Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mama Ana Makinda anasema wanawake walikuwa hawafiki kileleni mpaka hii awamu ya nne ndio wamefika kileleni shukrani zimuendee JK
Mimi naona makosa ni ya kwetu sisi wanaume
au kwa vile wanawake huwa hawasemi ukweli mpaka wafikie utu uzima?
 
ungemuona enzi yuko na Fatma Said Ali ungesemaje !? Katavi
Du usinikumbushe Mkuu
kwanza nisaidie kuna Madame mmoja Kiongozi alikatwa mapanga mikononi pale Area C Dodoma jamaa alisema kamfxxxxnia
na mali zake,
jina ni hili au linafanana?
 
Hiyo hiyo ripoti ya CAG nenda kaisoma ruzuku ya Chadema wamekula kina Slaa na Mbowe hesabu zake hazieleweki.

Double standard.

Teh teh teh

UFISADI.jpg
magufuli ni fisadi kama mafisadi wengine wa ccm RIPOTI YA CAG iko hapo
 
Du usinikumbushe Mkuu
kwanza nisaidie kuna Madame mmoja Kiongozi alikatwa mapanga mikononi pale Area C Dodoma jamaa alisema kamfxxxxnia
na mali zake,
jina ni hili au linafanana?

ndo huyo Fatma Said Alli alikuwa na huyo Amina wizara moja ya michezo na utamaduni. enzi hizo Mkwasa bado anacheza National Team Ukwaju
 
Last edited by a moderator:
Yan mkuu nimepgwa na butwaa kuona mwiz analiliwa et aje afanye mambo ya maana.. hv kwenye hcho chama kuna mtu wa kulilia hapo

Mfumo wa CCM ni wizi na kukwapua, hata aje malaika itakula kwake tu
 
Umeona ndugu. Inatia huruma ni jinsi gani tunanunulika kirahisi hivyo. Kipindi cha kuvua gamba walitaka afungwe Leo wanataka awe raisi. Eeh Mungu baba tunusuru na pepo hili pepo LA ujinga pepo la kununuliwa ili kuuza nchi

Mfumo wa CCM ni wizi na kukwapua, hata aje malaika itakula kwake tu
 
The way he is playing his game I dont see the green party getting to october in one piece.

Though I believe it was in pieces since his nomination in 2005, but i dont see the pieces surviving the current storm

Lets wait for the storm to happen.
 
attachment.php


Hiyo post niliileta Mimi , na alieongezewa ulinzi alikuwa Makongoro Nyerere , kwa busara za baraza la ushauri, na ushauri wao ulikubaliwa na JK , na jk alikubali lakini top 5 ya wazee wa ushauri ilipoenda kanati kuu kikwete akaikataa na kuchukua yake na kuipitisha kimabavu na maghufuli hakuwemo ndipo wazee wakashaur tena awekwe maghufuli baada ya mapendekezo ya awali kukataliwa ambao walikuwa
1 Pinda
2 Bilal
3 Asha rose
4 Makongoro
5 Jaji ramadhani
Kikwete akawatosa wazee na kuja na list yake na walipomuuliza chaguo lake akasema Membe , ndipo mkapa akachukia wakachenjiana kwenye kikao ila kikwete akalazimisha ila akakubali maghufuli kwani alijua ni msindikizaji , baada ya kukubali marais wastaafu wa Tanzania na Zanzibar wakaomba maghufuli apigwe tafu na mchezo ndipo ulipoanzia , nazani wote mashahidi kilichotokea NEC kwa chaguo la kikwete na familia yake , ambapo ndani ya NEC ridhiwan alipiga kampeni za wazi kwa Membe na Asha rose

Baada ya kupigwa NEC JK aliishiwa pozi ikabidi nguvu iende kwa asha rose migiro akimtumia riz one na membe wampigie kampeni akiwemo nape na makonda, dili likashtukiwa maana iliundwa propaganda ya ni zamu ya mwanamke , wajumbe MM walipozipata wakasema OK tutapiga kura za kukuonesha sisi ndio CCM na sio wewe

Upepo ukaanza someka baada ya maghufuli kuingia ukumbini yaani ni kelele na vifijo hali ambayo nape hakuipenda pia kikwete mwenyewe hadi kuwaambia kwa sauti watu wa geita tulieni hii ilikuwa ni kutengrneza UFA wa kikabila lakini ilishindikana , na MM imemuonesha adabu kikwete na familia yake , pia MZEE Warioba,Dr salim , kinana, MZEE mkapa, MZEE mwinyi na Karume wamefurahi sana kwani jamaa aliwadharau sana wakati yeye ndiye aliwaomba ushauri na akasema watakachokubaliana yeye atanaliki ,


Pia amesahau akistaafu na yeye ataenda baraza la ushauri , hivyo watamcheka sana kwani hatakuwa na nguvu tena ,

Magufuli haziivi na kikwete mtu asiwadanganye, kumbukeni kikwete alikuwa anamchukia sana magufuli 2005 hadi akataka ampoteze kisiasa kwa kumpa wizara ya samaki,

Magufuli ni zao la rais mkapa, na MZEE mkapa sasa atakuwa huru sana na kufurahi chaguo lake kushinda


Ngoja nifatilie mkutano, now pinda anaongea

Itaendeleea kujua , zaidi wakati wa uteuz na vikao vya maridhiano​


 
Kumkata Lowassa Lazima ujipange ,wataghairisha weeee at the end Laigwanan ndani.

......at the end Laigwanan ndani.... Pole Comrade. Kepteni wa watu wenye safwari yenye matumaini NJE. Safari ya MATANIO kwa kuliweka Taifa katika vurugu HAIWEZEKANI. Ni kweli kumkata Lowassa yabidi ujipange. hapa uko sawa. Na watu walojipanga kweli kweli.
1. Ilitakiwa Bunge limalize shughuli kwanza.
2. Ilibidi ratiba itibuliwe.
3. Ilibidi Waliolipwa kufanya fujo kwa kukatwa kwa Laigwanan wadhibitiwe na vyombo vya dola.
4. ..........nk.....nk.....
Upo? Asubiri kugombea 2020, kama afya itaruhusu. Kwa Sasa atakayeshindana na Daktari Silaha ni Daktari wa Ualimu na Kemia, ambaye wengi wanafikiri ni Mhandisi wa Ujenzi......
Bye bye Lower Sir.
 
MEANDU wapi tena Magufuli hawezi pita
leo hapa Dodoma
au ni Oktoba 25/2015?
Dr Slaa ndio kajipitisha UKAWA sasa sijui na Lipumba akiingia wakutane na Magufuli ndipo nitakaposhangaa Magufuli akinyimwa kura na Watanzania

UKAWA hajatangaza mgombea. PERIOD
 
Amekuwa kama wale makomandoo wa Yanga ambao kuna wakati walienda Mwanza bila nauli wakidhani watakaa milangoni na kuvuna pesa za nauli, matokeo yake Manji akanunua mechi na kulipa 100m na hivyo watu kuingia bure. Makamandoo wakakwama ikabidi wajisalimishe kwa Manji kuomba nauli ya kurudi Dar.

Mpeni nauli arudi Dar aje tena haa JF na porojo zake.

Yupo pia Yericko Nyerere ambaye alikuwa na u Yahaya wake hapa kila kukicha naona naye kimya. Mkuu njoo tupate nadaha zako
mkuu ocampo four labda amtafute hemedy ally msaidizi wa bashe pale 4u.. hadi huruma au aje kwangu Nkuhungu nimpe nauli.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom