Yaliyojili bungeni: Hivi ni kweli Kigoma haikuwa part of Tanganyika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaliyojili bungeni: Hivi ni kweli Kigoma haikuwa part of Tanganyika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by C Programming, Jun 26, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Jamani wadau leo nilikuwa ninasikiliza bunge kwa umakini ila wakati zitto akichangia bajeti juu
  ya watu wa kigoma ya kuwa kabla na hata baada ya uhuru ya kuwa kigoma ilikuwa ni nchi inayojitegemea hivi kuna ukweli wowote...........
   
 2. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,919
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ulisikiliza vizuri? alisema between 1918 to 1924 Tanganyika ilipata lini uhuru?
   
 3. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Hapana nilisikiliza vizuli
   
 4. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hata kama ni kweli, mi sikuelewa Zito alikuwa anajenga hoja gani pale. Kwamba Kigoma ni sawa na Zanzibar na inaweza kujitenga? Au alitaka kusema nini?
   
 5. i

  interlacs Senior Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Mhe zito Zuberi kabwe leo bungeni amekemea kitendo kinachofanywa na ma ofisa wa huamiaji wakishirikiana na jeshi la polisi mkoani kigoma. Jeshi hilo limekua likiwachukulia wakazi wote wakigoma kama wakimbizi huku wakishindwa kujua historia ya mkoa wa Kigoma vizuri. (Source: TBC news 20:00). Hongera baba kwa kuwatetea watu wakigoma, tutaendelea kukuchagua kama mwakilishi wetu.

  Maoni yangu; Kuwepo kwa makabila ya wamanyema Kigoma, kongo, Burundi etc si sababu ya kuwaita watu wa kigoma wakimbizi. Ninavyo jua mimi wakimbizi wako kambini na wanalindwa na jeshi la polisi. Mazingira ya kigeographa sibabu pia. Mbona hatusemi kwamba wakadhi wa Tanga ni wageni eti kwa sababu wamepakana na mombasa? Wamasai wako Kenya, Tz,Etiopia etc mbona hatusemi kwamba ni wageni? Jana tu wamefanya msako kigoma vijini, wamekamata zaidi ya watu 200 wametishiwa maisha na kuporwa mali zao, wengi wameachiwa huru baada ya kutoa fedha. sasa imekua kama kamradi kao. We are tired of this!
  wasomi wa kigoma where are you? Mhe Piter serukamba, Mhe Kafulila na wasomi wote mnafahamu haya? kama jibu ni ndiyo msiogope basi.

  Fear can increase the size of the enemy!

  Naomba kuwakilisha kwa wana JF the home of great thinkers!
   
Loading...