Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

mahakama haifanyi kazi namna hiyo dogo, inahitaji ushahidi wa kujiridhisha pasi na shaka na ndiyo maana Shahidi wenu wanaingia na madesa kufanya uhalali wa kumfunga mbowe.., ngoma bado mbichi.
Hapo mwisho ndiyo umeongea mkuu ngoma bado mbichi sana tuwaache kina erythrosty wademke lakini haijulikani nani mwisho atakuwa mshindi mengine kunogeza baraza tu hakuna mtu anapenda mwenzie aharibikiwe kwa ustaarabu wa kitanzania au kiafrica ndiyo maana mtu akifa hata kama alikuwa jambazi sijawahi kusikia anakashifiwa
 
ni sheria gani inayosema shahidi hatakiwi kuwa na material yeyote? wakati sheria inaruhusu kama kuna kitu unataka kufanya reference unaiomba mahakama na unasoma kabisa sehemu za kumbukumbu zako? acha kupoteza wenzako bush lawyer wewe.

Huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jf. Haya mambo ya kisheria ni nje ya uwezo wako.
 
Dah... Shahidi alikua anasoma ushahidi... Ha ha ha haaaaaa.... Doh... TIGO watusaide tuone muda aliokua kizimbani simu yake imeingia na kutoka msg ngapi...
 
Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Sasa haya Maombi haya semi kama ni Kwa Mujibu wa Sheria au Lah na Kwa sababu hiyo Hatujui ni zoezi la Kisheria..

Kibatala: Sheria Inakataza na Mpaka kesi zipo za Marejeo Vifungu Vya 127 Vya Sheria ya Ushahidi,

... ona tofauti! Wakili wa Serikali hajui kwamba kuna sheria inakataza shahidi kupanda na "vibuti" kizimbani!
 
Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Sasa haya Maombi haya semi kama ni Kwa Mujibu wa Sheria au Lah na Kwa sababu hiyo Hatujui ni zoezi la Kisheria..

Kibatala: Sheria Inakataza na Mpaka kesi zipo za Marejeo Vifungu Vya 127 Vya Sheria ya Ushahidi,

... ona tofauti! Wakili wa Serikali hajui kwamba kuna sheria inakataza shahidi kupanda na "vibuti" kizimbani!
Hawa Mawakili wa serikali washazoea vya kunyonga!
 
ni sheria gani inayosema shahidi hatakiwi kuwa na material yeyote? wakati sheria inaruhusu kama kuna kitu unataka kufanya reference unaiomba mahakama na unasoma kabisa sehemu za kumbukumbu zako? acha kupoteza wenzako bush lawyer wewe.
kwa nini judge ka ahirisha kesi mpk j3 atakapotolea uamuzi jambo hilo?!? na kwa nini afisa wa mahakama alienda kuvichukua hivyo vitu?!? kama ni rahisi hivyo kwa nini mahakama haikumkatalia kibatala kwamba ni kitu kinachoruhusiwa!?!
 
Serikali ikisema haitaki kuendelea na kesi itakuwa aibu kwahio lazima ibuni njia kama hizi ili jaji apangwe kuifuta kesi.


Lunatic
Sidhani kama itakuwa ni aibu, sababu moja kubwa waliojiandaa huu kesi wengi hawapo duniani wala ofisini. Serikali ya sasa haijaandaa huu kesi. Rais Samia teta n'a mwanasheria Mkuu wa serikali ,futa hii aibu. Najua huhusiki kwa namna yeyote zaidi ya kupewa taarifa za uongo juu ya shauri hili na wale walioliandaa kwa maslahi yao na si ya Taifa.
 
kwa nini judge ka ahirisha kesi mpk j3 atakapotolea uamuzi jambo hilo?!? na kwa nini afisa wa mahakama alienda kuvichukua hivyo vitu?!? kama ni rahisi hivyo kwa nini mahakama haikumkatalia kibatala kwamba ni kitu kinachoruhusiwa!?!
subiri uamuzi wa jaji ndio uje uongee hapa. hiyo kesi ni sensitive kwahiyo kila kitu hata kama kidogo kinatakiwa kuchukuliwa kwa umakini mno.
 
Alie shauri Raisi wetu Mama kuendelea au kuibua hi kesi ni adui wake mkubwa,.... kwa kutumia criteria zote za sheria hawezi kuishida hi kesi zaidi ya kushusha hadhi ya mahakama na ya kwake kama Raisi.....kama kichaa mwenyewe aliogopa kuiazisha paka anadedi, sembusa wewe mwenye aiba na hofu ya Mungu.....
 
