Yaliyojiri Bungeni: Mkutano wa 9, Kikao cha 1 (Miswada 4 kujadiliwa)

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Mkutano wa 9 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo. Miswada 4 ya sheria mbalimbali kujadiliwa.

Kati ya muswada hiyo itakayojadiliwa ni pamoja na Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na [HASHTAG]#DawaZaKulevya[/HASHTAG] mwaka 2017.

Bunge pia litajadili na kupitisha mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo unaotarajia kutekelezwa kwa mwaka 2017/2018.

Kufahamu kwa undani yatakayojiri leo, bofya hapa
-----------

Nipo hapa kuwapatia updates ya kinachojiri..

BUNGE LA 11, MKUTANO WA TISA, KIKAO CHA KWANZA

Mh spika anamkaribisha katibu mpya wa Bunge mh Stephen Kagaigai
Mh spika anamshukuru Katiba aliyepita wa Bunge Dr Tomas Kashillila.
Mh spika anawakaribisha wabunge Dodoma na kusema kwamba Dodoma ni salama

MASWALI NA MAJIBU

Leo ni siku ya bunge na nitawapa udates ya kinachojiri

Mh spika anamkaribisha katibu mpya wa Bunge.

kajuaje kama Dodoma ni salama? au kashaambiwa na ......... te?
 
Dodoma ni Salama, mbona Lissu alipigwa risasi kwa kutumia bunduki ya kivita na watu wasiojulikana
 
Dodoma si salama na Bunge pia si salama!!!! Ipo siku watalimana risasi viwanja vya Bunge.....naomba msalimie Halima Mdee na John..Mnyika.......wa Kibamba!! Wamekuwa kimya sanaa!!!
 
kajuaje kama Dodoma ni salama? au kashaambiwa na ......... te?
Wewe ambaye Hata asubuhi hii hujajuwa baba yako ameamkaje unataka Tabia hiyo ienee kwa watu wengine
Kumbuka NCHI Hii ina chain ya kujua hali ya NCHI TOfauti na unavyofikiri wewe usiyejua tofaut ya mkono wako wa kushoto na kulia
 
hasira za nini? tunatoa hoja tu kwamba kama Mbunge alimiminiwa risasi mchana kweupe tena kwenye nyumba za maofisa wa juu wa Serikali - hao watu hata tetesi tu ni kina nani na walitaka nini hatujaambiwa na vyombo vya dola; leo hii utasemaje kwamba Dodoma ni salama? hebu tusaidie hapa!
 
Mkutano wa 9 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo. Miswada 4 ya sheria mbalimbali kujadiliwa.

Kati ya muswada hiyo itakayojadiliwa ni pamoja na Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na [HASHTAG]#DawaZaKulevya[/HASHTAG] mwaka 2017.

Bunge pia litajadili na kupitisha mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo unaotarajia kutekelezwa kwa mwaka 2017/2018.

Kufahamu kwa undani yatakayojiri leo, bofya hapa
-----------

Nipo hapa kuwapatia updates ya kinachojiri..

BUNGE LA 11, MKUTANO WA TISA, KIKAO CHA KWANZA

Mh spika anamkaribisha katibu mpya wa Bunge mh Stephen Kagaigai
Mh spika anamshukuru Katiba aliyepita wa Bunge Dr Tomas Kashillila.
Mh spika anawakaribisha wabunge Dodoma na kusema kwamba Dodoma ni salama

MASWALI NA MAJIBU

hapa siwezi poteza bando langu bure kuangalia bunge la ndugai. ngoja nikaangalie yule mama wa bukoka wa jana aliyekuwa anamjibu mkulu kwa kujiamini.
 
Kulikuwa na ile kamati iliyositisha kusoma taarifa ya usalana baada ya Lissu kushambuliwa. Ilisemekana ripoti ile itajadiliwa bunge hili; mbona siioni kwenye ratiba? Hiyo miswaada mingine imepelekwa hapo bungeni ushahidi tu lakini kila kitu kimeshapita kama kilivyoletwa na serekali. Bunge kibogoyo halalisheni posho ya makalio kwani hamna jipya hapo.
 
Wewe ambaye Hata asubuhi hii hujajuwa baba yako ameamkaje unataka Tabia hiyo ienee kwa watu wengine
Kumbuka NCHI Hii ina chain ya kujua hali ya NCHI TOfauti na unavyofikiri wewe usiyejua tofaut ya mkono wako wa kushoto na kulia
Mpolepole leo umeamua kuingia kazin mwenyew
 
Dodoma si salama na Bunge pia si salama!!!! Ipo siku watalimana risasi viwanja vya Bunge.....naomba msalimie Halima Mdee na John..Mnyika.......wa Kibamba!! Wamekuwa kimya sanaa!!!
Acheni kuombea mabaya
 
Back
Top Bottom