Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

Rais Magufuli ampa maagizo haya CAG mpya.

''Ukipewa maagizo kutoka kwenye mihimili fanya''

''Wewe ni mtumishi kama wengine''

''Pale ofisi za CAG ni pachafu sana, kapasafishe''

''Una elimu nzuri una Division one O Level na A Level, wewe sio kilaza ni kipanga''

''Una nidhamu sana nilivyokushusha ulikubali kwa moyo mweupe''

''Nakuonya, unaweza ukakaa hata mwaka mmoja na sio lazima ukae hadi 60 yrs''

''Nina mamlaka ya kuteua na kutengua, mimi ndiyo Rais''

''Assad leo saa sita usiku anamaliza muda wake, kesho nenda ofisini''

''Kaisafishe ile ofisi, Wizara ya Fedha itakupa taarifa zingine''

State agent
 
Magufuli kamuapisha jaji mmoja, ambaye ni mchagga na alikuwa fair competition,

Anasema jamaa alivyo muadilifu hadi alipokuwa Fair competition watu walikuwa wanajiuliza "Huyu ni Mchagga gani asiependa Rushwa"
Mkuu Wako Wachaga Wachamungu ingawa ni wachache wa kumulika kwa tochi lakini wapo.
 
Habari wana JF..

Mh. Rais Magufuli, leo wakati akitoa hotuba na ushauri kwa wateuliwa wapya wa ngazi mbalimbali, ametoa ushauri mzuri sana kwa CAG mpya Ndugu Kichere, "Usijifanye muhimili, mihimili iko mitatu tu na unaijua, wewe ni mtumishi wa umma, kasimamie haki na una sifa za kutosha, nakutakia kazi njema"

Message nzuri sana hii, watumishi wa umma wasijione exceptional au untouchable hata uwe katika nafasi ya juu kiasi gani.. Nimependa hii reminder kwa watumishi wa umma. Excellent message from my President JPM. 🙏👏👏
 
CAG kaagizwa na Amiri jeshi atii maelekezo ya mihimili mingine

Kakumbushwa anaweza kutolewa hata baada ya mwaka mmoja
Kwa hiyo Muhimili ukiwa na Magumashi yake, ukitoa maelekezo Kwa CAG naye atatii, naomba nieleweshe tafadhali
 
Magufuli kamuapisha jaji mmoja, ambaye ni mchagga na alikuwa fair competition,

Anasema jamaa alivyo muadilifu hadi alipokuwa Fair competition watu walikuwa wanajiuliza "Huyu ni Mchagga gani asiependa Rushwa"

Alisema Makonda, kuwa Mengi alikuwa ni mchagga wa pekee, Mchaga gani anaesaidia Yatima, na leo Baba nae amewakilisha mawazo ya wengi, walio kuwa kumbe watu wengi hushangaa wakiona mchagga, haibi, hapokei rushwa, na anasaidia watu!

Swali Wachagga mlifikaje hapa, kwenye jamii kuwaona namna hii?
Paara..
 
Rais magufuri ampa maagizo haya CAG mpya

Ukipewa maagizo kutoka kwenye mihimili Fanya

Wewe ni mtumishi kama wengine

Pale ofisi za CAG ni pachafu sana ,kapasafishe

Una elimu nzuri una div one o level na high level wewe sio kilaza ni kipanga

Una nidhamu sana nilivyokushusha ulikubali kwa moyo mweupe

Nakuonya unaweza ukaa hata mwaka mmoja na sio lazima ukae hadi 60 yrs

Nina mamlaka ya kuteua na kutengue mm ndie rais

Asadi leo SAA Sita usiku anamaliza muda wake kesho nenda ofisini

Kaisafishe ile ofisi ,wizara ya fedha itakupa taarifa zingine

State agent
Hapo kwenye kutengua,mbona Assad alishindwa kumtengua?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni

Wanaoapishwa ni pamoja na;
1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Controller and Auditor General – CAG)

2. Katarina Tengia Revocati kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe.

3. Mhandisi Aisha Amour kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kuwait.

4. Kanali Francis Ronald Mbindi kuwa Kamishna wa Kazi katika Ofisi ya Waziri Mkuu

Aidha, Mhe. Rais Magufuli anawaapisha Majaji 12 wa Mahakama Kuu
*****

View attachment 1253571
Charles Edward Kichere akiapishwa kama Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)​

Team ujenzi wanazidi kuishika nchi, mbona tutalishwa cement karibuni!!
 
Pale ofisi za CAG ni pachafu sana ,kapasafishe
Hii ndiyo ilikuwa sababu tosha ya kumuondoa.Uchafu wa Assad ungekusanywa,akaundiwa tume kwa mujibu wa katiba na akatoka kwa aibu kuu.
 
Magufuli kamuapisha jaji mmoja, ambaye ni mchagga na alikuwa fair competition,

Anasema jamaa alivyo muadilifu hadi alipokuwa Fair competition watu walikuwa wanajiuliza "Huyu ni Mchagga gani asiependa Rushwa"

Alisema Makonda, kuwa Mengi alikuwa ni mchagga wa pekee, Mchaga gani anaesaidia Yatima, na leo Baba nae amewakilisha mawazo ya wengi, walio kuwa kumbe watu wengi hushangaa wakiona mchagga, haibi, hapokei rushwa, na anasaidia watu!

Swali Wachagga mlifikaje hapa, kwenye jamii kuwaona namna hii?
Mkuu

Kwenye maendeleo pia mmesema tusubiri..

Naona kanda ya ziwa mnatumia nguvu sana kutuattack

Lkn hamtaweza....

Kaskazini mikono juu
 
Back
Top Bottom