Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,448
Hawawezi kukuelewa hawa madalali wa machanjo.Dr. Biggag anajiuliza Kama China anaweza chanja chanjo ya Usa!!? , Au usa anaweza chanja ya china.
Au usa anaweza chanja ya Russia!!
Mh!?
Kwanin. Chanjo hii isiandaliwe na dunia kwa ujumla wake kwasababu suala ni la kidunia kupitia WHO?!
Kwanini Kila nchi tajiri wanajifungia kutoa chanjo yao!!?
Basi ikitokea nchi haitaki chanjo iheshimiwe. Kwa kua sio Kila suala la kidunia, bali ni mipango ya nchi moja moja.
Kama ni la kidunia basi tutumie mashirika yetu yanayotuunganisha.
Tutunge sera pamoja, tu tafute chanjo pamoja na tu dungwe chanjo pamoja.
Suala la mtafute chanjo wenyewe, halafu mtudunge tusicho kijua halikubaliki!!!
Tafadhalini nyie ma promoters
Wanataka wakudunge huku umefumba macho. Hakuna kuhoji.
Ukihoji unaambiwa ati haujui SAYANSI!
Kwao "sayansi" ni kuwadunga watu machanjo bila kuulizwa swali lolote.