Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

Toa ufafanuzi wapi Magufuli atapata 10t ndani ya miaka hii mitano ya kumalizia miradi ya SGR na SG, iwapo tume isiyo huru itamtamgaza, maana mpaka sasa deni la taifa limepanda kwa 15t+. Mambo ya nyomi kujadili hapa yanakufanya uonekana juha tu.

Cc: Msemajiukweli, paskali mayalla, kipande
Jumatatu wiki hii Tenda tayari ya SGR imeshasainiwa ya kutoka Mwanza!! Kodi zetu ambazo mlizoea kuzipiga ndiyo zitatumika.
 
Nitafurahi zaidiii endapo mashujaa haya kama yataongea mkutanoni walau ata dakika moja.
Mashinji
Waitara
Bashe
Katambii
Silinde
Mwambe
Kafulila
Machali
Nape
Lowasa
Katambi
Mkumbo
Sumaye
Kalangaa
Lijualikali
Kibajaji
Msukumaa
N.k n.k
Yaani chadema Leo wasithubutu kufungulia ata data kwenye simu, watazimia kwa aibu kubwaa
Hao wote watu wa hovyo kabisa kumbe ndio mashujaa wa ccm!
 
Toa ufafanuzi wapi Magufuli atapata 10t ndani ya miaka hii mitano ya kumalizia miradi ya SGR na SG, iwapo tume isiyo huru itamtamgaza, maana mpaka sasa deni la taifa limepanda kwa 15t+. Mambo ya nyomi kujadili hapa yanakufanya uonekana juha tu.

Cc: Msemajiukweli, paskali mayalla, kipande
Huyo ni zaidi ya juha tu, kuna siku alinitishia kama kawaida yao siku zote kujiona wao ndiyo bora, nikamwambia nilipo akasema anakuja kunitoa nishai.

Nikamwambia tukutane pale court yard nami kiukweli nikatoka home nikaenda kumsubiri, zaidi ya masaa matatu nikaona kama kaingia mitini na siku hiyo kingewaka kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa walevi wa konyagi hata kusikiliza hawasikilizagi. Unajua maana ya sera kwanza?
Lijuakali si alijidai kuvaa Barakoa akampiga mbowe usiku akatikomea , laana ya mbowe inamtafuna sasa
 
CCM lengo lao ni kupata wabunge zaidi ya theluthi mbili ili wabadikishe Katiba na kuirudisha nchi enzi za ujima kisha wamfanye mwenyekiti wao Rais wa maisha. Hayo mengine ni mbwembwe tu za kampeni.
 
Ndio maana unaambiwa serikali ya mtu ni kichwa chake. Dont expect anything substantial for you from them!
Maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo siyo pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu, maendeleo ni pesa za walipa kodi wote pasipo kuangalia itikadi
 
Back
Top Bottom