Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

kwanini dhana ya uwajibikaji haiwaingii hawa akina Mhongo? mbona akina kagasheki walipolaumiwa tu hawakusubiri Rais aseme kitu, ??? hawa wabishi ile mbaya, kuwajibika si lazima ufanye makosa; hata baba nyumbani huwajibika kwa makosa ya mkewe au watoto,
 
Mkuu Nguruvi3,

Naomba kuanza kwa kudeclare my interest, Pasco wa jf ni ignorant, na anajijua ni ignorant, ndio maana ana comment ignorance kwenye public ya jf ili kila mtu ajue Pasco ni ignorant!.

Tanzania tuna ignorants, wengi, wengine wanajijua ni ignorants ila wanaamua kunyamaza bila kucoment ili hiyo ignorance yao, isijulikane, wengine ni ignorants ila hawajajijua kuwa ni ignorants, na kwa vile wako kimya, one can not tell na wenyewe hawajijui!, ila wengine ni iginorants, hawajijui kuwa ni ignorants, hivyo wanapofanya vitendo vya ignorance kama jana pale bungeni, wakitoka nje wanapongezana kwa ushujaa wa ignorance ile!, hawa wanahitaji kusaidiwa kujulishwa they are ignorants!, ili angalau sasa watumie brain zao to think kabla ya kusema na kutenda na sio kutumia feelings.

Watanzania tuna problem ya Ignorance!, ambayo hata wabunge wetu wetu ni ignorants tuu!, sasa huyu Chenge pamoja na ma ufisadi yake yote, ni mmoja wa watu sensible mule bungeni!, pendekezo lake la phrasing azimio lile was the best!. Chenge sio tuu ni mwanasheria wa Havard, bali kwenye sheria kuna maeneo mengi sana ya specialization inayohitaji kipaji fulani on top of being just a lawyer, moja ya enero gumu kabisa ni legal drafting!, ndio maana tulipota uhuru, sheria zetu zote tulicopy and paster "para materiale" (neno kwa neno) kutoka India, simpy because hatuna legal drafting people mule bungeni!, tukubali tukatae, Andrew Chenge is the best!, ametoa pendekezo ambalo ndio the best, lakini kwa vile bunge letu limejaa ma ignorants, ma ignorants hawa wakakataa pendekezo la Change, simply because Chenge ni fisadi, na pendekezo lake limeungwa mkono na Mwenyekiti wa PAC, Mhe. Zitto Kabwe!.

Kiukweli kilichofanywa jana na wale ma ignorants kule bungeni, ni display ya ignorance at the top level!, na kwa vile sisi Watanzania pia ni ignorants, tunashangilia ile ignorance!.

Kuhusu Watanzania na Ignorance, nimeizungumzia hapa.

Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.

Pasco
Mkuu Pasco
Kuwa na elimu ni jambo moja, kutumia elimuni jambo jingine
Hakuna anayehoji usomi wa Chenge. Tunahojimoral authority ya Chenge

Pengine kwa kutumia elimu yake ya kuandika uliyosema, Chenge amekuwa kiungo kizuri sana cha madili.
Kwa mfano, hili laEscrow amepiga 1.6B Zaidi ya mtu mwingine.

Pengine ni elimu yake ya sharia na uandishi ndiyo imetumika hadi watu wanaona wizi kama karama.

Chenge haonekani popote katika habarinzima. Lakini, Chenge amelamba 1.6B
Hayo ni matumizi ya elimu yake. Swali nikuwa, hayo ni matumizi sahihi?

Labda kama tunataka kumfainisha Einsten au Kashkonikov na Chenge.
Kati yao yupo aliyetumia elimu yake kuteneneza nyuklia,kitu hatari sana.
Hata hivyo nyuklia inatumika kusaidia maisha ya mwanadamu,jambo zuri sana

Yupo aliyetengeneza AK47, silaha hatarisana. Tunatumia AK47 kulinda nchi zetu, jambo zuri sana.

Labda utuambie, Chenge anapopiga mapigo yaBilioni, later on yule masikini anapata nini kule kijijini Zaidi yak kulipakodi kubwa na umeme wa juu?

