Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

Wabunge wachadema na CUF wako nje ya viwanja vya bunge wana tazama hotuba ya Mh Rais....
 
Zitto ni anatake advantage of every situation to make act popular,,,Ugomvi wa ccm na cdm ni mtaji kwake!!! Hana habari na katiba na akipewa pesa ndo kabisaaaa anamute,ref escrow

Katiba au mabadiliko hayaji kwa kutumia njia za mkato, hovyo na utoto. UKAWA wajenge hoja kwa takwimu kupata wanachokihitaji au kusikilizwa. UKAWA leo wametolewa nje kwa aibu na mambo yanaendelea kama kawaida. Badala ya kukwamisha wamejikwamisha wao wenyewe.

WATAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA
 
asema serikali yake imepokea kiporo cha katiba mpya.

anasema atatekeleza wajibu wake kama sheria ya marekebisho
ya katiba yanavyowataka.
 
wewe ndio hufai hujui unachoongea wala kusimamia, watu wanavunja Katiba nyie mnatoa meno nje tu.
 
Zitto ni akili kubwa hayumbishwi kama mtoto mdogo ana wazidi akili viongozi wote wa chadema[/QUOTE]Kuna kigazeti nimesoma kuwa mgombea wa Kigoma mjini ccm alihujumiwa na wakubwa wake na awali sikuziamini kabisa. Sasa naamini kumbe kuna mtu maalumu alitakiwa kufanya kazi maalumu kwa muda maalumu. Yanayoendelea ni ushahidi!

 
uchumi umekuwa ukikua kwa asimilia 7 wakati wa utawala wa kikwete
anampongeza sana kwa kuimarisha uchumi wa taifa.
 
Kilichofanywa na wabunge wa UKAWA ni sahihi na aibu inakwenda kwa anaeng'ang'ania madaraka. Ukawa nimewakubari. na kwa hili sijui wahisani kama watatia mguu hapa bongo.
 
Hapa kwenye katiba hapa ndo WALA SITAMUUNGA MKONO MAGUFULI kama wataendelea na hiyo pendekezwa, wailete tu mtaani tuipige chini.
 
Next level kwako kwa kuwa ufahamu wako ni mdogo. Katiba ni kandamizi na inasiginwa halafu mtu from no where anafuta uchaguzi halafu watu wabaki wanacheka kama kima. Ukawa wasingefanya hili ningewafuta kabisa kichwani mwangu

Usisukumwe na siasa ukajua kila mtu anamihemko ya siasa za ajabu ajabu ufahamu wangu si wako kamwe so heshimu mawazo ya watu si kila mtu akawa na mtazamo wako....sijaongea lolote kuhusu katiba or else naongelea ZZK kama Zito nimjuavyo katika utendaji wake.
 
Ndugu yangu Zitto nilikuheshimu sana lakini sasa sikuheshimu tena!

Umekuwa msaliti wewe.
Umekuwa mlevi mlevi wewe.
Umekuwa kibaraka wewe.
Unawasaliti watanzania wewe.
Umeenea mfukoni mwa CCM wewe.
Umekuwa mpinzani feki wewe.

Zitto wewe ni adui wa umma namba moja, mtu asiepaswa kuaminiwa wala kutumainiwa.

Zitto utafanikiwa kama Mrema na utaisha kama Mrema.
Upinzani utakuwa sana wakati wewe unafanikiwa na utachukua dolla wakati wewe unaisha.
Nihayo tu!

Julias Eloatonga Mrema?? ndo nani
 
Rais Magufuli amempongeza Zitto Kabwe kwa kutanguliza Utaifa na kuachana na dhana ya kuzomea na kupiga kelele.
 
Kwa upuuzi ambao UKAWA wanafanya....hata ingetokea wana vyeti...basi vyuo vyao vingewapora vyeti hivyo. Sema huko utakutana na watu kama Lema, Mbowe, Sugu, Prof J, Waitara...wote hawa STD VII leavers na form IV failures. Hivyo unatarajia nini kutoka kwa vilaza wa aina hiyo? Tuwape nchi vilaza!?

KIJANA WAZEE TUKUKUONA UNA HOROJA BILA HOJA LAZIMA TUKEMEE!
-Hebu uitafakari bongo yako na ujione mwenye hatia mbele za wazazi wako kwa kutoa kauli za kipuuzi kama hizi.
 
Back
Top Bottom