Yaliyojili MBARALI: Mabango ya VODACOM yang'olewa, RC-Mbeya aamuru yarudishwe haraka.

Vodacom walipe gharama zote zilizotumika kuondoa mabango yao na gharama za kuyahifadhi kwenye maghala ya Halmashauri pamoja na riba ya asilimia 15 kwa mwezi kwa deni wanalodaiwa.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom