Yaliyojiri Bungeni Dodoma, Septemba 06, 2016: Mbunge wa Kilolo ataka michezo ifutwe nchini

Mkuu radika Salaam!
Kwa bahati nzuri nilikuwa natazama luninga kipindi cha bunge kikienda mubashara kupitia kituo cha Star Tv. Wakati wa kipindi cha maswali na majibu, ndipo ikafika zamu ya mh Mwamoto mbunge wa kilolo. (Mchezaji mahiri wa soka enzi zake, akichezea Majimaji ya songea pamoja na timu ya Taifa kwa sasa ni kocha wa timu ya soka ya bunge). Niliposikia swali lile kwa haraka nilishtuka, mh Spika naye alilirudia swali lile kwa namna lilivyokuwa fupi na "straight". "KWA NINI SERIKALI ISIFUTE MICHEZO?"
Mh Mwamoto katika msingi wa swali lake alijikita katika uhalisia kuwa Serikali imeitelekeza michezo kwa kiasi kikubwa mno. Imeiachiliza UMISETA, UMITASHUMITA NK. Ambayo ilikuwa ndiyo shina la kupata vipaji. Na baada ya majibu ya Mh Waziri ndipo Mwamoto alipoonyesha wasiwasi wake kwa serikali juu ya ushiriki wake katika michezo. Serikali imekaa mbali mno na michezo kiasi cha wadau kama Mwamoto kuhisi kuna namna Serikali bila kusema, imeshaitelekeza michezo mno kama kuifuta tu.
Ndivyo uhalisia na ndivyo nilivyomuelewa. Tatizo ni namna alivyowasilisha na namna lilivyopokelewa na wadau ukiwemo mkuu mtoa uzi. Asante.

Mi nimekupata vizur kabisa mkuu sasa wao kama wabunge nguvu yao kwa serikali ni ipi kuhakikisha serikali inashiriki kikamilifu ktk kuwekeza ktk michezo wanashindwaje kuishawishi serikali iamini michezo ni sehemu ya ajira kwa vijana?

Kwa alichokiongea vipi kama serikali ikalichukua wazo lake la kuifuta hiyo michezo nani wa kumlaumu hapo?
 
Kwa mbunge wa ccm wala siwezi shangaa ingekuwa kituko na kioja kama angeonge hizo rubbish mpinzani,kashindwa kuwaambia wafute Mwenge anakimbilia ajira za watu,mwehu kweli huyo
 
Sioni msaada wa wizara ya michezo katika michezo ya nchi hii bora ifutwe hiyo wizara tu kwanza maana hata huyo nape hasomeki
 
yaani kweli naamini kufikiria ni kazi ngumu na ndio maana ni wachache tunajihusisha nayo. yaaani kweli kuifuta nddio solution? nchi gani umeshawahi kuskia imefuta michezo? uifute halafu? baada ya kutafuta utatuzi yeye anasema eti...... keylaza ktk ubora
 
Mbunge wa Jimbo la Kilolo Venance Mwamoto ameuliza swali bungeni kwanini serikali isifute michezo nchini kutokana mwenendo mb]
Mimi nilimwelewa sana huyu mh.Kwanza kabisa huyu ni m/michezo,aliwahi kucheza ligi daraja la 1 miaka ya nyuma ambapo sasa ni Ligi kuu,na pia sasa nadhani ni Coach wa Timu ya Bunge.Nadhani hili lilikua ni swali la mtego kwa Sirikali,kwamba hawaoni umuhimu wa michezo kiasi cha kutoonyesha mikakati yoyote ya kuuendeleza na pia wenyewe wanadiriki hata kuua baadhi ya sehemu ambazo zilikua ni chanzo cha ukuzaji wa vijana wetu.Nadhani alikua na nia nzuri tu,Si kama wale wa Sanamu,bangi na yule dada wa Bunge live
 
Mbunge wa Jimbo la Kilolo Venance Mwamoto ameuliza swali bungeni kwanini serikali isifute michezo nchini kutokana mwenendo mbaya wa matokeo?
Tujadiliane kwanini serikali isiifute michezo nchini???

Huyu jamaa ni bogus wa kundli la kwanza kabisa ccm. Ninamfahamu akili hakuna.
 
