Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Januari 10, 2022. Shahidi namba 8 aendelea kutoa ushahidi. Kesi imeahirishwa hadi kesho 11/01/2022

Jaji mwenyewe na hata huyo shahidi wote chungu kimoja, siku Ile ya tarehe 15/12/2021 kwenye mahakama hii, Jaji huyo alitoa amri ya kuletwa kwa vyeti na vithibitisho juu ya madai kuwa shahidi alikuwa anaumwa hivyo kupelekea kushindwa kuhudhuria mahakamani na kesi kuahirishwa.

Jaji akasema kabla ya mahakama kuanza lazima atoe vielelezo hivyo, lakini Hakuna kilichofanyika inamaana kwamba hata Jaji mwenyewe hajali juu ya amri yake. Anajipuuza mwenyewe.

Hii kesi imejaa errors nyingi Mara utasikia mashahidi wakisema, "sifahamu" ,"hakuna ulazima" Yani Hovyohovyo tu. Kesi ya mchongo hii.
 
Back
Top Bottom