Yaliyojiri jijini Arusha katika kuaga Miili ya Wanafunzi wa Lucky Vincent waliopata ajali ya gari

Hapo yupo kwenye msiba wa watoto 32 Arusha ulitaka aonesha uso wa furaha kwenye majonzi?
 
Tatizo Chadema ni kupelekeshwa na Mange kuanzaia wafuasi wao hadi viongozi wa juu.... wote wanaburuzwa na Mange.!
7ef4f587d8451a94af9bdc612503b82b.jpg
 
Aibu aibu aibu, haya ziko wapi biringi back awa...,hahahaha
 
Kama kweli alitumiwa TISS wakamdunda basi kazi ipo

ata revenge?

Bossman kweli unayaamini hayo?

Yaani kweli TISS wamdunde mtu kama Kinana?

I mean....seriously?

Hahahaaaaa oh well....nikikumbuka uzushi dhidi ya Jen. Mwamunyange nabaki kucheka tu kwa kweli!
 
Bossman kweli unayaamini hayo?

Yaani kweli TISS wamdunde mtu kama Kinana?

I mean....seriously?

Hahahaaaaa oh well....nikikumbuka uzushi dhidi ya Jen. Mwamunyange nabaki kucheka tu kwa kweli!


Well first nimeuliza swali kwamba je kweli alidundwa?
it means hata mimi bbado sijathibitisha

Lakini mbona Nape alitaka kupigwa risasi hadharani na wanaotuhumiwa kuwa ni TISS
na hawajakamatwa hadi leo?
 
CCM ni ileile na NAPE unasemaje, tumejipangaa mwaka huu wataisomaaa x 2.................


CCM ni ileile KINANA unasemaje, tumejipangaa mwaka huu wataisomaaa x 2...............


CCM ni ileile POLEPOLE unasemaje, tumejipangaa mwaka huu wataisomaaa x 2...............
 
Back
Top Bottom