1.Members:.Huyu ni ndugu na kipenzi wa mwenyekiti na familia kwa ujumla, alishaandaliwa toka siku nyingi,ndo maana hata jana Rais alipoteua wasaidizi wake Ikulu ilikua lazima mtu ufikirie Mara mbili mbili na huyu ndiye mgombea atakayepeperusha bendera ya chama.
2.Magufuli:Huyu nae utendaji wake pekee ndiye uliempatia nafasi hakuna kiingine japo nae ni swahiba wa karibu wawenyekiti.Kwake kupenya kwenye vikao vya mbele ni ngumu sana Labda busara ya kawaida tu itumike.Anaweza kua PM japo kiuhalisia yeye ni bora kuliko wote walioteuliwa.
3.Asha Rose Migiro: Huyu kwanza jinsia ndiyo kigezo pekee japo nae alikwishaandaliwa toka siku nyingi lakini baadae upepo ukahamia kwa mebe. Kwake kupenya mbele inategemeana na kelele za wanawake wenzake mkutano mkuu.
4.Mama Amina: Huyu jinsia na Uzanzibar wake kama mwanamke ndivyo vilivyombeba, Kuna uwezekano mkubwa akawa makamu wa Rais maana naye kupenyeza kwake mbele ni kelele za wanawake wenzie huko mkutano mkuu.
5.January Makamba: Ikumbukwe kwamba huyu bwana baba yake aliwahi kua katibu mkuu wa chama, hiyo pia ni sababu kwahiyo kuna uwezekano kwamba hii ni fadhila na anaandaliwa kwa baadae kumrithi atakaekua Rais,Sidhani kama Janauary Makamba Anaweza kumkaribia Mwigulu nchema kiutendaji wa kazi.Anayo nafasi kubwa sana kupenyeza huko mbele maana wanaomuunga mkono ni wengi lakini atawekwa kando kama JK 1995 nasubiri baadae.
Ukweli na uhalisia ndo huo!

Nhamala,Hahaaaaa.....
Nkwingwa....
Hiyo akaunti ni 'verified'?...
Ngoja nibaki kuwa Tomaso Nkwingwa...
Wanataka baada ya Membe afuate Makamba then Rizone.Kwa yaliyojiri kwenye CC ni dhahiri JK anataka kuigeuza nchi hii kuwa ya kifalme.
Iwapo watanzania watabugi step na kumpigia kura 'bamdogo' basi tutarajie next President wa year 2025 atakuwa Riz-One.
Zimetolewa kwenye akaunti inayodaiwa ni ya CCM...Ambayo sio verified...Nkwingwa,
Ina maana hizo taarifa si rasmi....?
kikwete na Tiss wamesha mchagua Bernad membe ila tatu bora magufuli ataingia
Wanataka baada ya Membe afuate Makamba then Rizone.
Kwa yaliyojiri kwenye CC ni dhahiri JK anataka kuigeuza nchi hii kuwa ya kifalme.
Iwapo watanzania watabugi step na kumpigia kura 'bamdogo' basi tutarajie next President wa year 2025 atakuwa Riz-One.
Huyo(Makamba) kawekwa kwa sababu kuu 4Nhamala,
Nchi yetu imekuwa ni kama shamba la walevi.
Yaani Kamati Kuu inatupa eti message inayosema Makamba Jnr anaweza kuwa Rais wa Tanzania.
Huyu kijana kwanza ni mnafiki nafiki na pia huwa ninamuona kama tapeli fulani wa kisiasa.
Nitakubaliana na Kamati Kuu kama wamemuweka ili kusafisha njia kwa Membe. Kama wamemuweka wakiwa serious, basi CCM ina matatizo makubwa sana huko mbeleni.
Hata kama ni ujana, kuna vijana wengine walikuwa better zaidi ya huyu kijana.
Ama kweli, uwezo wa Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete ndiyo una akisi hali ya chama na chaguzi za ndami ya chama.
Zimetolewa kwenye akaunti inayodaiwa ni ya CCM...Ambayo sio verified...
Kwa zama hizi za mtandao lolote laweza kuibuka na kuonekana la kweli..
Kawaida taarifa rasmi hutolewa na Katibu wa NEC - Itikadi na uenezi Nape Nnauye....
Mpaka dakika hii Nape hajatoa taarifa rasmi Nkwingwa...
safi sana kaka kwa kutupa ukweli usiopingika, nimekuelewa kwa mawazo yako yakinifu, haya ndo mambo tulokuwa tunayasubiri, ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee1.members:.huyu ni ndugu na kipenzi wa mwenyekiti na familia kwa ujumla, alishaandaliwa toka siku nyingi,ndo maana hata jana rais alipoteua wasaidizi wake ikulu ilikua lazima mtu ufikirie mara mbili mbili na huyu ndiye mgombea atakayepeperusha bendera ya chama.
2.magufuli:huyu nae utendaji wake pekee ndiye uliempatia nafasi hakuna kiingine japo nae ni swahiba wa karibu wawenyekiti.kwake kupenya kwenye vikao vya mbele ni ngumu sana labda busara ya kawaida tu itumike.anaweza kua pm japo kiuhalisia yeye ni bora kuliko wote walioteuliwa.
3.asha rose migiro: Huyu kwanza jinsia ndiyo kigezo pekee japo nae alikwishaandaliwa toka siku nyingi lakini baadae upepo ukahamia kwa mebe. Kwake kupenya mbele inategemeana na kelele za wanawake wenzake mkutano mkuu.
4.mama amina: Huyu jinsia na uzanzibar wake kama mwanamke ndivyo vilivyombeba, kuna uwezekano mkubwa akawa makamu wa rais maana naye kupenyeza kwake mbele ni kelele za wanawake wenzie huko mkutano mkuu.
5.january makamba: Ikumbukwe kwamba huyu bwana baba yake aliwahi kua katibu mkuu wa chama, hiyo pia ni sababu kwahiyo kuna uwezekano kwamba hii ni fadhila na anaandaliwa kwa baadae kumrithi atakaekua rais,sidhani kama janauary makamba anaweza kumkaribia mwigulu nchema kiutendaji wa kazi.anayo nafasi kubwa sana kupenyeza huko mbele maana wanaomuunga mkono ni wengi lakini atawekwa kando kama jk 1995 nasubiri baadae.
Ukweli na uhalisia ndo huo!
Nhamala,Mimi sielewi kwa nini watu wanalipuuzia hilo la tume ya uchaguzi [ambao ndo marefa wa mechi].
Huyi Jaji Lubuva hana tofauti na huyo Jaji Ramadhani. Naye [Lubuva na nadhani na timu yake hususan viongozi wa tume] ni kada wa CCM tu.
Sitegemei kabisa kuwaona wakimtangaza mshindi tofauti na mgombea wa CCM.
Sisi Tanzania bado hatujawa na tume 'huru' ya uchaguzi. Hebu jaribu kuangalia tume za chaguzi za Nigeria na Kenya tu, kwa mfano, halafu unambie zinaitwaje [jina kamili].
Wewe utakufanna kijiba roho chako hiko mwehu weeeee wenzako ndo hao tumeshamjua Presdent wetu hatutaki shida.Kwa mpango huu ccm wana kazi ya ziada kupata ushindi.Asanteni kwa kuwapa urahisi wapinzani
Acha kimfie kwani we inakuuma nini? Hahahaha umechoka bwaaaaa ulidhani MAMVI ndo atawepo kwenye list? Hahahha thubutu yakeChama kimemfia mkononi mpaka hapo!