Hajazungumzia mgogoro wa Zanzibar.
Hotuba ameandikiwa km JK au anatoa yaliyo kichwani kwake!
Huyu magufuli anasoma wapi mbona hatazami kwenye meza?
Katiba au mabadiliko hayaji kwa kutumia njia za mkato, hovyo na utoto. UKAWA wajenge hoja kwa takwimu kupata wanachokihitaji au kusikilizwa. UKAWA leo wametolewa kwa aibu na mambo yanaendelea kama kawaida. Badala ya kukwamisha wamejikwamisha wao wenyewe.
WATAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA
Sasa mtawala awaze nini labda wakati hawa tulishazoea ndo siasa zao wakishabwia viroba ni kuzomea,kususa hii si Mara ya kwanza kwani walivyomgomea kikwete nini kilibadirika?
Automatic std VII wanaishia wengi watabaki Form IV na Form VI.Pendekeza na elimu ya wapigakura. Inawezekana tatizo ni sisi tunaowachagua hao wabunge.
Kuna teleprompter, vidude viwili kama kioo pembeni yake kulia na kushoto, anaona maandishi yakipanda taratibu ila wewe huwezi ona hayo maandishi.
Rais Magufuli amempongeza Zitto Kabwe kwa kutanguliza Utaifa na kuachana na dhana ya kuzomea na kupiga kelele.
vyama vya upinzani hapa nchini ni vile vinavyounda UKAWA tu. vingine ni makapi ya ccm...
HIVI MTU KAMA JAFFARI MICHEL AMBAYE ANA UMRI KAMA WA BABA YAKO UNAMWITA MJINGA?Majinga haya hayaja fanikiwa nilidhani yatagoma kutoka ili Rais asihutubie hakika haya ni majinga ya mwisho yakiongozwa na Tundu Lissu
hotuba hovyo haina mvuto
Wabunge wa ukawa tambueni kwamba mmepewa kura na wananchi wenu ili muende bungeni kutatua matatizo yenu na shida zao mbali mbali.Kwa kitendo cha boycott mlichokifanya Leo imeonesha wazi kwamba wapiga kura wa majimbo yenu wamepoteza tayari kura zao kwa miaka mi 5 ijayo. Rais magufuli alipita kwenye majimbo yenu na akahaidi vitu mbali mbali sasa badala mukae musikilize mipango ya serikali yake katika miak mi 5 hii nyie mna pigs kelele kama sokwe aliyeona ndizi.Mkifata mawazo ya mbowe kufanya Fujo na kupiga kelele nawahkikishia mwaka 2020 hmtarudi bungeni angalieni mfano kwa ezekile wenje na Vincent nyeyrere ambao walijikita katika kufata akili ndogo za mbowe matokeo take wakapigwa chini na wanachi. To be honest mmewasaliti wapiga kura wenu kwa kuendekeza siasa hadi bungeni mahali ambapo mngepatumia vizuri mngewapa ahueni wapiga kura wenu.