Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mwenye CCM ameshaondoka,huu msukule uliobaki unapumua duniani unafanya nini ingependeza zaidi kama ungeweza kumfuata mwenyewe ili tuliobaki duniani tuweze kupumua kwa raha zetu.

nafikiri wangeondoka wate ili kutuliza hali,lakini najua anafuata hapo.
 
Hapo ni Magufuli wakuu, tangu nisome Raia Mwema la juzi nikaona kabisa kumbe wengi wetu humu tulikuwa tunakwenda kishabiki, jamaa walizungumzia jinsi Kikwete alivyokuwa anafurahi kuongozana na Magufuli kwenye ziara za Mikoani maana hakuna kuzomewa tofauti na Mawaziri wengine, pi ni mtu aliyechukua fomi bila mbwembwe wala tambo za kusema ooh nitakomesha rushwa au kubeza hii serikali, pia suala la kuwa anatoka kanda ya ziwa ambako kuna wapigaji kura wengi nayo pia imekuwa kete muhimu.
Namtakia kila la kheri avuke hapo japo kwangu sijaonaga msafi huko CCM.

I give you my word. Magufuli hapiti NEC. Hapo ni Membe na Asha Rose
 
KUTOKA DODOMA 4U MOVEMENT
TANGAZO:
Tunawatangazia kwamba kufikia saa nne kamili asubuhi kwa wana 4U ambao si wa NEC wala wajumbe wa mkutano mkuu wawe wameshakabidhi vyumba katika hotel walizofikia, Pia wale wajumbe wa NEC na mkutano mkuu 4U hatutaendelea kugharamia uwepo wenu hapa dodoma!

Mwisho:
Hakutakuwa na usafiri wa mabasi yetu kuwarudisha wale wana 4U huko mikoani kila mtu atajigharamia.
asante
Mr Hemed Ally
Mratibu Taifa (National Coordinator)
@4u movement
4U Movement | FRIENDS OF LOWASSA

haa haa huyo ndo lowasa kamili...
 
Naona dhana ya goli la mkono imeanza kwa maniputated....!!

Watoto wa Lowassa wanatoa povu ile mbaya...
 
Back
Top Bottom