Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

Zitto mnafiki sana

hivi akili umeshikiwa na MTU! zito si Ukawa! zitto no mwanasiasa mwenye misimamo yake, unashanga nn yeye kubaki kunamtu alimsaidia arejee bungen afanye bange kama hao wengine! punguzeni kumattack zzk! zitto Fanya kaz tulokutuma
 
Dkt Magufuli ana flow bila kushika hata kipeperushi....huyu ndiye rais tunaye mtaka. UKAWA walitaka kutupa mzoga wao ambao kuhutubia tu anatumia dakika 2...sasa sijui leo Bungeni angewaambia wabunge wakasome hotuba yake kwenye website ya Ikulu
Jifunze kuwa na heshima,wote tutakufa na kuwa mizoga,siasa zisikufanye ukasahau kuwa na wewe ni binadamu
 
Nimewasifu sana ukawa kwa kutoka na hilo kwa mtawala mwenye akili na busara ata waza mara mbili. Sijajua Mtu wa watu atafanya nini? Ila akifuata ushauri wa ccm amekwisha kabisa. Nashauri atumie busara zake binafsi

Sasa mtawala awaze nini labda wakati hawa tulishazoea ndo siasa zao wakishabwia viroba ni kuzomea,kususa hii si Mara ya kwanza kwani walivyomgomea kikwete nini kilibadirika?
 
Ukawa wametoka nje ya bunge halafu wakaanza kukimbia kwenda kwenye television ili kuangalia na kusikia hotuba ya Rais Magufuli.

Hawa jamaa wanafurahisha sana!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Reli kuchakaa
mizigo mingi kusafirishwa kwa bara bara
ATC -wafanyakazi zaidi ya 200 na wanalipwa mishara wakati ndege wanayo moja tu
hakik za wazee, wanawake, walemavu , watoto
wasanii na wanamichezo kukosa haki zao
wafanyakazi madai yao kutoshulikia kero hizo
 
Dkt Magufuli ana flow bila kushika hata kipeperushi....huyu ndiye rais tunaye mtaka. UKAWA walitaka kutupa mzoga wao ambao kuhutubia tu anatumia dakika 2...sasa sijui leo Bungeni angewaambia wabunge wakasome hotuba yake kwenye website ya Ikulu
Jamaa na mikengeza yake alifikiri wote tuna makengeza kiasi cha kuuziwa bidhaa yoyote bila kuhoji ubora wake.
 
Speech ya magufuli mbona haiji na solution
imeishia kutaja taja vitu tu
anasema kero anazo taja lazima azishughulikie kwa nguvu zote sasa hasemi njia atakazo tumia
 
Zitto ni anatake advantage of every situation to make act popular,,,Ugomvi wa ccm na cdm ni mtaji kwake!!! Hana habari na katiba na akipewa pesa ndo kabisaaaa anamute,ref escrow

Zito yupo after money hana lolote ni bonge la mnafiki mkubwa.
 
mkuu ZZK anajielewa sana siku zote nakujielewa kwake ndo maaana wanampa majina mengi....ukweli utabaki palepale Zito ni next level

Next level kwako kwa kuwa ufahamu wako ni mdogo. Katiba ni kandamizi na inasiginwa halafu mtu from no where anafuta uchaguzi halafu watu wabaki wanacheka kama kima. Ukawa wasingefanya hili ningewafuta kabisa kichwani mwangu
 
Back
Top Bottom