Yaliyojiri jijini Arusha katika kuaga Miili ya Wanafunzi wa Lucky Vincent waliopata ajali ya gari

Upande wa speaker yani utafikiri mtu amechuka mziki wa kusikiliza sebuleni kwake akauleta uwanjani yani kila aliyekuwa hapa Leo amelaumu hiyo saund ilikuwa inaishia tu huko jukwaa LA viongoz.Nilidhani jukwaa LA viongozi lingewekwa pale lipowekwa jukwaa la magufuli enzi za kampeni wananchi wote tungeweza ona kinachoendelea.umoja wa watanzania unatia hamasa sana maana watu walijotokeza kweli kweli
Sijui hata waliwaza nn wale watu hawajatutendea haki kabisaaa
 
Sijui hata waliwaza nn wale watu hawajatutendea haki kabisaaa
Yani kitengo cha sound bora wangemwachia kamanda lema.maana nikihudhuria mikutano mingi ya chadema sound huwa imetulia sana nadhani hizo zitakuwa juhudi za mueshimiwa mbowe kupitia taaluma yake ya udj amewafunza namna ya kuhakikisha saund inabamba
 
Mkuu kama walishindwa mpa nafasi ya kuongea machache je hilo la sound wangekubali
 
afe04de03a828090a46ac4e2f3eb68a0.jpg

Je Shetani Ana nguvu zaidi ya M'Mungu. ??
afe04de03a828090a46ac4e2f3eb68a0.jpg

Je Shetani Ana nguvu zaidi ya M'Mungu. ??
Nadhani SHETANI ni kiumbe kinacho ongoza kwa kupewa lawama ambazo hahusiki.
Mtu kufanya uzinzi utasikia Shetani alinipitia
mtu kaiba Shetani tu
Mtu kabaka shetani kasababisha
Hivi alie toa adhabu ya KIFO ni huyo Mungu au Shetani!?!?
Kwanini halaumiwi yeye alie toa adhabu hiyo in the first place.?
Mda mwingine Mungu nae ni wa kulaumiwa haiwezekani umuumbe mtu kisha umwue kisa kala mapeazi.
Then baada ya hapo zinakuja stori Mungu ana huruma na blah blah blah nyingine.
Huruma watu wanahangaika
Huruma watu wanakufa
Huruma watu wana zaa kwa uchungu
Huruma watu waugua
Huruma watu wanapata vilema
Huruma gani hiyo.
We should quit portraying Satan as the bad guy. Whatever misunderstanding those two have between the two of them, they should kindly leave us out of it.
Na sisi kama binadamu tuache kufungamana na upande wowote ule.
 
Ila mm nmekereka na vitu kama viwili hvi, watu kuvaa nguo zao za Ccm japo hawakuwa wengi lkn nkajiuliza hivi hawa watu waliwaza kitu gani?Kingine nmeshangaa na ubora wa spika zilizotumika, ni kama vile hawakujipanga kabisaaa watu tuliokuwepo upande wa Mashariki tulikuwa hatusikii kabisaa mwishowe watu wakaamua kufungua radio za cm zao at least tusikie kinachoendelea
Tukiachana na hayo Jeshi letu wanapaswa kupewa shukrani za dhati kwa kazi yao nzuri walofanya, polisi wetu walishindwa kabisaaaaa
Clkey umeenda amri abeid?
 
Poleni sana kw msiba
 
Tayari mh. Kijana Na mhe. Mbowe wamekwishatoa salamu za rambi rambi..
Misaada mbali mbali tayari imefika Na gaharma zote za usafiri, majeneza 35 pamoja sanda mkoa umelipia gharama hizo,
Ngoro ngoro wametoa mil.15, Tanapa wametoa ml.20, Auwasa mi 1, Aicc mil. 5 jiji la Arusha ml.5
Millioni 46,wasije tuambia hawajasababisha ajali wakaiba kama zile.....
 
Back
Top Bottom