Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

R.I.P.

Mashujaa wetu. Mungu awaweke mahali pema peponi.
Hakika DAMU yenu iliyomwagika haitaenda bure. CCM will pay dearly for this precious BLOOD!

CCM hawana tofauti na MAKABURU,NDULI IDD AMIN,BOKASSA,MOBUTU SESE SEKO na madikteta wengine waliopita katika Bara letu la Afrika.Jambo la uhakika ni kwamba leo hii hakuna hata mmoja aliyeko kwenye madaraka wala mamlaka yeyote. Wote wamezikwa na wamekuwa nyama ya udongo!!!

Tell CCM AND THEIR HENCHMEN KIWETE,MAKAMBA,CHATANDA,MWEMA,ADENGENYE they must be next on the TOP list.
 
Leo Arusha yamefanyika maandamano kutoka hospitali ya mount meru mpaka viwanja vya NMC ambapo ndipo ibada ya kuwaanga mashujaa wawili waliokufa katika maandamano ya amani wiki iliyopita.... LEO MAELFU KWA MAELFU YA WANANCHI WAMEANDAMANA WENYEWE BILA KUWEPO KWA ASKARI YEYOTE BARABARANI HATA KWENYE VIWANJA VYA NMC AMBAPO NDIPO WALIPOKUTANA KWA IBADA YA KUWAANGA MASHUJAA WAO

KWELI MAANDAMANO BILA POLISI NA MABOMU INAWEZEKANA....
 

Attachments

  • mashujaa27.jpg
    mashujaa27.jpg
    147.9 KB · Views: 130
  • mashujaa29.jpg
    mashujaa29.jpg
    106.6 KB · Views: 143
  • mashujaa28.jpg
    mashujaa28.jpg
    98.8 KB · Views: 54
  • mashujaa25.jpg
    mashujaa25.jpg
    77.9 KB · Views: 51
  • mashujaa20.jpg
    mashujaa20.jpg
    140.6 KB · Views: 130
  • mashujaa30.jpg
    mashujaa30.jpg
    91.2 KB · Views: 58
  • mashujaa21.jpg
    mashujaa21.jpg
    102.4 KB · Views: 124
  • mashujaa22.jpg
    mashujaa22.jpg
    138.6 KB · Views: 125
  • mashujaa26.jpg
    mashujaa26.jpg
    82.9 KB · Views: 117
  • mashujaa23.jpg
    mashujaa23.jpg
    56.3 KB · Views: 131
  • mashujaa24.jpg
    mashujaa24.jpg
    136.5 KB · Views: 133
Waombolezaji wenzangu, tungefarijika kama mngetuhabarisha shughuli ya mazishi ya mashujaa wetu inavyoendelea hapo Arusha kwani saa 4 asubuhi imekaribia.

167717_1673406368783_1646147558_1560841_1969257_n.jpg


MSIBA: mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe, akiwa pamoja na Mbunge wa jimbo la Arusha, Godbless Lema, wakibeba mwili wa marehemu Ismail Omar ambaye alifariki januari 5 mwaka huu kwa kupigwa risasi na polisi akiwa katika maandamano ya chadema mjini Arusha: marehemu alizikwa leo Usa river baada ya kuagwa viwanja vya NMC mjini Arusha.



Ukweli umedhihirika leo Chama Cha Majambazi na Mwizi wao mkuu wanahaha hivi sasa kwa sababu wanafahamu nini kitafuata baada ya Watanzania wa lika mbali mbali kuhudhuria misa za mazishi NMC Arusha na wengine ulimwenguni kote kuweza kufuatilia mazishi ya mashujaa ambao hawakuweza kuogopa risasi za JK na pimbi wenzake.

Next distination ni kuwashughulikia Mafisadi papa wenyewe. Hatuwezi kamwe kutawaliwa na vikaragosi wanaojineemesha kwa kuwatumia makuwadi waliopewa dhamana na NEC kuongoza hili taifa. Tanzania ina heshima na inajulikana kwa kuwang'oa wakoloni na walowezi, Watanzania hawawezi kamwe kuendelea kunyonywa kwa kutumia mgongo wa chupa.

Mwenyezi mungu azirehemu roho za marehemu.
 
Waombolezaji wenzangu, tungefarijika kama mngetuhabarisha shughuli ya mazishi ya mashujaa wetu inavyoendelea hapo Arusha kwani saa 4 asubuhi imekaribia.

167717_1673406368783_1646147558_1560841_1969257_n.jpg


MSIBA: mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe, akiwa pamoja na Mbunge wa jimbo la Arusha, Godbless Lema, wakibeba mwili wa marehemu Ismail Omar ambaye alifariki januari 5 mwaka huu kwa kupigwa risasi na polisi akiwa katika maandamano ya chadema mjini Arusha: marehemu alizikwa leo Usa river baada ya kuagwa viwanja vya NMC mjini Arusha.