Chenge ni mtuhumiwa mkubwa. Ukubwa watuhuma zake ni historia yake ya kulitia taifa hasara.
Ana haki ya kuongea tena kwa kujitetea.

Chenge hana haki ya kutoa ushauri hatuagani zichukuliwe dhidi ya kundi alilolisaidia kuratibu shughuli ya uhalaifu.

Pasco, Wachina wanaendelea kwasababu hawana mchezo.

Leo Chenge angeshabeba madini ya Zambia kiwango cha kutosha.
Tungekuwa tumefunga chapter tunajadili umasikini wa watu wetu.
 
Mkono na Mengi walipenyeza mambo Yao humo ili iwe rahisi kuwang'oa Mhongo na Maswi ambao ni Adui zao makubwa baada ya Mengi kunyimwa Vitalu vya Gesi huku Mkono akinyang'anywa Tenda zote za Kisheria hivyo kukosa Mabilioni kibao aliyokuwa akiyavuna miaka nenda ludi , Wote wawili wana hasira za Kukosa Ulaji tu wala hawana Uchungu sawa na Wananchi ! Mkono nje ya huu mkasa huwa ni Rafiki mkubwa wa Zito ndiyo Maana ikawa rahisi Lengo lake kutimia,huku Mengi akimtumia zaidi Sendeka na Mbowe Mchaga mwenzake, Hawa watu si kwamba wana Uchungu na Pesa za Umma Bali wao wana Uchungu na kukosa Ulaji tu, sasa wanahaha kusaka huruma za Wananchi kwa gharama yeyote ile.

Unasumbuliwa na ugonjwa wa ukabila pia naona unatetea maslai lumumba buku 7
 
Hizi pesa zimepigwa na chama cha mapinduzi hata AG anajua kilichokuwa kinaendelea bungeni ni drama kama si mjanja kama Mbowe huwezi kushitukia hii sanaa ya hali ya juu. Haiwezekani 321bn zikawa depleted that much easy in thin air CCM maslahi wako pembeni wanatizama. Yule singasinga ni boya anatumika tu kwa mchezo ambao umekuwa orchestrated na usalama wa taifa.

Hakika mkuu,hizi hela wamezipiga wao!
 
Bunge limerejea saa tatu kamili ila spika amelisitisha hadi saa tano kamili ili watu wakajiandae

Wataka kufanya kikao cha siri nini mana mbinu zao za jana zimegonga mwamba viva Mh. Mbowe (KUB), viva Ukawa.
hakika mmenifurahisha sana lazima nitafanya ntashiriki kikamilifu pale napohitajika kuwaondoa hawa wafedhuli (naapa kwa jina la mungu). Eee.. Mwenyezi Mungu nisaidie
 
Mkuu Pasco
Kuwa na elimu ni jambo moja, kutumia elimuni jambo jingine
Hakuna anayehoji usomi wa Chenge. Tunahojimoral authority ya Chenge

Pengine kwa kutumia elimu yake ya kuandika uliyosema, Chenge amekuwa kiungo kizuri sana cha madili.
Kwa mfano, hili laEscrow amepiga 1.6B Zaidi ya mtu mwingine.

Pengine ni elimu yake ya sharia na uandishi ndiyo imetumika hadi watu wanaona wizi kama karama.

Chenge haonekani popote katika habarinzima. Lakini, Chenge amelamba 1.6B
Hayo ni matumizi ya elimu yake. Swali nikuwa, hayo ni matumizi sahihi?

Labda kama tunataka kumfainisha Einsten au Kashkonikov na Chenge.
Kati yao yupo aliyetumia elimu yake kuteneneza nyuklia,kitu hatari sana.
Hata hivyo nyuklia inatumika kusaidia maisha ya mwanadamu,jambo zuri sana

Yupo aliyetengeneza AK47, silaha hatarisana. Tunatumia AK47 kulinda nchi zetu, jambo zuri sana.

Labda utuambie, Chenge anapopiga mapigo yaBilioni, later on yule masikini anapata nini kule kijijini Zaidi yak kulipakodi kubwa na umeme wa juu?

Chenge ni mtuhumiwa mkubwa. Ukubwa watuhuma zake ni historia yake ya kulitia taifa hasara.
Ana haki ya kuongea tena kwa kujitetea.

