mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,306
- 6,514
Utabiri wako umetamalakiYaani huyo jamaa akikatwa kelele zitapigwa na akiteuliwa kelele zitapigwa tu.
Utabiri wako umetamalakiYaani huyo jamaa akikatwa kelele zitapigwa na akiteuliwa kelele zitapigwa tu.
Kwa nilivyoelewa LOWASA OUT. Nisahihishe kama nimekosea.
Seriously when did UKAWA get eaten in this CCM propaganda machine?i have not heard of anything about UKAWA presidential hopefuls or procedures in any platform in the same extent CCM has theirs, yet UKAWA wants to win the election.
UKAWA needs to get it's PR team together.., amateur time is seriously over.
We jamaa ss hivi unapiga dodoki la ukweli kwa Lowassa......ona ulivyokuwa unamponda......#unafikiJiandae kutapika ulivyokula vya huyo Lowassa.
Nilichogundua UKAWA nao wanawagombea wao CCM ambao wanawapenda...daah!!
Tulieni....Mh. Lowassa hajakatwa...hii ni taarifa rasmi.
Watu wanafiki sana, leo hii amekuja CDM sio zigo la mwizi.....ACT wapokee sasa Zigo la mwizi!!
kwani haijajulikana,mbona taarifa zimezagaa.Team Lowasa wameshapoteana hawawezi kuchomoza tena.ni kama Yanga ikibutulia 5 bila na Simba unadhani Jeri Muro ataleta kidomo domo
Na chama chochote kitachompokea Lowassa tunakimark kuwa lengo lake ni kuifisadi nchi
Enzi zakoMnafuatilia huu Mchakato kuliko sisi wahusika, Kunani? Si mtuache tuchague mgombea wetu? Wa kwenu si anajulikana ni MZEE SLAA?
Yaliyopita si ndwele..tunaganga yajayo!Enzi zako
Yaliyopita si ndwele..tunaganga yajayo!
pole sana lakini mkuu maana aibu uliyoipata si ya kawaida.............tugange yajayo sasaYaliyopita si ndwele..tunaganga yajayo!
Comment za kipuuzi kabisaTena mimi nadhani JK ilikuwa zaidi hata ya huyu jamaa.....
Huyu Magufuli anafaa kuwa waziri tu lakini si urais.
Kuna watu watakuja kuona aibu kwa niaba yake huyu mtu....niaminie haya nayosema.
Kama watu walikuwa wanaona Kikwete wakati mwingine anatuaibisha akienda kwa mfano huko Davos kwenye yale makongamano basi huyu ndo bomu zaidi mara 100.
Mtaja nambia tu....
Comment za kipuuzi kabisaWatanzania ni wepesi sana wa kuzugika na kwa mtaji huo CCM itatawala kwa muda mrefu saaaana.
Hii inanikumbusha 2005. Watu wengi sana walifurahi lakini mwishowe ndo hao hao wakaishia kuvunjika moyo.
Na hapa natabiri tena kama nilivyotabiri miaka 10 iliyopita [natamani bcstimes.com ingekuwa bado ipo tuyarejee yote niliyoyatabiri wakati ule].
Huyu jamaa naye ni bomu kabisa na huenda ni bomu kuliko hata Kikwete.
Hana kabisa presidential cachet.
Hata uelewa tu wa kanuni za diplomasia nyepesi nyepesi unampiga chenga.
Mtaja nambia kama bado tuko hai......
Upuuzi mtupuHabari ni kuwa kura nyingi sana zimeharibika baada ya wajumbe kuandika LOWASA. Kweli kazi wanayo.
Aibu gani? Hebu fafanua!pole sana lakini mkuu maana aibu uliyoipata si ya kawaida.............tugange yajayo sasa
Wakuu habari,
Tunawaletea kinachojiri kwenye Vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma.
Fuatana nasi... Karibuni sana.
==================
Update 12:55
Ana Makinda Anasema;
Kura zilizopigwa zilikua 2422
Kura zilizo haribika zilikua 6
Kura halali 2416.
Mawakala walikua;
Makilagi
Hassan Juma
Rodrique Mpogoro
Baada ya kuhesabu Kura Matokeo yalikua hivi;
Asha Migiro kura 56 sawa na asilimia 2.4%
Amina Ali kura 253 sawa na asilimia 10.5%
John Magufuli alipata 2,104 sawa na asilimia 87.1%
Mshindi atakaye gombea Urais kwa tiketi ya CCM, ni John Pombe Magufuli
3. Update 14:00
John Magufuli amteua Samia. S. Hassan kuwa Mgombea mwenza.
View attachment 267563
Mwisho