Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

mama D, si kawaida yangu kuwajibu watu wapuuzi lakini leo nitavunja mwiko wangu kwako, nitakujibu. Umetoa mfano wa Marekani au siyo? Marekani unaijua ama unasimuliwa tu...yaani kitendo kama kile cha Mh. Lissu kimtokee mwakilishi wa wananchi tena Mbunge (kwa Marekani wanaitwa members of Congress, muunganiko wa House na Senate) halafu maisha yaendelee kama vile hakuna kilichotokea! Kama maana yako ni hiyo nadhani wewe ni mpuuzi kuliko wapuuzi wote humu JF.

Ingekuwaa Marekani mitaa yote isingekalika hadi mhusika apatikane. Nakuapia ingekuwa Marekani haingechukua saa 24 wahusika wote wangekuwa wameshakamatwa. Natamani nikupe shule lakini kwa kuwa umethubutu kuifananisha Marekani na Tanzania, nadhani ni kazi bure hata kujaribu kukuelimisha. Congressman amiminiwe risasi kama ilivyotokea kwa Lissu tena kwenye makazi ya viongozi halafu miaka mitatu inapita...oh what's the use...than argue with your likes, I'd rather argue with a dining table, goodbye!

Watu kama wewe kambi yaenu ni CCM, hifadhi ya wajinga na wapuuzi.
Nimesoma sentence ya kwanza na nikaishia hapo hapo baada ya kugundua umeandika upuuzi😎
 
Kww taarifa yako kuibiwa mtaibiwa na hamna ubavu wa kufanya chochote Kama tumewaengua madiwani wenu karibu 400 na mko kimya mnafikiri mnaweza kufanya nini?

Yaani ni hivi kura mtaibiwa na mkireta chokochiko tunafunua marinda kuanzia ya shangazi zenu.
Wale vijana wenu mliwapa mawe pale ofisi yenu ya CCM wamshambulie lissu wanaendelea hapo na matibabu???? Meno yote ya mbele hamna hata moja
 
Molemo, siyo vizuri, umeiba picha maktaba ya taifa ati Una Sema ni Lisu!! Moja ni ya mwaka 1922 matembezi ya mshikamano, akiongoza kawawa! Ya pili na ya tatu ni nane nane mwaka 1898, anaongoza Sokoine! Kwanini mnampa sana Lisu ujiko wa nyomi!? Tutawashitaki tume, na kuanzia wiki ijayo kutumia camera yoyote ni laki kwa siku na kupost picha milioni moja kwa siku!😂😂
 
Kama umesoma sheria bila Shaka ulipata karai...yaani hata kwenye mitandao mnavyohamasisha vurugu na mauaji ushahidi unawekwa ..ole wako uko verified member...nadhani hujui dunia inavyokwenda...unadhani walioshitakiwa kwenye mahakama ya Arusha kuhusiana na mauaji ya kimbari Rwanda 1994 wewe unafikiri wote walishika mapanga na kuua?! Wengine walikuwa Kama nyie kuhamasisha kwenye media.

Sasa kupigwa risasi kwa Lissu na madai ya kuhusika kwa huyo uliyemtaja bila Shaka mwenzetu una ushahidi mzuri kwa polisi na huko The Hague...huko utawasilisha vielelezo na suyo blah blah..umetaja UN tangu lini chombo hiki kilizungumza masuala ya Tanzania?! Nyie watu hamnazo kichwani...Yaani UN izungumzie dhuluma ya TZ??!! .ni kikao gani hicho ?! Cha security council? Au Cha General Assembly?! Tangu lini UN ikaona Kuna dhuluma Tanzania?! .stupid...very stupid indeed and idiot too...yaani mnaropoka ropoka tu...you don't know how the international system works and/ or operates...humjui masuala ya international relations...hujui dhuluma ni Nini...mmevimbiwa amani ya TZ Sasa mnataka kuleta vurugu...hamfanikiwi ng'o..this country is safe...Kuna watu wanafanya kazi usiku na mchana to make sure this country is safe...hata wewe unayeropoka nyuma ya keyboard ni kwa sababu vijana wako kazini kuhakikisha kuwa uko huru...stupid...ila ukiendelea kuhamasisha ushahidi wa maandiko ya Aina unawekwa..utakuwa candidate wa the so called The Hague...
Acha blabla mpuuzi wewe. Uchaguzi uwe huru na haki full stop hamwezi kuingia kwenye huku mkitegeme njia za kishenzi mtazamwe tu.
 
Geita:Nimebahatika kuhudhuria mkutano wa,Magufuli Geita,na jana nimebahatika kumsikiliza Tundu Lisu hapa hapa Geita.Usiku wa kuamkia leo 25 Sept nimefanya maamuzi ya nani nitampigia tarehe 28 Oct.MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Nimekuuliza je kila nchi mauaji yanamotokea au kupigwa risasi watu ni rais na serikali yake?
Hiyo tweetvideo nimeiona ila na nimeilewa pia na Membe ndio kashapotezwa. Ila kila mtu ana uelewa wake anyways
Mkuu kwa baadhi ya matukio hapa kwetu yapo tofauti yahani unaona mamlaka zilizo takiwa kusaidia wahusika wajulikane zinajitahidi kuuficha ukweli. Matukio yote ya mauaji yyanayo "wahusisha" wanasiasa huwa yana fumbwa fumbwa ili yasijulikane mhusika ni nani, umakumbuka pale Soweto Arusha?....
 
Mkuu kwa baadhi ya matukio hapa kwetu yapo tofauti yahani unaona mamlaka zilizo takiwa kusaidia wahusika wajulikane zinajitahidi kuuficha ukweli. Matukio yote ya mauaji yyanayo "wahusisha" wanasiasa huwa yana fumbwa fumbwa ili yasijulikane mhusika ni nani, umakumbuka pale Soweto Arusha?....
Mkuu, iko wazi kwamba ccm na serikali hii ya awamu ya tano ndio waratibu na wasimamizi wa matukio yoote ya kuteka na kuua hapa nchini,
Kwa kukumbusha tu, Daudi Mwangosi, Azoly, Ben Sanane., Kamanda Mawazo,..............................................................orodha jadidi
 
Baada ya tarehe 28/10/3/2020 ...atakuwa Tundu la chooo na siyo lisulu.
Sawa sawa NEC....
Tundu Lissu kiboko yao...... Mpaka sasa katembelea vijiji kibao ambavyo Hakuna rais amewahi kufanya hivo.... Bila shaka yupo humu yy au wasaidizi wake watamjulisha.....

Hatutaki tena magufuli dikteta na fisadi mkuu wa taifa na mharibifu wa uchumi wa nchi na watu
 
Nakuhakikishia hakuna Kura itakayoibiwa mwaka huu.Mlizoea Sasa mmekutana na Mwamba msidhani ni Lowassa huyu
Hindsight:
Kuna msemo mmoja anapenda kuutumia Mch Peter Msigwa, kuwa kufanya jambo lile lile, kwa njia ile ile na kutegemea matokeo tofauti ni uendawazimu. Probably nyakati hizi wanautafakari kwa kina na kuufanyia kazi kuelekea 2025.
 
46 Reactions
Reply
Back
Top Bottom