Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 3, 2021: Shahidi Upande wa Mashitaka ashindwa kutokea Mahakamani, kesi yaahirishwa hadi Novemba 4, 2021

Wamfunge tu mbona ushahidi wa jamhuru umeenyooka hivyo. Kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga naa gundi. Kama hii kesi ni ya uwongo niamini kesi ya namna gani. Technologia aidanganyi bhana

Mnasumbua tu mahakana.
Mh wazazi tuna hasara, Sasa na wewe waliokuzaa Wànasema tuna mtoto! Miezi Tisa timboni unatoa kitu Kama wewe, eh Mungu wa mbinguni, Mungu wa Rehema!
 
Shahidi either kaingia mitini, au wanasheria wa jamuhuri wamegundua ni muendelezo wa aibu. Kwahiyo wanataka muda zaidi wa rehearsal.

Siyo muuza mbege tu pekee ndiye aliyeleta aibu kwa jamuhuri, pia yule mtaalam wa forensic aliyekuwa akijinasibisha na usomi pamoja na mwanasheria uchwara wa Tigo ambaye naye ushahidi wake ulikuwa wa ki tigotigo tuu!😄

Kesi ya kubambika kama story haijakaa fresh, huwa haibambi hata kidogo. Watunzi wa hovyo kabisa. Kuna kesi moja ambayo mtuhumiwa eti alitokea kuwa mkenya, kisha akaibukia kanisani kwa Gwajima. Polisi walisema! Nimesahau kesi yenyewe. Lakini ilikuwa high profile na polisi wakawa wanakuja na story za kutungatunga tu kama ilivyokuwa issue ya Mo Dewji kutekwa.
 
Mwanasheria wa Tigo tena wakili aliye kwenye kiapo mahakamani, anatuambia hajui kama Freeman Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA
Siyo tu kwamba hajui kama ni mwenyekiti wa CHADEMA, bali hajawahi hata kulisikia hilo jina. Sasa akisema uongo kama huo wa wazi kabisa, unadhani ataweza kusema ukweli wowote ule? Muongo ni muongo tu. Shetani ni shetani.
 
Heheeeeee naona shahidi kashindwa kumeza script vizuri imebidi apate muda zaidi...
 
Shahidi either kaingia mitini, au wanasheria wa jamuhuri wamegunduwa ni muendelezo wa aibu. Kwahiyo wanataka muda zaidi wa rehearsal.

Siyo muuza mbege tu pekee ndiye aliyeleta aibu kwa jamuhuri, pia yule mtaalam wa forensic aliyekuwa akijinasibisha na usomi pamoja na mwanasheria uchwara wa Tigo ambaye naye ushahidi wake ulikuwa wa ki tigotigo tuu!😄

Kesi ya kubambika kama story haijakaa fresh, huwa haibambi hata kidogo. Watunzi wa hovyo kabisa. Kuna kesi moja ambayo mtuhumiwa eti alitokea kuwa mkenya, kisha akaibukia kanisani kwa Gwajima. Polisi walisema! Nimesahau kesi yenyewe. Lakini ilikuwa high profile na polisi wakawa wanakuja na story za kutungatunga tu kama ilivyokuwa issue ya Mo Dewji kutekwa.
Martin Maranje manase anasema alikuwepo mahakamani, alianza kuongea na mawakili wa serikali wakaonekama kutoelewana
 
Back
Top Bottom