Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Alishawahi waambia watu wa chato bila yeye wasingejua kuna kitu kinaitwa transformer kwenye umeme,hiyo ck nilikuwepo pale chato akitamka maneno hayo.
 
attachment.php

attachment.php


Mgombea Urais kupitia Mwamvuli wa CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa, leo atakuwa Wilayani Chato mkoani Geita, mahali alipozaliwa Magufuli.

Walioko huko wanasema mji unazizima kwa ujio wa gwiji wa siasa za Tanzania na rais mtarajiwa, toka jaana vijana na Wazee mjadala ni ujio wa rais wa awamu ya tano Edward Lowassa.

 
Last edited by a moderator:
Magufuli kweli hamuwezi lowassa. Leo hakufikisha hata nusu ya watu hawa. Uwanja ulikuwa una mapengo mengi. Kama ameshindwa nyumbani Basi tena
 
Back
Top Bottom