Hakuna mwombolezaji kati ya hawa militants..
Wanafanya usanii tu na magandwa yao.
Jambo hili linauma sana kwa ndugu wa waliofiwa na waombolezaji wa kweli.

Tunamwachia Mungu.
 
aisee chadema for life. ushauri wangu chadema wote tuwasomeshe na kuwatunza watoto na wajane wa marehemu. tuanzishe mfuko rasmi wa rambirambi mimi niko tayari kutoa kilo nzima
 
Umati uliohudhuria Arusha leo, uwakilishi wake, na waandishi wa habari waliohudhuria ni kama mwavuli juu ya taifa. Hakuna aliyefikiria kuwa leo ni siku kuu ya mapinduzi. Mapinduzi halisi yamekuwa Arusha, na wahanga wa ukatili wa polisi wamepata heshima kubwa ya hadhi ya wapigania uhuru.

Pamoja na maandamano makubwa namna hiyo hakukuwepo uvunjifu wa amani hata kidogo, jambo lililopeleka ujumbe wazi kwa umma, serikali, na ccm kuwa "habari za kiintelijensia" za IGP ilikuwa kisingizio cha kutekeleza matakwa ya bosi wake-kuhujumu mkutano wa cdm ili yasianikwe ya DOWANS. Vyombo makini kama ITV inawajuza wananchi nchi nzima sasa hivi habari hiyo. TANZANIA SASA KUMEKUCHA.
 
mashujaa2.jpg





mashujaa20.jpg






mashujaa21.jpg






mashujaa23.jpg






mashujaa24.jpg





mashujaa26.jpg





mashujaa27.jpg






mashujaa29.jpg






maziko.jpg



Watu walijaa jamani sio mchezo demokrasia itapatikana tu ... ... Rais Mwizi anatafuta pa kujificha.


Shukran kwa wadau wa JF Arusha (Sense, Saharavoice nk) kwa kutuletea picha.
 
At last, a new bright day has come..
Rest in Peace Brothers..
Your Precious Blood Will Nourish Your Beloved Country!
We Love You Much!!
Nothing can be done by the dead. Their blood wont do anything to the lives. Their body will remain in the dust until the second coming of the son of God (Jesus Chirst, the Messiah).
 
We will always remember our beloved who shed their blood for the true freedom of this country.R.I.P. Much respect mkuu kwa kutupeleka Arusha na kutujuza hali halisi ya mambo.
some people are very funny....man you need to wake up and go live your life...
 
nawapongeza sana ITV kwa coverage nzuri katika taarifa ya saa 2 usiku..
cha ajabu TBC wamecover kidogo sana!
 
Hakuna mwombolezaji kati ya hawa militants..
Wanafanya usanii tu na magandwa yao.
Jambo hili linauma sana kwa ndugu wa waliofiwa na waombolezaji wa kweli.

Tunamwachia Mungu.


Kishogo,

Unamwachia Mungu yupi? Polisi wamerusha risasi with IMPUNITY wewe unaandika kuwa "Tunamwachia Mungu"!...

Unajua maana ya neno "militants"? Mbowe na Lema wamekuwa "militants" kwa kubeba jeneza la binadamu aliyepigwa risasi na polisi tena kwa makusudi? Historia itakuandama tu - Hata kule Iraq yule waziri wa Saadam alikuwa anasema hivyo hivyo!

Anywayz, kama unafaidika na mfumo wa siasa uliopo. Jiulize wako wapi akina Mobutu?
 
Truly, Ocampo is welcomed to this island of peace. How comes a soldier recruited by us through the tax we pay through our noses, trained by us, dressed by us, paid by us and armed by us - use the very firearm we gave him/her to protect us to kill and maim us with impunity?
Should Ocampo come, Kikwete must stand accused number one for ordering and condoning such brutal actions against the very people who pays him and his family salary and other emoluments. Shame to Kikwete, Makamba, IGP Mwema who has so far proved to be very,very unprofessional. Shame to CCM and all its members. Shame to TISS - who have ceased to be the national security organ to become CCM security organ. We vehemently condemn you with all associated organizations who use our tax to work for CCM! God bless CHADEMA, God bless Tanzania. A luta Continua.
 
Sometimes ni vizuri kufikiri outside the box. Marehemu ni kati ya watu waliopiga kura na kufanya mageuzi makubwa mkoani Arusha. Sasa Arusha ina baadhi ya madiwani na mbunge waliyemchagua sio mtu waliyepewa na mafisadi. Pamoja na juhudi/michango yao katika chama wanastahili heshima hiyo.



which one? kwani hao marehemu walifanya nini zaidi ya kupigwa risasi wakiwa katika maandamano batili (yasiyo halali)?
 
Back
Top Bottom