Walichopeleka leo ni LEAVE TO FILE APPLICATION & Misc Application for temporary injunction and to maintain status quo.

Nadhani Hiyo Affidavit yao watatumia S. 3 ya Misc na amendment ya CPC OVERRIDING OBJECTIVE.

Sworn/Affirm huwezi cure kwa overriding but IT WILL BE CURED.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Waliwahi Chadema walipotoa hukumu tu akina Mdee wakawahi kupinga kuwa kuna barua zinakuja wao wameshafungua kesi mahakamani na copy wakampa spika sijawahi kabla barua official ya Chadema ya Kigaila

Ujanja kuwahi
Tuoneshe hiyo picha wakiwahi kumpa spika hizo barua, sio mnajitungia tu porojo
 
Wataumbuka japo watabebwa.

Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?

Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!

Pathetic!
Spika hakusema mahakama imeweka zuio. Bali amepokea taarifa kutoka kwakina Halima kwamba wamefungua kesi mahakamani. Hivyo anasubiri mchakato wa mahakama ukamilike

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Unajua tozo unayokamuliwa na mamaako ndio wanalipwa hao uMBWA? ikiwa uharisha hapa ukiwa unatia miayo wenzio account zinanona acha ujinga
Wala hata sioni shida wao kulapa Wal kuwa na wivu wao kupata hata walitolewa tozo zitaendeleaa kuwepo tu muhimu Ni kuwa hal itendeke mliwatumia kuinanga serekali leo muwafukuze waenda wapi Ni chama kipi ipo tayari kuwapokea wabunge wenye matusi hkn

Hzo hella wale tu tena wapewe na posho za usukbufu
 
Wakilushapewa taarifa tangu Ijumaa kwa dispatch, tena nilipeleka mimi mwenyewe ofisini kwa katibu mkuu CDM.
CDM wameifanya iwe dili ya kisiasa, inafikirisha mawakili ambao hawakua na taarifa halafu wavizie tu kuingia mahakamani na tayari wawe na majibu ya kupinga wakati walikua hawajui chochote kuhusu kesi hiyo kama tunavyotakiwa tuamini.
 
CDM mliwatumia watoto wa watu kina mdee kuitukana serekali ya ccm kwa kipind lirefu Leo mnakuja kuwataka kuwafukuza Kam mbwa hpn huo ndio uhun
Mdee kanyaga twende
Mwenyekiti wa kijiji akiiba hela ya wananchi huko kijijini kwao utasikia wameandamana ili mwenyekiti ajiuzulu lkn hao wananchi wambie kuwa waziri wa afya imepoteza mabilioni kadhaa sasa tuandamane ili kushinikiza huyo waziri ajiuzulu watakwambia hiyo pesa haituhusu na hakuna mwananchi hata mmoja anaweza kujitokeza kuandamana. Nimekufananisha na hao wananchi.
 
Wataumbuka japo watabebwa.

Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?

Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!

Pathetic!
Unateseka? Mama bado anaupiga mwingi
 
Mwenyekiti wa kijiji akiiba hela ya wananchi huko kijijini kwao utasikia wameandamana ili mwenyekiti ajiuzulu lkn hao wananchi wambie kuwa waziri wa afya imepoteza mabilioni kadhaa sasa tuandamane ili kushinikiza huyo waziri ajiuzulu watakwambia hiyo pesa haituhusu na hakuna mwananchi hata mmoja anaweza kujitokeza kuandamana. Nimekufananisha na hao wananchi.
Hata sijakuelewa ulicho kiandika rudia vzr nikuelewe mkuu wa itifaki wa cdm
 
Misc. Application Ina defective Kibao Aiseeeeh, Kwa sababu affidavit yyote ambayo ni defective Ili iwe curable ni Lazima iondolewe then ufaili supplement affidavit Maana affidavit Haiwezi kuwa amended, kiapo ni ushahidi na ushahidi Huwezi kuufanyia amendment

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Lema Alivuliwa Ubunge Na Mahakama, Alikata Rufaa Lakini Alifukuzwa Bungeni, Spika Hakusubiri Rufaa Yake Isikilizwe, Wabunge 9 wa CUF Walifukuzwa Uanachama. Walienda Mahakamani Lakini Walitolewa Bungeni, Spika Hakusubiri Kesi Yao Isikilizwe, Je Kwa Kina Halima Sheria Imebadilika?
Double standard katika nchi ile ile na katika bunge lile lile.
 
Ktk hili mbowe ataisoma namba, maana mtego aliotegewa ni mkubwa hasa kwa kuwa yeye ana udhaifu ktk kuona haki za wenzake ila mambo yake ya kung’ang’ania uenyekiti wala hana makubwa. Nasema bunge na serikali haliwezi kukubali kuwafukuza akina Halima na sababu kubwa ni kuwa endapo wakifanya hivyo Mbowe na genge lake hawatateua wabunge na bunge litakosa upinzani na hapo ndiyo kutakuwa na mgogoro wa kisheria na namna ya uendeshaji wa bunge na mbowe ataitumia hiyo karata kuwaambia mabeberu kuwa 2020 walionewa. So forget about hao kuondoka bungeni
 
halafu dunia ilivo ya ajabu ukute CHADEMA wanajua kila kitu kinachoendelea na posho wanachukua ila wanatuhadaa sisi kuficha aibu.

ni mawazo yangu tu lakini 🤔
 
Back
Top Bottom