Plato Trainer
Member
- Oct 17, 2015
- 56
- 2
Kitu ambacho CCM wanawapatia waDANGANYIKA ni hotuba tam tam utashangaa wanavyorukaruka kama Maharage yanavyochemka Jikoni
Teh teh teh
Kitu ambacho CCM wanawapatia waDANGANYIKA ni hotuba tam tam utashangaa wanavyorukaruka kama Maharage yanavyochemka Jikoni
kubaki kwa Zitto ndan ameua chama chake cha ACT mwenyew
Zitto ni anatake advantage of every situation to make act popular,,,Ugomvi wa ccm na cdm ni mtaji kwake!!! Hana habari na katiba na akipewa pesa ndo kabisaaaa anamute,ref escrow
kubaki kwa Zitto ndan ameua chama chake cha ACT mwenyew
Zitto ni akili kubwa hayumbishwi kama mtoto mdogo ana wazidi akili viongozi wote wa chadema[/QUOTE]Kuna kigazeti nimesoma kuwa mgombea wa Kigoma mjini ccm alihujumiwa na wakubwa wake na awali sikuziamini kabisa. Sasa naamini kumbe kuna mtu maalumu alitakiwa kufanya kazi maalumu kwa muda maalumu. Yanayoendelea ni ushahidi!
Next level kwako kwa kuwa ufahamu wako ni mdogo. Katiba ni kandamizi na inasiginwa halafu mtu from no where anafuta uchaguzi halafu watu wabaki wanacheka kama kima. Ukawa wasingefanya hili ningewafuta kabisa kichwani mwangu
Ndugu yangu Zitto nilikuheshimu sana lakini sasa sikuheshimu tena!
Umekuwa msaliti wewe.
Umekuwa mlevi mlevi wewe.
Umekuwa kibaraka wewe.
Unawasaliti watanzania wewe.
Umeenea mfukoni mwa CCM wewe.
Umekuwa mpinzani feki wewe.
Zitto wewe ni adui wa umma namba moja, mtu asiepaswa kuaminiwa wala kutumainiwa.
Zitto utafanikiwa kama Mrema na utaisha kama Mrema.
Upinzani utakuwa sana wakati wewe unafanikiwa na utachukua dolla wakati wewe unaisha.
Nihayo tu!
Kwa upuuzi ambao UKAWA wanafanya....hata ingetokea wana vyeti...basi vyuo vyao vingewapora vyeti hivyo. Sema huko utakutana na watu kama Lema, Mbowe, Sugu, Prof J, Waitara...wote hawa STD VII leavers na form IV failures. Hivyo unatarajia nini kutoka kwa vilaza wa aina hiyo? Tuwape nchi vilaza!?