Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Mwambie wale wanaozingatia hicho unachotaka Tanzania kifanyike athari zake ni hizi hapa
#Country,
Other
Total
Cases
New
Cases
Total
Deaths
New
Deaths
Total
Recovered
Active
Cases
Serious,
Critical
Tot Cases/
1M pop
Deaths/
1M pop
Total
Tests
Tests/
1M pop
Population
World111,011,295+183,4472,456,306+4,79485,932,33022,622,65995,34614,242315.1
1USA28,529,053+5,529505,474+16518,705,4269,318,15318,08685,8701,521341,578,4881,028,121332,235,623
2India10,969,230+7,041156,181+5810,672,253140,7968,9447,899112209,474,862150,8531,388,604,896
3Brazil10,030,626243,6108,995,246791,7708,31846,9781,14128,600,000133,946213,518,604
4Russia4,139,031+13,43382,396+4703,679,949376,6862,30028,355564108,300,000741,911145,974,320
5UK4,095,269+12,027119,920+5332,331,0011,644,3482,53560,1251,76184,710,3871,243,68168,112,609
6France3,536,64883,393247,1273,206,1283,39454,1061,27649,251,253753,47665,365,430
7Spain3,121,68766,7042,442,795612,1883,82266,7511,42637,334,915798,32946,766,313
8Italy2,780,882+15,47995,235+3482,303,199382,4482,05946,0371,57737,501,875620,83960,405,145
9Turkey2,624,019+7,41927,903+822,511,54884,5681,18530,90232932,098,166378,00884,914,059
10Germany2,373,095+88667,592+452,176,300129,2033,17728,26680542,872,730510,66783,954,352
11Colombia2,212,52558,3342,105,44548,7463,48243,1911,13911,033,945215,39551,226,527
12Argentina2,046,79550,8571,849,451146,4873,57345,0251,1197,002,049154,03145,458,762
13Mexico2,022,662+9,099178,108+1,0471,577,838266,7164,79815,5841,3725,203,84740,094129,791,131
14Poland1,623,218+8,77741,823+2411,365,216216,1791,30642,9191,1069,440,073249,60437,820,189
15Iran1,558,159+8,01759,341+771,331,162167,6563,66918,40270110,274,529121,34384,673,327
16South Africa1,498,76648,7081,403,21446,84454625,0718158,807,299147,32459,781,978
17Ukraine1,293,672+6,53124,972+1201,139,977128,72317729,6955736,596,588151,41643,565,895
18Indonesia1,263,299+10,61434,152+1831,069,005160,1424,58812410,277,56837,325275,356,325
19Peru1,261,80444,4891,163,15354,1622,07937,9351,3387,109,157213,73033,262,348
20Czechia1,134,957+11,55318,913+901,003,739112,3051,258105,8571,7647,314,796682,24710,721,627
21Netherlands1,047,400+4,72615,138+49N/AN/A51061,0418826,970,400406,22417,159,000
22Canada837,49721,498783,41232,58759422,06756623,371,443615,81537,952,041
23Portugal794,769+1,94015,821+67691,86687,08266978,0891,5547,939,693780,10410,177,741
24Chile791,939+3,79719,897+99748,92023,1221,55641,2031,0358,935,296464,88919,220,288
25Romania774,555+2,71219,738+79719,69335,12494940,4351,0305,831,513304,42719,155,675
26Belgium746,302+2,42021,821+2851,232673,24931564,2161,8789,047,994778,54411,621,688
27Israel744,513+2,5795,526+17693,73045,25787280,94760111,590,2431,260,1399,197,590
28Iraq661,477+4,02413,232+12614,52933,71632416,2163246,470,846158,63640,790,550
29Sweden631,16612,649+33N/AN/A20762,2501,2485,708,037562,96410,139,260
30Pakistan568,506+1,24512,527+39531,84024,1391,6262,543568,602,51538,473223,596,557
31Philippines557,058+1,90111,829+157512,78932,4407855,0411078,480,68976,746110,503,852
32Switzerland547,775+1,0219,880+4495,20742,68818763,0001,1364,857,927558,7178,694,797
33Bangladesh542,674+4068,337+8490,46843,8693,274503,922,48923,668165,729,384
34Morocco480,0568,524462,4369,09627812,9092295,559,393149,49637,187,582
35Austria441,659+1,8188,348+36417,65415,65726048,8619244,997,284552,8559,039,044
36Serbia431,680+2,6324,306+1431,536395,83815249,5344942,824,207324,0668,714,906
37Japan421,967+1,5597,274+78395,49219,2015473,343587,825,81161,997126,229,430
38Hungary397,116+3,09314,145+110302,68980,28235241,1751,4673,457,538358,4919,644,704
39Saudi Arabia374,366+3376,454+4365,3632,54949710,64918413,257,732377,10735,156,461
40UAE365,017+3,1401,093+20351,71512,20936,62611028,997,0702,909,5839,966,058
41Jordan357,611+8674,528+16332,89220,19117034,8304414,328,210421,55110,267,339
As of today Friday 19th February 2021
 
