Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

Furaha yangu mimi ni kuona CCM inameguka na iwe hivyo kama ulivyoandika...

Lipo Jipya Mkuu Na Labda Tu Kwa Faida Yako Na Kwa Wengine Hivi Tunavyobwabwaja Humu Wana CCM Wanamshawishi Werema, Maswi, Muhongo na Masele Kutangaza Kuachia Ngazi. Mangula Anahaha Sasa Na Kinana Hajalala Leo Ukizingatia Mr. TEZI DUME Anatua Leo Saa 9 na Dakika 20 Alasiri. ILA Tatizo Kubwa Ni Kwamba Hao Wahusika Na Wao Pia WEMEPIGA Mkwara Kuwa WAKITOLEWA Kafara Basi Na Wao Watayaibua Ya Mr. TEZI DUME na Wanae Minaj Na Salama Condom. Na Tegemeeni MTAFARUKU MKUBWA Leo Bungeni Na KUNA UWEZEKANO Hata ZIKAPIGWA LEO Bungeni! Hali Ni TETE.
 
NA WAPIGANE TU! Vita vya panzi, furaha kwa kunguru.
 
Jambo kama hilo ndiyo akina Nape, Makonda na Kinana wanapaswa kulitolea kauli ili tujue kama wanatetea maslahi ya taifa. Kukaa kimya ina maana wapo katikati na kuwa katikati ya mwizi na anayeibiwa ina maana wewe ni dalali na dalali wa wizi naye ni jizi

Hao Uliowataja Ni Binadamu au TAKATAKA Tu? Kidooooogo Huyo Wa Kwanza Na Wa Tatu ILA Huyo Wa Pili Nadhani Hata UBONGO Wa SISIMIZI Unamzidi AKILI!
 
Ukawa waliharibu kuanza kupitisha mapendekezo yote 9 alafu wanakuja kujitambua kuwa wameingizwa chaka too late,walitakiwa kushtuka mapema na kuacha kuwa sehemu ya kupitisha mapendekezo kwani kwa jana tu mapendekezo yanatosha na bunge linaweza kuishia hapo na kuiagiza serikali kutekeleza hayo ..mmekuwa sehemu ya kupitisha maazimio then mnakimbia mwishoni,it's illogical to admitt!

Mkuu NAHISI Wewe UTAKUWA UMEISHI UYAHUDUNI Israel Kwani Umefafanua Vizuri Mno Na Sina Shaka Na UPEO Wako. Upo Vizuri Sana Na UMENENA. Nakubaliana Na Wewe 100% UKAWA Jana WALITELEZA KIDOGO ila WAMESHAPEWA Maujuzi Mapya Na Nakusihi Tu Saa 5 Tega Sikio Runingani au Redioni. " M.J.I.N.G.A Wakati Wa Kwenda na Wakati wa Kurudi Ni M.W.E.R.E.V.U ".
 
Umeme umekatika now?

Ndio maana naomba liishe!Maana Muhongo alisema wasikate tena ni agizo!Kumbe ndio anawaambie nikimaliza tu kujitetea anzeni tuliyokubalia!Yaani kateni mpaka liishe!Nanna wahakikishia leo bunge likienda mpaka usiku nao watakatiwa leo!
 
mitazamo kama hii,bila shaka majambazi wa nchi hii wanamtandao mkubwa kiasi cha hata watu wengne kuawatetea.wasomi viuo vikuu muko wap vp hamjifunzi kwa yule dent ,oestrago wa buknabe alivoamsha wananchi na kupelekea kompaole kuanguka?
 
Ukawa waliharibu kuanza kupitisha mapendekezo yote 9 alafu wanakuja kujitambua kuwa wameingizwa chaka too late,walitakiwa kushtuka mapema na kuacha kuwa sehemu ya kupitisha mapendekezo kwani kwa jana tu mapendekezo yanatosha na bunge linaweza kuishia hapo na kuiagiza serikali kutekeleza hayo ..mmekuwa sehemu ya kupitisha maazimio then mnakimbia mwishoni,it's illogical to admitt!

Licha ya hivyo, lakini yale mapendekezo ambayo ndo wananchi wanayataka, ukawa hawajawaunga mkono ccm, hivyo endapo hayo hayo yaliyopo yatapitishwa, maana yake mafisadi bado tunao, na hapo ndo goli la kifo la kujifunga la ccm linapokuja.
 
Jee tunaweza kujadili kwa uwazi bila ya kuwa upande wowote wa wabunge wanao komoana ?

1.Tuleteeni mkataba wa escrow hapa tuujadili
2.tuleteeni ripoti ya CAG
Tuleteeni ripoti ya Takukuru.
3. PAP sie mmiliki halali wa IPTL then nani mmiliki halali wa 70% wa iptl?
4.jee mbona hakuna kampuni au mtu yoyote alijitikeza hadharani kupinga umiliki wa PAP ? Na kudai yeye ndie mmiliki ?
5.jee mbona melchar malaysia wako kimya kuhusu shares hizo?
6.kwa nini PAC wameonesha ni halali kwa VIP kuuza share zake 30% kwa PAP wakati PAP sio mmiliki halali wa Iptl na kampuni yenyewe haina uhalali.? ..jee uuzaji huu nao sio haramu ? uuzaji huu nao bila shaka haukuwa na baraka ya waziri kama PAC inavotuambia kwa lazima uhamisho wa share hizi ukubaliwe na waziri?
7. Kwa msingi gani PAC wameiacha kabisa BOT katika hatia? Vipi waliridhia kutoa fedha hizo kama wadhamini wa mfuko kwa mtu ambaye si mmiliki halali ?
8. Vipi BOT walikubali kutoa pesa hizo ? Mkataba unasemaje ? Jee maofisa wake hawahusiki ? Bila shaka wao ndio watuhumiwa wa mwanzo lakimi PAC kwa sababu walishakua na lengo la watu fulani basi wakaacha kabisa suala la uzembe la BOT.
9. PAC inazungumzia juu ya Stanbic na Mkombozi Banks kuhusika na money laundering ...jee Vipi BOT hawahusiki ? Fedha nyingi kama zile kutolewa bila ya shaka zinatoka katika string rooms za BOT bila ya maelezo ya malipo kuhoji fedha zote hizo Banks husika za nini ? uzembe huu wa BOT ambao ndio wasimamizi wa fedha na fiscal policies jee hauja athir mzunguko wa fedha na kushuka kwa Shilling ?
Hakika BOT wanahusika lakini PAC wao walikua na dhamira zaidi za kisiasa.

Muhimu kwa JF ni kuletwa kwa makbrasha yote niliyoyataja hapo juu tukayajadili kama raia wa kawaida njee ya ripoti ya Zitto .hapo ndio kila mtu atajua ukweli bila ya kuwa influenced na PAC ambao dhahiri walikua Biased.
Mpaka hapo the accused are innocent !!
Maswali mazito lakini watu hawataki kuyasikia. Haya maswali kuna siku yatatokea mahakamani.

suala la money laundering haliwezi kuiacha BOT nje
 
Furaha yangu mimi ni kuona CCM inameguka na iwe hivyo kama ulivyoandika...

Mtani ubarikiwe, hakuna maombi ya watu wengi ya kijinga, hakika Mungu wetu anasikia maombi yetu. Nami na familia, ukoo wangu na hata hawara zangu, dua zetu ni kuingoa CCM.
 
Back
Top Bottom