Chenge hana haki ya kutoa ushauri hatuagani zichukuliwe dhidi ya kundi alilolisaidia kuratibu shughuli ya uhalaifu.

Pasco, Wachina wanaendelea kwasababu hawana mchezo.

Leo Chenge angeshabeba madini ya Zambia kiwango cha kutosha.
Tungekuwa tumefunga chapter tunajadili umasikini wa watu wetu.
Mkuu Nguruvi3, yes Chenge amelipwa 1.6 na amekiri kulipwa amehojiwa na PCCB amesema ni malipo ya "consultancy", aliposhikwa na Waingereza na tule tujisenti twa Jersey alisema hivyo hivyo ni consultancy!, asa far as hajashitakiwa popote, Chenge is as innocent as you and me!.

Kwenye kesi za Tanesco, Mkono anacharge US $ 1,000 per hour!, kwenye kesi za BOT ile ya Valambia, amecharge US $ 2,000 per hour. Kwenye kesi za Dowans amecharge US & 5,000 per hour!. Hivyo kwa mwanasheria nguli kama yeye hiyo 1.6 ni peanut!, ndio maana yule "prince" wetu has more than US $ 1B na its not a surprise. Tanzania tulimleta yule Pref. Hernando De Sotto wa Chile analipwa US $ 100,000 per hour!, tulikaa nae 36 hours nchini Tanzania!, ndio tukaanzisha Mkurabita, Mkumbita, Mkukuta na Mkuza!.

Kama ulifuatilia bunge jana, baada ya ubishani wa hours, ushauri wa Change was the best, na Zitto akaukubali!, kilichofuata ni pure ignorance!.

Kuhusu uwezo wa baadhi ya viongozi wa upinzani, niliwahi kusema kuna baadhi yao wamefikia optimum ya abilities zao, hadi kuwa ni saturated solutions, thay can not do more than what they've already done!.

Pasco
 
Wanajamvi kiukweli miongoni kwa wabunge walionikera jana ni pamoja na kangi lugola ametumia muda mwingi kuleta mizaha mwisho wake kushindwa kwenda kwenye hoja pia kumpelekea tuhuma zisizo na msingi.

CAG kwani kama huna cha kuongea si bora uwape nafasi wanzako we kweli kuna cord of conduct na unajua unaanza kutaka kuvaa sare za chama bungeni kweli jamani anadimand kuvaa kininja huo ni mzahaa kwenye jambo serious kama hili.Naomba kuwasilisha hoja.
 
Gaddafi alishathubutu kusema hasumbuliwi na panya lakini matokeo yake alifia mtaroni na panya walimsokomeza vijiti mkundun.i kwisha jeuri yake.

Halafu wanatumia watu wasiojielewa Kama Lusinde na Mshama kujenga hoja......Anainuka waziri Ghasia kutoa utumbo mpaka unajiuliza hivi waziri Kama huyu akikutana na wenye akili zao huko nje anafanyaje??

Hii ndio reason kubwa ya nchi zetu kutoendelea na kukumbwa na mikataba ya aibu kila uchao......

Wabunge wetu wana IQ ndogo Sana mithili ya kima
.....
 
comedy zilizidi hoja ...he disappointed me so much I was expecting alot more than what he did
 
Mwenzako alikuwa bungeni pia amesoma nyaraka zote ameweza kuona mapungufu yaliyomo ndiyo maana akasema hivyo lakini wewe usiyejua chochote unakurupuka kumtunumu bila kujua ukweli.
 
NI WAZI KUWA washiriki hawa wawili kwa kutumia ripoti ya CAG PCCB NA PAC kuna ushahidi beyond doubt kuwa wamelihujumu taifa. kuna wabunge wengi wa upinzani na ccm wanakubaliana juu ya uovu wa watu hawa
mh raisi taarifa ni kuwa viongozi hawa wamekataa kujiuzulu na bila shaka uamuzi uu mikononi mwako. spika pamoja na serikali bungeni wametutia mashaka juu ya uchungu wao kwa tanzania.
mh RAIS TUUNGANE PAMOJA TUWE WAZALENDO KWA KULINDA HADHI YA NCHI YETU
 
Huyo unayemwandikia achukue hatua ndio kinara wa wizi.
 
Back
Top Bottom