Mimi nilimwelewa sana huyu mh.Kwanza kabisa huyu ni m/michezo,aliwahi kucheza ligi daraja la 1 miaka ya nyuma ambapo sasa ni Ligi kuu,na pia sasa nadhani ni Coach wa Timu ya Bunge.Nadhani hili lilikua ni swali la mtego kwa Sirikali,kwamba hawaoni umuhimu wa michezo kiasi cha kutoonyesha mikakati yoyote ya kuuendeleza na pia wenyewe wanadiriki hata kuua baadhi ya sehemu ambazo zilikua ni chanzo cha ukuzaji wa vijana wetu.Nadhani alikua na nia nzuri tu,Si kama wale wa Sanamu,bangi na yule dada wa Bunge live

mkuu aangalie mitego kwenye jambo la maana haifai vipi kama serikali ikichukua wazo lake na michezo ikafutwa atarudi kusema ulikuwa mtego?

waibane serikali kuhusu michezo watoe hoja zenye mashiko sasa anaanza utani tena wakat huku tunashangilia uganda kushiriki afcon
 
Mi nimekupata vizur kabisa mkuu sasa wao kama wabunge nguvu yao kwa serikali ni ipi kuhakikisha serikali inashiriki kikamilifu ktk kuwekeza ktk michezo wanashindwaje kuishawishi serikali iamini michezo ni sehemu ya ajira kwa vijana?

Kwa alichokiongea vipi kama serikali ikalichukua wazo lake la kuifuta hiyo michezo nani wa kumlaumu hapo?
Sawasawa. Lakini sasa kama ulimwelewa hivyo (nilivyoelezea) mbona heading yako na content imeonyesha kama vile Mbunge anaitaka serikali ifute michezo? Huoni wachangiaji wote waliokusoma (bila kumsikia Mwamomoto) wamechangia negatively?
 
Alipouliza swali si alitaka serikali ifute michezo au?
 
Sawasawa. Lakini sasa kama ulimwelewa hivyo (nilivyoelezea) mbona heading yako na content imeonyesha kama vile Mbunge anaitaka serikali ifute michezo? Huoni wachangiaji wote waliokusoma (bila kumsikia Mwamomoto) wamechangia negatively?

Mbunge wa Jimbo la Kilolo Venance Mwamoto ameuliza swali bungeni kwanini serikali isifute michezo nchini kutokana mwenendo mbaya wa matokeo?

Mkuu kunakilichoongezwa au kupunguzwa je kuna tofauti na heading? Kuna post umekiri kakosea kuiwasilisha sasa jamii imuelewe vipi ya wapenda michezo?
 
Linawezaje kuwa bunge mahili kama watu makini kama Lissu,Zitto,Matiku nk hawatakuwepo bungeni?
 
Dah umeniwahi ndugu yangu kuleta huo uzi kwa kweli mimi nmejiuliza sijapata jibu kwanini wamefanya hivyo hivi ni lini wataacha kutegemea akili ya mtu mmoja?.

Mwenyekiti CCM JF

Mlitaka wavae Tshirt za KIJANI
 
My country now is worse for intellectuals to live but only stupid people who can simplify each& everything
This is the tragedy of my country
Andika vitu vya maana actually you can be blessed than to list your mental image watu Wana njaa+shida so try to make us at least think
 
Wadau amani iwe kwenu.

CHADEMA, CUF na UKAWA kwa ujumla ni washari. Wanadhihirisha kuwa hawapo tayari kwa suluhu japo wanajifanya wao ndio wanachokozwa Bungeni. Wanajifanya wastaarabu kumbe si lolote. Wamejiandaa kwa mapambano Bungeni ambayo kwa hakika hawatayaweza.

Nimewaona wabunge wa Upinzani wote wakiwa wamevalia suti nyeusi. Nimeongea na mmoja wa wabunge wa UKAWA ambaye ni source wangu akaniambia kuwa wanaomboleza kifo cha demokrasia nchini. Akasema kuwa wamepania bunge hili kuhamishia harakati za UKUTA ndani ya Bunge. Akasema kuwa wamepewa maelekezo na Edward Lowasa na Maalim Seif kuwa katu wasikubali muafaka wowote na wabunge wa CCM. Akasema kuwa Lowasa na Maalim Seif wameafikiana kuwa sasa hakuna suluhu bali jino kwa jino.

Hakika nimetafakari sana kauli hizo na nimeziona kuwa hazina tija kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Hii ni kutokana na ukweli kwamba CCM tutaendelea kuutumia wingi wetu na wao wataendelea kuathirika kwa uchache wao.

Kwa tabia za hawa wabunge wa Upinzani, tumuache Rais Magufuli awaambie ukweli
Hakika wewe ni JOSEPH GOEBBELS wa kizazi cha sasa ndani ya ccm.
 
Back
Top Bottom