini, nilikataa na kuamua kuacha kazi.

Toka wakati huo hadi leo naamini kwamba adui mkubwa (nambari wani) wa taifa hili ni CCM na hakuna ubishi kwamba chama cha CCM ndicho chanzo cha matatizo yetu kama taifa tangu kuasisiwa kwake.

Ndugu yangu John7371, achana na huyo mpuuzi Stuxnet, eti anadai hana upande mnafiki mkubwa! Anadai pia kwamba eti labda mimi Mag3, naanza kumjua leo!

CCM ni chuo kinachofyatua viongozi wabovu na bahati mbaya kwa Tanzania ni kwamba kila kiongozi tunayesukumiziwa baada ya miaka kumi/mitano ni wa hovyo kuliko wa awali.

CCM wanaamini wana hatimilki ya hatma ya taifa hili lakini toka iasisiwe taifa kila siku linazidi tu kudidimia na nchi iliyojaaliwa maziwa na asali wameitafuna hadi inabaki mifupa mitupu.

Badala ya kutumia ushawishi wa sifa na uwezo kubaki madarakani hivi sasa wanatumia hila, wizi na nguvu kung'ang'ania madaraka kwa kuwatesa, kuwatesa na kuwaua wapinzani wao.

Halafu wanatokea wapuuzi kama Stuxnet ambao kwa njaa ya tumbo wako tayari kuuza utu wao na kuwapa sifa wasizostahili hawa mumiani bila kujua aliyeonja nyama ya mtu haachi.

Adui wa Tanzania ni CCM...nilisema hivyo wakati wa Mwinyi, nikasema wakati wa Mkapa, nikasema wakati wa Kikwete, nikasema wakati wa mwendakuzimu na nasema hivyo sasa.

CCM ilijengwa katika misingi ya dhulma...mali za umma (majengo, magari, viwanja na mashirika ya umma) ndizo nguzo zinazoibeba CCM. Mpaka itakapotolewa madarani taifa litaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu!

Tanzania bila CCM yawezekana. Mimi naipinga CCM na kila mwenye msimamo wa kweli huyo nitamuunga mkono haijalishi ni wa chama gani...huo ndio uhusiano wangu na Chadema ambao hata ofisi zao sijawahi kukanyaga.

Amesikika ACP Kingai akiwaonya bawacha kwenye mambo yao ya jogging kuwa wao polisi wana akili zaidi kuliko raia.

Ngoja waendelee kujidanganya.
Kwani raia hawaruhusiwi kufanya mazoezi kwa jogging? Hawa poliCCM wanafikiri kwa kutumia vinyeo vyao.
 
Back
Top Bottom