Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

Anafaa sana huyo profesa wa Sheria, hivi SADIFA JUMA NAE! Looh!

hahaha ukisikia unapata kazi bila training ndio naiona leooo hahahaaaa 0 experience ya kukaa ktk bungee huko leo ni mwendo mpetompeto tuuuu
 
Nilikuwa namtegemea mzee wa Viwango basi tena ngoja nisubili tu kuona atakae chaguliwa.
 
Back
Top Bottom