Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Kuna jamaa hapo pichani tumesoma naye chuo na alikuwa Ana feli Sana Ni mbishi Sana na kweli alikuwa mwanasiasa kutwa kuiponda ccm..kweli asee mpk kwenye kesi ameenda Basi anaipenda cdm toka moyoni nimeamini Leo
mwenye ndevu nn au
 
Huyu ni kiongozi wa chama anaetambulika,je sisi ohehahe itakuwaje?katiba ni muhimu kwa nchi hii ,Waachane na mambo ya kupaka rangi nchi
 
Sifa za kuwa shahidi hizo hapo- kwa hiyo shahidi kavunja kifungu gani hapo?

CHAPTER V
WITNESSES
PART I
Acts Nos. 19 of 1980 s. 11; 4 of 1998 s. 27 127.-

COMPETENCY, COMPELLABILITY AND PRIVILEGE OF WITNESSES
Who may testify
(1) Every person shall be competent to testify unless the court considers that he is incapable of understanding the questions put to him or of giving rational answers to those questions by reason of tender age, extreme old age, disease (whether of body or mind) or any other similar cause.

(2) Where in any criminal cause or matter a child of tender age called as a witness does not, in the opinion of the court, understand the nature of an oath, his evidence may be received though not given upon oath or affirmation, if in the opinion of the court, which opinion shall be recorded in the proceedings, he is possessed of sufficient intelligence to justify the reception of his evidence, and understands the duty of speaking the truth.

(3) Notwithstanding any rule of law or practice to the contrary, but subject to the provisions of subsection (7), where evidence received by virtue of subsection (2) is given on behalf of the prosecution and is not corroborated by any other material evidence in support of it implicating the accused the court may, after warning itself of the danger of doing so, act on that evidence to convict the accused if it is fully satisfied that the child is telling the truth.

(4) Notwithstanding any rule of law or practice to the contrary, but subject to the provisions of subsection (7), the evidence of a child of tender age received under subsection (2) may be acted upon by the court as material evidence corroborating the evidence of another child of tender age previously given or the evidence given by an adult which is required by law or practice to be corroborated.

(5) For the purposes of subsections (2), (3) and (4), the expression "child of tender age" means a child (whose apparent age is not more than fourteen years.

(6) A person of unsound mind shall, unless he is prevented by his condition from understanding the questions put to him and giving rational answers to them, be competent to testify.

(7) Notwithstanding the preceding provisions of this section, where in criminal proceedings involving sexual offence the only independent evidence is that of a child of tender years or of a victim of the sexual offence, the court shall receive the evidence, and may, after assessing the credibility of the evidence of the child of tender years of as the case may be the victim of sexual offence on its own merits, notwithstanding that such evidence is not corroborated, proceed to convict, if for reasons to be recorded in the proceedings, the court is satisfied that the child of tender years or the victim of the sexual offence is telling nothing but the truth.

(8) For the purposes of this section the term "sexual offence" means any of the offences created in Chapter XV of the Penal Code
mutajua hamujui!
 
Unajua jambo hili tusilichukulie rahisi rahisi. Haiwezekani mtu anaenda chumba cha mahakama cha kuhifadhi nyaraka, anaiba nyaraka halafu bila woga anakuja nayo mahakamani kuitumia kama ushahidi, anaulizwa umepataje hiyo nyaraka hana la kujibu halafu anaachwa tu hivi hivi! Hivi usalama wa nyaraka za serikali mahakamani ukoje? Hiyo ni nyara ya serikali.
huyo shaidi ni mtu wa matukio ya yenye utata .
1.kambambikiza muzee wa watu pembe za ndovu
2.kambambikiza jamaa bastola
3.kasimamishwa kazi lakini bado anaendelea na kazi
4.kaiba nyaraka ya mahakama kaileta mahakamani
 
Hii kesi inavutia sana jinsi mawakili wanavyochuana, najilaumu babangu kunipeleka sayansi..nafikiri ningefiti sana hapa kwa sheria maana mimi ni king of logic.

If..then.. end if...zimelala.
Hiyo logic kwa sababu ulisoma sayansi
 
Hii kesi inavutia sana jinsi mawakili wanavyochuana, najilaumu babangu kunipeleka sayansi..nafikiri ningefiti sana hapa kwa sheria maana mimi ni king of logic.

If..then.. end if...zimelala.
Labda King of kulala Lodge
 
Akaona haitoshi akaamu awe ana Google maswali na Simu kabisa😀😀😀
Umaskini mbaya sana aiseee
Inawezekana aliagizwa akasome vitabu Fulani ndiyo maswali yanatoka huko. Hapo ndio unafuata ule mwendo wa kwenda dukani unaimba sukari kilo moja, sukari kilo moja, sukari kilo moja. Mpaka kufika dukani. Kufika dukani anauliza mangi nipe kile kitu kinachofanana na chumvi. Mangi anampimia kilo tatu ya chumvi.

Mawakili wa utetezi ni kuboko. Kumbukumbu zote poteza.
 
Inawezekana aliagizwa akasome vitabu Fulani ndiyo maswali yanatoka huko. Hapo ndio unafuata ule mwendo wa kwenda dukani unaimba sukari kilo moja, sukari kilo moja, sukari kilo moja. Mpaka kufika dukani. Kufika dukani anauliza mangi nipe kile kitu kinachofanana na chumvi. Mangi anampimia kilo tatu ya chumvi.

Mawakili wa utetezi ni kuboko. Kumbukumbu zote potea.
Wanaume tena watu wa wazima na Wasomi wanafanya mambo ya aibu na kuhuzunisha sana.

Hakuna siku nimeshangaa kama yule Mama muuza mbege alivyong'angania kuita Bunduki namba zake kila alipohojiwa.

Sema kina Kibatala ni wastaarabu sana yule angepekuliwa mwili mzima.
 
Inasemekana aligoma , baadaye wakamlazimisha vinginevyo angetekwa , na yeye akawapa masharti wampe nondo , ndio ile diary sasa .

Aibu naona mimi yaani !

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ndio maana alipo TOA vitu vyake alisikitika na kutingisha kichwa. Haya tungoje kesho tutakapo badilishiwa dairy nakuambiwa ndio hii kumbe wameificha. Chezea watu za vitu vya mahakama wewe.
 
Niliyaongea mapema Ile kuwa shahidi ANAONGEA Kama KAKARIRISHWA,kumbe alikuwa na dayari amejaza nondo za kutosha. Msemwa ,,hivi wanao Ndugu na marafiki wakiona unatoa vitu mahakamani si watakutharau?? Ona sasa .NILISEMA Ile mapema mwisho WA ubaya NI fedheheko.
JAMANI HEBU TUCHUE KIRAHISI KABISA. KAMA KWELI MBOWE ANGEKUWA GAIDI ! MBONA WANATUMIA NGUVU KUBWA SANA KUTAFUTA NAMNA YA KUNTIA HATIANI? NAMSHANGAA JAJI MPAKA LEO HAJACHUKUA MAAMUZI. AU NAYE KANOGEWA NA TAMTHILIA HII? KAMA NASI TULIVYO NOGEWA? YAANI JAJI AKIPITIA KESI YA KINA KARUGAKINGIRA NA WENZAKE ,ANGEKUWA KASHAMALIZA KESI. ILA WACHA KUKUCHE TUONE NANI KAKOJOA KITANDANI.
 
Back
Top Bottom