Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Moja ya kanuni itakayowakata maini wagombea wengi ni kanuni ya (20) inayosema nanukuu "ni mwiko kwa mgombea yeyote kumchafua au kumpaka matope mgombea mwingine/mwenza" mwisho wa kunukuu rudisha sasa akili yako katika wagombea kipindi cha kusaka wadhamini
 
Hii mitandao ya kijamii ukiifwatilia sana inaweza kukutia uchizi...80% ya story za ccm ni uongo. Kwa nini msisubiri watutangazie? Kwani tarehe 12 ni mbili?....

Tumechoka ni hizi story jamani aaarrrgghhh
 
Young.Uhuru-Kenyatta.-Jomo-Kenyatta.Son_.Father.jpg

Uhuru na hayati baba yake - Bayake ni Muasisi wa nchi ya Kenya - Uhuru ni Rais wa Kenya kwa sasa.

JKN-NA-MADARAKA.jpg

Makongoro na hayati Baba yake!! Baba yake alikuwa ni muasisi wa nchi ya Tanzania.
 
personality of a Leader is so much important... Mheshimiwa.Makongoro alikwama Kujijenga Kijamii kwa kuboresha Tabia yake kwa jamii.
 
Moja ya kanuni itakayowakata maini wagombea wengi ni kanuni ya (20) inayosema nanukuu "ni mwiko kwa mgombea yeyote kumchafua au kumpaka matope mgombea mwingine/mwenza" mwisho wa kunukuu rudisha sasa akili yako katika wagombea kipindi cha kusaka wadhamini
kwani unajua tofauti ya kumpaka mtu matope na kumtangaza sifa yake, yule aliyekuwa akimtaja mamvi hadharani alikuwa anasema ukweli , ingekuwa uongo hapo angewajibishwa kwa kumpaka matope, hivyo kampaka siagi yake
 
Moja ya kanuni itakayowakata maini wagombea wengi ni kanuni ya (20) inayosema nanukuu "ni mwiko kwa mgombea yeyote kumchafua au kumpaka matope mgombea mwingine/mwenza" mwisho wa kunukuu rudisha sasa akili yako katika wagombea kipindi cha kusaka wadhamini
Woo.. Hiyo imemchota Makongolo, hapo kaenda na maji. kama kabaki basi alichosema sio matope ni kweli, japo chaweza kuwa kweli but machoni kwa refa kikawa matope kwa vigezo na masharti ya ccm. Tungo tata hiyo
 
Wakuu CCM naona wanatumia ule mchezo wa watoto. Kucheza na viganja vya mikono ili kupata mgombea. "Kanyuli nyulika, mwanangu mwana wa jumbe, kavaa nguo nzuri watatu kajitenga aliye JUU atoke" so kama uli raise bar yako sana unakatwa fasta na aliye chini anasalimika.
 
Back
Top Bottom