Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,642
- 2,921
Endelea kujifariji Mama saidi.Huyu shahidi wa leo inaonyesha yupo vizuri.Halafu ndugu yangu usitushikie akili bana kwa kutuaminisha polisi wote hawajasoma,wengi tumehitimu nao vyuo vikuu.Wanatishia na elimu kwahivo vikozi vifupifupi eti ukasoma wapi? wapitena? Hahahhhaaah...!!
Wote hao wamefeli form four na wengi hata darasa la saba walifeli
Sasa mnawaonea kuhojiwa namtu smart alopiga madivisheni wani mwanzo mwisho kama wakili msomi kibatala.
Mashahidi wao wengi hawanashule wanaiaibisha serikali.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app