Imekuwaje leo unatoa laana kali hivi?Wakala wa shetani kazini!!Ulaniwe wewe na familia yako.
J.mosi tulikuwa pamoja na tulipata mafundisho, sasa imekuwaje tena?
Imekuwaje leo unatoa laana kali hivi?Wakala wa shetani kazini!!Ulaniwe wewe na familia yako.
Well said.Hahaha huyu jaji anatuona sisi hatuna akili kabisa au ndo tuseme naye anajichanganya kama mashahidi
Mwanzo kadai kua shahidi anaruhusiwa kupanda kizimbani na material kama diary bila kuhitaji ruhusa, na kwa hilo akaona haoni sababu ya kumtoa shahidi...
Hata Sugu mlisema hivyo hivyo.Mtaongea lugha zote safari hii.
s shujaa kwa upande wa utetezi,siyo!Huyu Shahidi inabidi achapwe viboko na kesi ifutwe haraka
Sasa ikibainika alikuwa anadesa majibu itakuwaje ?s shujaa kwa upande wa utetezi,siyo!
HahahaMwanafunzi akikutwa Na kibomu ndani ya chumba cha mtihani asibughuZiwe labda akionekana akikitumia kibom hicho ndio apunguziwe maksi.
Jaji kapiga tikitaka huku kavaa msuli na ndani hajavaa boksa
Sheria iangaliwe inasemaje halafu Sheria ifuatwe.Sasa ikibainika alikuwa anadesa majibu itakuwaje ?
Watazitapika pgo walizomezaWazee wa PGO wanazidi kudhalilika
hapo chanjga la macho, kama mahakama inaweza kutoa desa itashindwa kuibadilisha hiyo diary...isome wanavyotaka?
Kuna mchezo kati ya mahakamana, mashahidi na ofisi ya dpp.. tulieni mtajionea wenyewe mwisho kunakuwaje.
Hapana, shahidi anatakiwa awe anajua anachokitolea ushahidi mahakamani. Hao wa kufundishwa ni wale mamluki wa Kingai wauza mbege.Kwani kikawaida shahidi haandaliwi maswali na majibu na wakili wake?
Safi sanaUamuzi wa Jaji Joachim Tiganga unakiri kuwa Shahidi Upande wa Serikali alikutwa aimeingia kizimbani na 'unauthorized materials' (vitu visivyoruhusiwa) ambavyo ni kitabu cha kumbukumbu (notebook) na kalamu (pen). Lakini Uamuzi huo unaendelea kudai kuwa hakuna ushahidi wo wote unaoonyesha kuwa Shahdi huyo wa Serikali alionekana kuvitumia vitu hivyo! Huu ni Uamuzi ndani ya Kesi Ndogo (Trial within a Trial) katika Kesi ya Freeman Mbowe na wenzake uliosomwa leo Mahakama Kuu, Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2021.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile MwamakulaView attachment 2013979
"MBOE" ni bibi yako? mpumbavu wewe, elimika na heshimu mtu, huyu kiongozi mkuu wa upinzani Tanganyika na mwanasiasa asiyenunulika.huyo mboe na mawakili wake wanataka kuisumbua mahakama.
isiwaendekeza hao vinginevyo watakesha.
au kama vipi, waachwe mahabusi mpaka 2025 ndio kesi iendelee.
hapo akili zitawakaa sawa.
haiwezekani mahakama ina nia ya kuharakisha kesi halafu wao wanaleta utoto mahakamani, sasa nani ndio Jaji? Mawakili wa mboe au Jaji?
lazima waheshimu maamuzi ya Jaji hata kama hayawafurahishi.
Lengo la mawakili wa mboe ni kutaka kumchanganya Jaji ili apoteze mwelekeo.....hilo halikubaliki.