Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

aongee na wewe nini msaliti wewe? Unatafuta watu wa kujadili nao ili ujijenge kisiasa. Juzi umdjiita chadema leo act? Hakuna ajali iliyotokea,yote hayo mmejipangia ili act ikumbukwe.
 
Ben Saanane hawezi kujibishana na bongo za panzi na mende. Unamfananisha Ben na huyu mchumia tumbo saliti Ludovick?
Kama kweli hawezi kujibisha wala asingetoa hayo maneno Ludo aliyo mnukuu.

Kakimbia kama jet! Alizoea vya kunyonga.
 
aongee na wewe nini msaliti wewe? Unatafuta watu wa kujadili nao ili ujijenge kisiasa. Juzi umdjiita chadema leo act? Hakuna ajali iliyotokea,yote hayo mmejipangia ili act ikumbukwe.
Huyo Ben kakimbia na tumethibitisha.
Kama alikuwa hataki kuongea na Ludo asinge toa hayo maneno aliYo mnukuu!
 
Kama kweli hawezi kujibisha wala asingetoa hayo maneno Ludo aliyo mnukuu.

Kakimbia kama jet! Alizoea vya kunyonga.

Mtaweweseka sana vibaraka nyie,Ben hana muda na hatokuwa na muda wa kujibizana na huyu actor wa muvi za ugaidi!
 
Kama vyombo vya dola vya ccm vimeshindwa kuona kosa juu ya Rwaks, bado unasema ukweli unaweza kubadilishwa kuwa uongo! Ccm peke yake ndo inaweza kubadili uongo ukawa ukweli maana wao ndo watawala wanaweza kufanya lolote wanalotaka lakini Mungu tu ndo hayuko upande wao ndo maana mabaya yote wanayowafanyiwa wengine yanwarudi wao! "Chadema is protected by God, ccm is protected by gods"!

kwani serikali imeshindwa kesi ngapi!? alafu ngoja nikujuze kitu ndugu;mahakamani unaweza onekana hauna hatia simply kwa sababu ushaidi hautoshi na iyo haindoi ukweli kwamba umefanya kosa. kuusu ilo la pili kwama CCM inalindwa na miungu na CDM inalindwa na Mungu sitaki kuingilia ukubwa wa ujinga wa imani yako ila tambua ukweli kwamba na hasa kama wewe ni theist hata LUCIFER anapata Rehema ya mungu ya ulinzi!
 
Mkuu Joseph Ludovick hadi sasa umethibitisha Ben saanane ni mzushi na ni muongo ndio maana kakimbia! Lakini naomba uenDelee kumvumilia pengine atajitokeza.

Na hili onyo lako limfikie na akiweza aje hapa au aombe msamaha!

Wewe ni kiboko ya Bavicha daa Ben kakimbia kama hile ndege iliyo mleta Obama bongo!

Cc Ben Saanane!

nashauri ben usipoteze muda kuongea na wahuni hawa! Let them die at their own
 
Last edited by a moderator:
ludo do ni Mnafiki sana , kumbuka ni penye Msacky .......Zitto yupo.......Mwigulu .......yupo .......Ludo yupo, na hata jana story ya ajali ilikuwa imetangewa front page , ila Dili halikutekelezeka ndio maana anajiuma uma ..........so yeye kuwa ACT ni sehemu anapostahiki kuwa ......

kama slaa alivyo dondoka chooni
 
Mkuu Joseph Ludovick hadi sasa umethibitisha Ben saanane ni mzushi na ni muongo ndio maana kakimbia! Lakini naomba uenDelee kumvumilia pengine atajitokeza.

Na hili onyo lako limfikie na akiweza aje hapa au aombe msamaha!

Wewe ni kiboko ya Bavicha daa Ben kakimbia kama hile ndege iliyo mleta Obama bongo!

Cc Ben Saanane!

naona unasaidiana na jizi lenzio!
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere achana na wajinaga kama hawa kwa umasikini tulio nao Mpumba.vu kama huyu anakuja kuleta ligi za kijinga hapa


acheni Ujinga mkaa mbele ya watu mnapigwa mawe kama wezi

eti aje tuongee muuongee nini.......................what do u think yopu can speak


miwatu mingine hata ikifa watu hawasikitiki upewe pole ya nini

yerick huyu fundi ujenzi
 
Last edited by a moderator:
I am not poor as you Joseph Ludovic kwa nini Mimi sijawahi tumiwa na kijana mwenzangu maana sioni faida. Hata Yuda askali wa wote alikuwa kama wewe anaona ni mjanja mwisho wake unaujua manager jina lako laonyesha walau mapokeo unayo . Miaka inaenda mbio mnoo mwisho utsuonatendelea kutumika
 
Mkuu.. ludovic.. ni kweli ulipewa lifti tu au? ulisimama wapi hadi wanaACT wakakuona na kukupa lifti... jibu hayo nitakuja
 
Kwahiyo LudoVicky umeanzisha huu uzi kwa ajili ya kujibizana na Ben TU nothing else??
Kama ni hivyo hebu badilisha hiyo heading uliyoandika kwamba unatupa yaliyojiri ktk ajali yenu ya ACT.
Vilevile mods tunaomba kuwe na jukwaa la Mcharuko ili mambo ya kanga kama hayo yawe yanawekwa huko.
Mtu mwenye akili timamu huwezi anzisha thread kwa ajili ya kujibizani na mtu mwingine personal.
Huh ni upuuzi
 
Ludovick ndiye alimrekodi lwakatare. alipojua mpango muovu wa lwakatare aliamua kumtafuta msaky kumueleza ili achukue tahadhari. msaky akamwambia Emmanuel Nchimbi aliyekuwa rafiki yake sana.
nchimbi ndiye alimwambia Mwigullu. so Mwigullu akamtafuta Ludo kwa simu na ndiyo maana walionekana wamewasiliana mara nyingi.hata elfu 50 aliyomtumia ilikuwa ya mawasilino.
kwa hiyo ni kweli kuwa lwakatare alikuwa anataka kumuua au kumdhuru msaky. ni kweli kuwa Ludo alimwambia Msaky. kisha akaambiwa Nchimbi naye akamwambia mwigullu. sasa kosa la ludo ni kumuokoa msaky? acheni unazi wa chadema
So wewe ni Mwigulu, Nchimbi au Msacky? Nchimbi na Msacky tayari wamshafulia.........Zitto naye aliyemsapoti Mwigulu kule star tv kafulia pia .........
 
Ni lini ulihamia ACT? Vijana mnatangatanga sana, kote huko ni kuganga njaa sijui kama tutafika!

Vijana wote wanaojitambua wako ACT
umebaki wewe tu ulieshikiwa akili zako, nasiku ukirudishiwa akili zako atishangaa ulivyokuwa zezeta.
 
Back
Top Bottom