Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kampeni ya mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli Bagamoyo, Pwani. Kikwete asema haoni hofu ya CCM kushindwa

List ya wasanii niaje? Mbona hujaitaja mkuu?

.....Mwakani sijui Clouds Media wata andaa Fiesta make wananchi wamekata kiu yao sana mwaka huu kuhusu shows za wasanii tena wale maarufu na vipenzi vya watu...
Wamesema kusini Lindi, Mtwara, Ruvuma fiesta haliendi si ubaguzi huu, CCM imekatiliwa kusini haiuziki. Awachelewi kusingizia magaidi wa Mtwara maana kwa sababu awajambo hawa
 
Watu wanaenda mikutano ya CCM kufaidi; usafiri wa bure, vitenge bure, T-shirts bure, kofia bure, sijui kuna na mshiko? Ila watu wanaenda mikutano ya CHADEMA kwa kujitegmea, T-shirts, vitenge, kofia, etc., wamenunua kwa pesa zao, na wakifika huko na michango wanatoa! Mwenye akili atanielewa!
 
Naona mheshimiwa kama amekubali sasa kwamba kushinda ni ngumu kwa kauli zake mwenyewe. Anawaasa watanzania sijui wakimpa Lissu watajuta nk.

Inaonesha dawa ishaingia sasa.
 
List ya wasanii niaje? Mbona hujaitaja mkuu?

Mwakani sijui Clouds Media wataandaa Fiesta make wananchi wamekata kiu yao sana mwaka huu kuhusu shows za wasanii tena wale maarufu na vipenzi vya watu...
Mbona hata CHADEMA wasanii wapo?? Mfano akina Sugu, Profesa J. Sema tuu wasanii wenu wameshapitwa na wakatii.
 
Hayo maneno ya JK kwenye para 2 za mwisho za speech yake hayatoki moyoni asilani - hili JK anajua, JPM anajua, CCM wanajua na Watanzania wanajua!
 
Kuna watu wengine jamani wanatuona sisi watanzania mbumbumbu kweli! Mtu atapandaje kwenye jukwaa na kusema kuwa katika miaka mitano ya Magufuli kumekuwepo mafanikio mahali halafu anaanza kutaja mafanikio ambayo hayakukamilika?

Ametaja hospitali ambayo haijamalizwa na barabara ambazo hazijaanza kujengwa kuwa ni mafanikio, sasa hayo jamani ni mafanikio gani? Kama imechukua miaka mitano kuwa na hayo yanayoitwa maendeleo aliyoyaweza kuyafanya kwa wanachalinze na kuitwa mafanikio, mnadhani miaka mitano mengine Kitafanywa nini?
 
Hebu chadema watuweke kipengele ktk ilani yao
"Wanasema madini na vitu vingine wataviweka rehani "maana rais magufuli kawalipua huko bagamoyo

Ova
 
Upo sahihi mkuu,nadhani licha ya mapungufu yake bado anastahili kumalizia kipindi kilichobaki
Tza sio sehemu ya kujifunzia kuongoza,vipindi viwili sio kanuni.Ameboronga 5 yrs ndo ataweza 5 yrs again
 
Kuna watu wengine jamani wanatuona sisi watanzania mbumbumbu kweli! Mtu atapandaje kwenye jukwaa na kusema kuwa katika miaka mitano ya Magufuli kumekuwepo mafanikio mahali halafu anaanza kutaja mafanikio ambayo hayakukamilika? Ametaja hospitali ambayo haijamalizwa na barabara ambazo hazijaanza kujengwa kuwa ni mafanikio, sasa hayo jamani ni mafanikio gani? Kama imechukua miaka mitano kuwa na hayo yanayoitwa maendeleo aliyoyaweza kuyafanya kwa wanachalinze na kuitwa mafanikio, mnadhani miaka mitano mengine Kitafanywa nini?
Wanaoisapoti awamu hii huwa nawaona ni mapunguani kunufaika kwa wachache hakumaanishi ni kunufaika kwa watz wote
 
Napita njia ya Kabuku naona mafuso yanashusha watu kutoka vijijini kuja kushangilia jiwe akipita.
Kwani wanalazimishwa kwenye hayo mafuso?
Watu wanaenda mikutano ya CCM kufaidi; usafiri wa bure, vitenge bure, T-shirts bure, kofia bure, sijui kuna na mshiko? Ila watu wanaenda mikutano ya CHADEMA kwa kujitegmea, T-shirts, vitenge, kofia, etc., wamenunua kwa pesa zao, na wakifika huko na michango wanatoa! Mwenye akili atanielewa!
Hakuna sifa yeyote kwa ombaomba.
 
Back
Top Bottom