nilifikiria anaviews millioni 29 kumbe ni 4700 tu sasa asubirie kuona JPM atakavyojizolea kura za ndio kwenye box la kura.Mpaka sasa post 40 tu view 1700
Kwa Lissu post 120 view 4700
Magufuli hana chake aende chato,Kuna damu za watu zinamlilia
Rais ambaye ataiba kura!Otherwise he is not at all.Your President😍🇹🇿😛
MakambaNa ni Yeye ndiye 'Rais' ajaye wa Tanzania kwa 2020 - 2025 na akimaliza tutaangalia 'arithiwe' na Dkt. Hussein Mwinyi au Premier Kassim Majaliwa.
28th,29th,30th tutajua mbivu na mbichiRais ambaye ataiba kura!Otherwise he is not at all.
That 'Pimp' can't make a good President.Makamba
Kassim Majaliwa ni mtu sahihi sana muda ukifikaNa ni Yeye ndiye 'Rais' ajaye wa Tanzania kwa 2020 - 2025 na akimaliza tutaangalia 'arithiwe' na Dkt. Hussein Mwinyi au Premier Kassim Majaliwa.
Ila ana tatizo kubwa la 'Uwoga' na 'Kutojiamini' Mkuu, labda tu 'Special Team' ianze 'Kumjenga' na 'Kumbadilisha' haraka kabla ya hiyo 2025 Mkuu.Kassim Majaliwa ni mtu sahihi sana muda ukifika
Miaka mingine 5 anaweza kuwa amekomaa zaidiIla ana tatizo kubwa la 'Uwoga' na 'Kutojiamini' Mkuu, labda tu 'Special Team' ianze 'Kumjenga' na 'Kumbadilisha' haraka kabla ya hiyo 2025 Mkuu.
Naliona hilo Mkuu na kwakuwa pia ni mwana Simba Sports Club Mwenzangu nitampigia 'Chapuo' CCM 'impitishe' na awe 'Rais' Yanga SC wakome!!Miaka mingine 5 anaweza kua amekomaa zaidi
Kuanzia 28 hadi 30 Tundu ndio atajua tofauti kati ya siasa na uwakili. Na atujua pia tofauti Kati ya kuwa mwanaharakati na Rais TLS; na kuwa Mwalimu, Mhandisi, Dr PhD pamoja na Rais wa nchi.Anti-Pas kimbunga muulize mzee lowasa,baada ya kimbunga alipata nini?.
😂😂😂😂 GENTAMYCINE umenichekesha sana hahahahaNaliona hilo Mkuu na kwakuwa pia ni mwana Simba Sports Club Mwenzangu nitampigia 'Chapuo' CCM 'impitishe' na awe 'Rais' Yanga SC wakome!!
Kassim ni kigongo sana kuliko wengi wenu mnavyoweza kudhani ila tuu anaishi na simba lililo komaa Magufuli, ndio maana makucha yake hayaonekani wazi. Ni mtu wa kuaminika na kutegemewa.Miaka mingine 5 anaweza kuwa amekomaa zaidi