Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,316
- 1,768
Hakuna chanjo ambayo ukichanjwa haupati tena hiyo homa?
Elewa hili:
Chanjo si kinga ya kuzuia kuambukizwa ugonjwa bali ni maandalizi ya mwili kupambana na ugonjwa utakapofika kwenye mwili bila kuleta madhara makubwa.
Na chanjo si dhidi ya homa bali ugonjwa husika na madhara yake. Si kila ugonjwa lazima upate homa kama dalili kuu.