Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

Rais ana sema ataboresha miundombinu ya bara bara hapa dar es salaam
na kupanua bandari...
anasema pia serikali yake itajenga reli kwa standar gauge
 
Ndugu yangu Zitto nilikuheshimu sana lakini sasa sikuheshimu tena!

Umekuwa msaliti wewe.
Umekuwa mlevi mlevi wewe.
Umekuwa kibaraka wewe.
Unawasaliti watanzania wewe.
Umeenea mfukoni mwa CCM wewe.
Umekuwa mpinzani feki wewe.

Zitto wewe ni adui wa umma namba moja, mtu asiepaswa kuaminiwa wala kutumainiwa.

Zitto utafanikiwa kama Mrema na utaisha kama Mrema.
Upinzani utakuwa sana wakati wewe unafanikiwa na utachukua dolla wakati wewe unaisha.
Nihayo tu!

Unajidanganya wewe,

Badala ya kujenga nchi eti mnajifanya kutoka nje ya Bunge,

Posho za Bunge mnakula.
 
Nmemsikiliza vizuri mh pombe katika swala la katiba ya wananchi anasema ataendeleza pale palipoishia kwa maana ya mchakato wa kuipigia kura ya ndio AU HAPANA Ile katiba ilosusiwa na baadhi ya wajumbe toka zanzibar na Bara
 
Katiba au mabadiliko hayaji kwa kutumia njia za mkato, hovyo na utoto. UKAWA wajenge hoja kwa takwimu kupata wanachokihitaji au kusikilizwa. UKAWA leo wametolewa nje kwa aibu na mambo yanaendelea kama kawaida. Badala ya kukwamisha wamejikwamisha wao wenyewe.

WATAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA

Hyo katiba pendekezwa mmeipata kwa njia sahihi au mkato!!! N so far cjaona walipoluz ukawa!!! THERE IS NOTHING NEW ABOUT THIS SPEECH!!! Ni yaleyale ya cku zote!!! Ni kama anakumbusha ahadi zake tu!!!!
 
Ndugu yangu Zitto nilikuheshimu sana lakini sasa sikuheshimu tena!

Umekuwa msaliti wewe.
Umekuwa mlevi mlevi wewe.
Umekuwa kibaraka wewe.
Unawasaliti watanzania wewe.
Umeenea mfukoni mwa CCM wewe.
Umekuwa mpinzani feki wewe.

Zitto wewe ni adui wa umma namba moja, mtu asiepaswa kuaminiwa wala kutumainiwa.

Zitto utafanikiwa kama Mrema na utaisha kama Mrema.
Upinzani utakuwa sana wakati wewe unafanikiwa na utachukua dolla wakati wewe unaisha.
Nihayo tu!
Mkuu Zitto ni msaliti tangia zamani hata alipokuwa chuo ali wasaliti umoja wa wanafunzi pale.
zito ni msaliti by nature asikuumize kichwa kabisa
 
Ujenzi wa viwanda:

serikali ya awamu ya 5 itaweka mazo katika ujenzi wa viwanda
 
Nawashauri hawa jamaa waanze kula pipi ivory kwa wingi maanake nimeona kwenye matangazo kwamba zinaongeza ubunifu.
 
Back
Top Bottom