Sasa Usahihi wa Saini Ya Msajili.. Kuna Mazoezi Walitakiwa Wenzetu Kufanya na hawakufanya.. Na Ndipo suala la ku' Chagua Toroli likae wapi na Farasi akae wapi ni Jambo Muhimu... Maamuzi yalikuwa Criticism na Siyo Permissive ndiyo Maana Mahakama Ika' refuse...
aisee....!!!
 
madesa... ha ha ha ha ha scripts ni ngumu kukariri jamani.
Sifa za kuwa shahidi hizo hapo- kwa hiyo shahidi kavunja kifungu gani hapo?

CHAPTER V
WITNESSES
PART I
Acts Nos. 19 of 1980 s. 11; 4 of 1998 s. 27 127.-

COMPETENCY, COMPELLABILITY AND PRIVILEGE OF WITNESSES
Who may testify
(1) Every person shall be competent to testify unless the court considers that he is incapable of understanding the questions put to him or of giving rational answers to those questions by reason of tender age, extreme old age, disease (whether of body or mind) or any other similar cause.

(2) Where in any criminal cause or matter a child of tender age called as a witness does not, in the opinion of the court, understand the nature of an oath, his evidence may be received though not given upon oath or affirmation, if in the opinion of the court, which opinion shall be recorded in the proceedings, he is possessed of sufficient intelligence to justify the reception of his evidence, and understands the duty of speaking the truth.

(3) Notwithstanding any rule of law or practice to the contrary, but subject to the provisions of subsection (7), where evidence received by virtue of subsection (2) is given on behalf of the prosecution and is not corroborated by any other material evidence in support of it implicating the accused the court may, after warning itself of the danger of doing so, act on that evidence to convict the accused if it is fully satisfied that the child is telling the truth.

(4) Notwithstanding any rule of law or practice to the contrary, but subject to the provisions of subsection (7), the evidence of a child of tender age received under subsection (2) may be acted upon by the court as material evidence corroborating the evidence of another child of tender age previously given or the evidence given by an adult which is required by law or practice to be corroborated.

(5) For the purposes of subsections (2), (3) and (4), the expression "child of tender age" means a child (whose apparent age is not more than fourteen years.

(6) A person of unsound mind shall, unless he is prevented by his condition from understanding the questions put to him and giving rational answers to them, be competent to testify.

(7) Notwithstanding the preceding provisions of this section, where in criminal proceedings involving sexual offence the only independent evidence is that of a child of tender years or of a victim of the sexual offence, the court shall receive the evidence, and may, after assessing the credibility of the evidence of the child of tender years of as the case may be the victim of sexual offence on its own merits, notwithstanding that such evidence is not corroborated, proceed to convict, if for reasons to be recorded in the proceedings, the court is satisfied that the child of tender years or the victim of the sexual offence is telling nothing but the truth.

(8) For the purposes of this section the term "sexual offence" means any of the offences created in Chapter XV of the Penal Code
 
Serikali inawafanya mawakili waonekane malofa. Ni dhahiri serikali ina-collude na wale maafisa wa mahakama bandia, wasiojulikana waliopenyeshwa ndani ya mahakama. Marehemu aliua kabisa mhimili wa mahakama na Bunge.

Bahati mbaya wanaofanya haya akili zao ni kidogo sana, watazidi kuumbuka zaidi kila siku ipitayo.

Na walijipalia makaa ya moto kuileta Dar es Salaam kwa wajanja wenye kuhoji na waliomakini. Na hakika wanajilaumu kwanini hawakuifungua kesi huko Moshi .

Dar es Salaam umma ulikomaa kudai haki yao ya kuingia mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi. Kweli nguvu ya umma wakiamka hata mawakili wa utetezi, waandishi wa habari , wadau wa kutetea haki morali yao inapanda kufuatilia kesi hii kwa ukaribu.
 
kesi hii wengi mnaojadili hamjui kabisa procedure za mahakamani, na huwa ni ngumu sana kuwaelewesha. subiriini kesi ifike mwisho mtapata jibu. yaani kitu very trivial utakuta mnashikilia bango as if ndio kinachoamua kesi yote. hayo ni mambo ya kawaida mahakamani, pale ni vita vita mura, ila mwisho anayeshinda ndio ananyanyua bango.
Kesi ni process na siyo event..!!! Embu niambie, kama kila kinacholetwa mahakamani kinawekewa pingamizi kwenye kupokelewa na hakipokelewi kweli.. KESI KUU ITAENDESHWAJE ?
 
mawakili wa utetezi wanakosa cha kuzungumza wanakosa hoja za msingi mpaka wanaona vitu kama diary na peni vinamsaidiamshahidi kutoa maelezo? inamaana simu anaweza kuitumia hapokupata majibu kweli? hapo hakuna mawakili wa utetezi ni njaa tu zinawasumbua
Ndg hitaji la kisheria ni.muhimu sana kuzingatiwa. Usipozingatia unaweza kwa ujinga ukaharibu kila kitu,hata kama hicho ulichokuwa nacho kinyume cha sheria hakina madhara au hakiathiri hali halisi.
 
Back
Top Bottom