Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 23, 2021

Mashahidi wa mchongo😁😁😁
qsD.jpg
 
Hizi hoja mfu ndizo zinafanya Chadema wanashindwa kwa kila kesi. Mahakama siyo jukwaa la siasa. Acheni kuwahadaa watu na hoja mfu kama hizi kwenye masuala ya kisheria.
Ukiwa na akili mfu hakika yote kwako yanakuwa mafu,ndo maana umeweza ona hoja za chadema ni mfu.Ndugu unahitaji kuhuisha akili zako ndipo uweze ona hoja zenye uhai
 
Siyo kwenu nyie wanywa viroba. Hicho chama chenu ni chama cha wachaga. Je kuna mchaga jasili Tanzania hii. Mmeshindwa hata kuwatimizia wake zenu unyumba leo hii mpate ujasili wa kuitikisa serikali!!

Mara ngapi mnatishia kuandama wanamme wanatoka na ufagio kufagia mitaa mnanywea? Hao wapiga kelele wenu wako huko kwa mabwana zao ulaya. Waje huku uwanja wa mapambano tutambue ujasli wao.
Jitahidi kujipendekeza yawezekana ukapata hata kanafasi ka kufunga viatu vya wakubwa.Ila kwa kichwa hicho ukipewa kacheo hata ka ujumbe wa nyumba kumi yatakupata ya sabaya
 
Uhalali (legacy) wa Serikali ni pale inapokuwepo au kutokana na watu na ipo kwa ajili ya watu

Mkuu wa nchi kupitia chombo cha cha habari maarufu duniani anapo condemn kwa mtuhumiwa ni gaidi/ ana makosa na pia Mkuu wa jeshi la polisi anapothibitisha mbele ya chombo cha habari (Dakika 45 za ITV), huko hakukuwa kuingilia uhuru wa mahakama??
Kama mahakama zetu zingekuwa huru, tungeweza kuamini kwamba Jaji atakuwa huru kutoa hukumu. Lakini kwa mahakama zetu na majaji wetu wanaotegemea kupata vyeo kwa kulamba viatu vya watawala, kamwe haki haiwezi kupatikana au kuonekana ikipatikana.
Ndugu yangu
'Legacy'
sio uhalali. Ninadhani 'ulitamani' kuandika 'Legality' ambayo ndio inamaanisha uhalali.
 
Siyo kwenu nyie wanywa viroba. Hicho chama chenu ni chama cha wachaga. Je kuna mchaga jasili Tanzania hii. Mmeshindwa hata kuwatimizia wake zenu unyumba leo hii mpate ujasili wa kuitikisa serikali!!

Mara ngapi mnatishia kuandama wanamme wanatoka na ufagio kufagia mitaa mnanywea? Hao wapiga kelele wenu wako huko kwa mabwana zao ulaya. Waje huku uwanja wa mapambano tutambue ujasli wao.
Ndugu,
ungeweza kujibu hoja zake bila ya kuhitaji kutumia lugha yenye UKABILA wala MATUSI, ungekuwa umeweza kumshinda shetani anaeng'ang'ania kuendelea kukutawala. Amen.
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Wewe ubongo wako ni duni. Mara nyingi kweli serikali imetishia na wakanyamaza, Kama ilivyokuwa Sudan, lakini fukuto la watu likirundikana, cheche ndogo tu inawasha moto. Dhulma inayofanyika Kama wewe unanufaika nayo, Kuna siku hutanufaika nayo.
Mtaishia hivyo hivyo. Cheche moja cheche moja matendo 0+. Hao organizer wenu watawalimot toka huko waliko au nao watakuja kuungana nanyi!!
 
kabisa mkuu tena ni 100%......
Shida wa Tanzania wengi wetu, Maswala ya sheria hatujui kitu.
Na kadiri kwa nyimbo na mapambio, wanavyo zidi kumshinikiza hakimu afuate wanavyoona wao, ndivyo wanavyozidi kumuangamiza Mbowe sababu hakuna hakimu atakayefanya uamuzi kwa shinikizo la kundi fulani lenye kutaka maslahi yake yalindwe.
 
Siyo kwenu nyie wanywa viroba. Hicho chama chenu ni chama cha wachaga. Je kuna mchaga jasili Tanzania hii. Mmeshindwa hata kuwatimizia wake zenu unyumba leo hii mpate ujasili wa kuitikisa serikali!!

Mara ngapi mnatishia kuandama wanamme wanatoka na ufagio kufagia mitaa mnanywea? Hao wapiga kelele wenu wako huko kwa mabwana zao ulaya. Waje huku uwanja wa mapambano tutambue ujasli wao.

You are sick in the head watu wanaongelea vingine unaingiza ukabila smh
 
Back
Top Bottom