Kama ana ubavu ahamishie mabasi yake act! Tutamsikia kaungana na kina Mramba kabla ya hiyo Oktoba 25.Watu mnapenda picha kama nini!!

habari wanajanvi, mda huu dodoma hali si ya kawaida kama ilivyozoeleka , wapambe watia nia mbali mbali wameonekana kusononeka sana na wengine kutoweka kabisa karibia na eneo la tukio la mchakato mzima wa kumpata mtia nia, wameanza kuwapunguza wengi hasa ambao hawana vigezo kamili na mlolongo wa ukataji ulikuwa hivi
1. ametolewa ambaye elimu yake si sawa na anayetakiwa, yule mtia nia wa kigoma mr mahale,
2.wakatolewa wenye kashfa nzito sana na ni vigumu kuwasafisha hapa tuna, edward lowassa..richmond, . sospeter muhongo ,, tegeta escrow, sumaye.. uuzwaji wa nyumba zza serikali na uuzaji wa mashirika ya umma ovyo, membe kaponea chupuchupu kukatwa ana makundi ya kukigawa chama, wasira ana kashfa ya rushwa mwaka 1995,
3.uzoefu na umri, japo wote wametimiza umri lakini bado hawajawa na uzoefu wa kutosha, hapa ni kigwangala, na mwigulu nchemba.
waliotangulia kuingizwa kwenye list ni
1.asha rose migiro gender factor , uwajibikaji wake na usafi wake
2.augustino ramadhan zanzibar factor na kutokuwa na makundi na uwajibikaji wake,
3.makongoro nyerere, uwajibikaji na kuchukia rushwa kukemea hadharani wala rushwa na hali ya juu ya uthubutu kwenye maslahi ya wengi hana woga, pia nyerere factor usafi na kumuenzi mwalimu nyerere,
4.pombe magufuri, uwajibikaji wake na hasa kutekeleza sheria bila kupindishwa, na muwajibikaji wa hali ya juu
5. mizengo pinda , ni kiongozi mkuu wa serikali imekuwa vigumu serikali yenyewe kushindwa kutompitisha mtekelezaji mkuu wa ilan ya chama hicho bungeni na pia akikatwa itaonekana serikali nzima ilikuwa haifai, pia ni mtu msafi mwenye busara
6. samwel sitta, kwakuwa anasimamia sana matakwa ya chama na ameweza kutoyumbishwa wakati wa katiba mpya, amepitisha mapendekezo asilimia kubwa yaliyokuwa yanapendelewa na chama chake,mbali ya hapo ana uthubutu na ni mwajibikaji,
7.mark mwandosya
8.bernad membe
hapo ndo itatoka tano bora ,tatu mpaka moja bora,
Alifanya vizuri sana. Kawarahisishia kazi kina Nape.
Mtu mzima na akili zako unaambiwa tafuta wadhamini 450 mikoa 15 unakwenda kuandaa mabus matatu ya kusumbua watu siku ukipewa nchi utafanya mambo ya ajabu.
Amekatwaaaaaaa
ha ha ha, jamaa yupo Dovya then anatoa updates za Dodoma - kweli wabongo balaaa!!!Updates zimeishia wapi?
Kwa habari zi sizo rasmi lakini za uhakika hawa ndiyo tano bora ,
1 Asha Rose
2 January Makamba
3 Muigulu Nchemba
4 Magufuli
5 Lowasa
Hii ndiyo CCM..... ! !
Amekatwa tayariMbona hawakati jamani?Shida nini kwan?
Mbona wengi hawapo mwakyembe, january makambahabari wanajanvi, mda huu dodoma hali si ya kawaida kama ilivyozoeleka , wapambe watia nia mbali mbali wameonekana kusononeka sana na wengine kutoweka kabisa karibia na eneo la tukio la mchakato mzima wa kumpata mtia nia, wameanza kuwapunguza wengi hasa ambao hawana vigezo kamili na mlolongo wa ukataji ulikuwa hivi
1. ametolewa ambaye elimu yake si sawa na anayetakiwa, yule mtia nia wa kigoma mr mahale,
2.wakatolewa wenye kashfa nzito sana na ni vigumu kuwasafisha hapa tuna, edward lowassa..richmond, . sospeter muhongo ,, tegeta escrow, sumaye.. uuzwaji wa nyumba zza serikali na uuzaji wa mashirika ya umma ovyo, membe kaponea chupuchupu kukatwa ana makundi ya kukigawa chama, wasira ana kashfa ya rushwa mwaka 1995,
3.uzoefu na umri, japo wote wametimiza umri lakini bado hawajawa na uzoefu wa kutosha, hapa ni kigwangala, na mwigulu nchemba.
waliotangulia kuingizwa kwenye list ni
1.asha rose migiro gender factor , uwajibikaji wake na usafi wake
2.augustino ramadhan zanzibar factor na kutokuwa na makundi na uwajibikaji wake,
3.makongoro nyerere, uwajibikaji na kuchukia rushwa kukemea hadharani wala rushwa na hali ya juu ya uthubutu kwenye maslahi ya wengi hana woga, pia nyerere factor usafi na kumuenzi mwalimu nyerere,
4.pombe magufuri, uwajibikaji wake na hasa kutekeleza sheria bila kupindishwa, na muwajibikaji wa hali ya juu
5. mizengo pinda , ni kiongozi mkuu wa serikali imekuwa vigumu serikali yenyewe kushindwa kutompitisha mtekelezaji mkuu wa ilan ya chama hicho bungeni na pia akikatwa itaonekana serikali nzima ilikuwa haifai, pia ni mtu msafi mwenye busara
6. samwel sitta, kwakuwa anasimamia sana matakwa ya chama na ameweza kutoyumbishwa wakati wa katiba mpya, amepitisha mapendekezo asilimia kubwa yaliyokuwa yanapendelewa na chama chake,mbali ya hapo ana uthubutu na ni mwajibikaji,
7.mark mwandosya
8.bernad membe
hapo ndo itatoka tano bora ,tatu mpaka moja bora,
Kama EL hayuko kwenye list njia ya M4C iko tambarare.
Mwalimu aliwaambia SIKILIZENI WANANCHI WANACHOKITAKA.
Wananchi wameonesha wazi kwamba wanampenda E Ngoyaye L