M/MUNGU anayajua mahitaji yetu hata kama hatujamuomba. Ukimuomba kwa imani anakupa hitaji lako. Shida inakuja unasumbuliwa na corona wewe unamuomba akutatulie changamoto ya upumuaji. Kama unataka hekima sali kwa mungu akupe hekima sio unaomba utajiri wakati kimoyo moyo unataka hekima. Mataga mwambie jiwe mwenyekiti wa CHAMA CHA MAZEZETA kwamba tuombe M/MUNGU atuepushie mbali hii COVID19, COVID 20 na COVID21 na sio CHANGAMOTO YA UPUMUAJI.
M/MUNGU hajaribiwi kama wakulima wa KOROSHO.
Mungu katupa akili tuzitumi sio tumsumbue. Tusimjaribu!
 
hivi watanzania hatuwezi kujikinga hadi rais aseme au? let say tunataka lockdown je tutaweza kukabiliana na ugumu wa maisha utakaotokana na hiyo lockdown? Je, ni kweli hatuwezi kujikinga na kuchukua tahadhari bila kutegemea kauli ya rais? Huenda kweli rais alikosea kwenye approach yake kwenye second wave ya covid sasa kama yeye hataki kuonekana kua alikosea ndio iwe sababu ya sisi tuzubae tuendelee kufa kisa yeye hataki kutengua kauli yake??? Hebu tuache kua wajinga kila mtu awajibike kwa afya yake mwenyewe.
Rais anapaswa kuonesha leadership,
Mtu mzima Mungu kakupa na zawadi ya utimamu na nguvu za kuandika umepewa, unataka magufuli atangaze? Kama umeshaelewa mziki kwa nini usiucheze kwa nafasi yako? Wewe umeshajua Covid ipo na ni hatari kwa nini usianze wewe kuhimiza watu kuchukua tahadhari? Kwani lazima Raisi aseme🤔
Kwani kazi ya Magufuli Kama rais ni nini? Kama kwenye majanga Kama haya hapaswi kutuongoza juu ya namna Bora ya kujilinda na kutupa updates ni nini serikali inafanya ili kutulinda incase mtu ameupata
 
sisi waafrika lazima tujifunze kukabiliana na matatizo yetu kwa fikra zetu na njia zetu wenyewe.
hii corona haitoondoka, ipo na itaendelea kuwepo kwahiyo jambo la msingi kujielimisha vya kutosha ili tuwe na ufahamu mzuri kuhusu tiba uhusani za asili.

fusho tufanye lakini tuzingatie mambo ya msingi na kanuni zake, kwa sababu hii fusho lipo tangu enzi za mababu
 
KWA kweli mwalim, a.k.a, Baba wa taifa aliona mbali ,niseme ukweli Taifa limegawanyika, hii nimeona katika week hizi mbili,hasa kipindi hichi ambapo corona inasonga,kupitia vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii,anzia tweet ya Jpm ya msiba wa RIP mh seif nyongo sio za nchi hii,
Waheshimiwa watz na viongozi wa tz hii, Ni mda wa kutafuta suruhu,Wana wa mungu Hali hii sio sawa ,tutaelekea kutozikana ,asema bwana,na amani juu yenu wote
 
Kitu kimeitingisha mpaka America itakuwa Tz. ?hahaaa..machine zenyewe za kupumulia hazitoshi...
Kama sio Mungu tumuangalie nani? Mnyika anataka walambwe matako au nn kifanyike,Mzee amekiri ugonjwa upo...tuchukue tahadhari huku tunamuomba Mungu..
Bado wanalalamika basi wahamie Kenya kwa Muda ambako hawaja denial ugonjwa...Mzee this Mzee that mlitaka afanyeje?
 
Yaani watu wanashangaza Sana
Mbona Rais hajawah kusema akasema vaeni konddomu mjikinge na ukimwi na watu wanavaa
Sasa covid mtu anasubir Rais amwambie
Elimu yoote waliyoipata mwKa jana
Yaani watanzania NI taifa lunalopenda kawama sana
ndio mana kuna rais wa kenya alisema tofauti yake na rais wa TZ ni kua yeye anaongoza WATU na rais wa TZ anaongoza ng'ombe..... ile kauli inajidhihirisha sasa.
 
ko wewe hujui.unajua ngalau mwaka ilitolewa tahadhali je mwaka huu vip na watu wanapukutika hujui
Tahadhari ipi unayohitaji wakati unawaona hata viongozi wamevaa barakoa? Una macho ila bado huoni
 
Mimi nisichojua! Hivi Rais asipotangaza kuwa Tanzania ina Covid-19 ndiyo watu wanakufa saaana au inakuwaje? Kwa hiyo siku akitangaza Tanzania kuna Covid-19 ndiyo watu hawatakufa kwa ugonjwa huo!
Jamani so as long as tulishatangaziwa kuwa tuchukue tahadhari tusingoje Rais atangaze.
Rais hana shida kwa sababu yeye hata maji anayokunywa yanapimwa,huenda hata kiti anachokalia kinapuliziwa dawa,nk
 
Bado haijapiga mahali, ikishatikisa hapo kila goti litapigwa! Siku hiyo haiko mbali
Na itawapiga, kama wamejitia kutovaa barakoa kama walivyofanya leo, wataondoka tu, labda wawe wamechanja kinyemela, short of that wataondoka.
 
Rais anaposema "tulimuomba Mungu na corona ikiondoka, na sijui tumemkosea wapi Mungu hadi ikarudi tena" Kwa maneno hayo bado mtanzania unasubiri ukumbushwe hatua za kujikinga wakati unazijua???
 
Back
Top Bottom