johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,840
- 141,763
JW hawapigi wapinzaniJuzi tu hapa mlikuwa mnawakejeli kwamba wanavunja tofali mbovu kwa kichwa karne 21 na wanachojua ni kupiga wapinzani tu mbona mnasahau kumbu kumbu mapema sana ?
JW hawapigi wapinzaniJuzi tu hapa mlikuwa mnawakejeli kwamba wanavunja tofali mbovu kwa kichwa karne 21 na wanachojua ni kupiga wapinzani tu mbona mnasahau kumbu kumbu mapema sana ?
Kazima wenge lote la lemaKinana kaibukia Msibani, duhhh aiseee
Duh!! Anyway ngoja watakupa ma bongo freva wenzioWatanzania wenzangu kwanza poleni na msiba uliotupata,kama wazazi,walezi,ndugu jamaa na marafiki..
Baada ya pole hii ya huzuni..naomba mwenye wimbo huu ambao unatumika katika background hapo clouds tv wakati huu wa maonesho ya live ya msiba huu wa lucky vicent school.anisaidie link au hata whatsapp..ndani yupo angel bernad na wasanii wengine..
Kuna jamaa nadhani siku ya Leo ameonja adhabu za kijeshi.mwanajeshi alikuwa akitusisitiza tukae chini ili watu wa nyuma wapate kuona kinachoendelea mbele akawa mkaidi kwa kuogopa kuchafua suruali.msoja akainama kwenye kidimbwi akachota tope hakampaka matakoni akamwambia kaa jamaa akakaa bila kupenda
Sawa mkuu nikikua nitaachaMkuu una mambo ya kitoto kweli aisée!
Safari hii wasikubali, michango yote ipelekwe kwa wazazi husika moja kwa moja,
wasijesema michango itatumika kujenga shule au barabara.
Kwa kweli tanashukuru jeshi kwa kazi iliofanya Leo, wanajeshi walikuwa Wa kutosha Tena walitapakaa Hadi nje kabisa, na baadhi ya Bara Bara Pia zilifungwa.Kuna jamaa nadhani siku ya Leo ameonja adhabu za kijeshi.mwanajeshi alikuwa akitusisitiza tukae chini ili watu wa nyuma wapate kuona kinachoendelea mbele akawa mkaidi kwa kuogopa kuchafua suruali.msoja akainama kwenye kidimbwi akachota tope hakampaka matakoni akamwambia kaa jamaa akakaa bila kupenda
Hajazima bado.inabidi atueleze alitumwa wapi kutibiwaKazima wenge lote la lema
Nani kaleta siasa ?usitutoe kwenye maombelezo basi na mihisia yako.Hapa tuache siasa,hili janga la kitaifa msiba wetu huu..
Watu tunamajonzi unawaza siasa.Kazima wenge lote la lema
Hilo la mtoto achana nalo,anayetoa zawadi ya mtoto ni Mungu tuu hivyo hilo lipo juu ya uwezo wakeOoh nilikua sijui kama hana mtoto
Kwahiyo hana vyeti na pia hana mtoto, okay sawa.
Upande wa speaker yani utafikiri mtu amechuka mziki wa kusikiliza sebuleni kwake akauleta uwanjani yani kila aliyekuwa hapa Leo amelaumu hiyo saund ilikuwa inaishia tu huko jukwaa LA viongoz.Nilidhani jukwaa LA viongozi lingewekwa pale lipowekwa jukwaa la magufuli enzi za kampeni wananchi wote tungeweza ona kinachoendelea.umoja wa watanzania unatia hamasa sana maana watu walijotokeza kweli kweliIla mm nmekereka na vitu kama viwili hvi, watu kuvaa nguo zao za Ccm japo hawakuwa wengi lkn nkajiuliza hivi hawa watu waliwaza kitu gani?Kingine nmeshangaa na ubora wa spika zilizotumika, ni kama vile hawakujipanga kabisaaa watu tuliokuwepo upande wa Mashariki tulikuwa hatusikii kabisaa mwishowe watu wakaamua kufungua radio za cm zao at least tusikie kinachoendelea
Tukiachana na hayo Jeshi letu wanapaswa kupewa shukrani za dhati kwa kazi yao nzuri walofanya, polisi wetu walishindwa kabisaaaaa