sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,014
- 8,364
Habar wanajamvi?
Miezi kadhaa iliyopita,nikiwa KISIWANI ukelewe,baada ya angaika angaika zangu nilijibanza kweny kibaa kidgo cha makuti na kuanza kuagiza moja moto moja baridi uku nikifatilia taarifa ya habar!
Huku,nikiwa na msongo wa mawazo dhidi ya niliyokutana nayo tangu nilipoingia kwnye Kisiwa cha ukelewe!
Ndani ya tafakuri nzito,nilijiwa na maono yaliyonitaka nifanye kazi nyingine ya ziada,nayo ni kiwasema wale ambao niliisi hawana fursa ya kufikisha sauti zao kwa watawala pamoja na jamii zao zinazowazunguka.
Nikili kuwa niliyoyaona huko yalikuwa yanatisha kidgo,na niliwai kutaona hata mikoa zaid ya mitano.
Ili kufanikisha hadhima yangu iliyosheheni matumaini niliamua kuanza utunzi wa RIWAYA NILIYOIPA JINA LA SHIMO LA TAKA NDANI YA IKULU!
Sikuona haya hata hapa JF niliitangaza na nikaaidi kuitunga kwa umaili wa hali ya juu sanaa
CHOKO CHOKO ZAANZA KUTOKA KWA WASIOJULIKANA!
kwanza nilipigiwa simu na no ambazo sikuona umuhimu wa kuziifadhi zikinitaka nibadili JINA la riwaya yangu kwani ikulu ni pahala patakatifu hapawezi kuwa na shimo la TAKA!
Aliyenipigia hatukuelewana maana nilimwambia kabsa swezi badili mana hata ikulu kuna wananchi wanaishi je hawali? Kama wala je hizo takataka zitokanazo na vyakula vyao utupwa wap? Hapo alikata simu na kuniambia shauri yangu itanikosti!
Wapili huyu,yeye alinipigia na kunishaur kuwa Riwaya yangu niipeleke ikahaririwe pahala fulani kbla ya kuitoa nikamwambia mhariri hata mke wangu anaweza akakasirika na kuniambia shauri yangu itanikost skujali.
Wa tatu aliniambia ongera ila jiangalie JINA SIO ZURI
sasa nakarbia kuimalizia riwaya hii sjabdili chochote ila nimegundua katika taifa ili kuna watu wanaishi kidhanifu na si kiyakinifu mwisho wao watu hawa ni mbaya hasa nchi inapokuwa na wasomi wengi.
Karbuni BARAZANI MWA SIFILEO MJIPATIE NAKALA YA RIWAYA YA SHIMO LA TAKA NDANI YA IKULU.
Sent using Jamii Forums mobile app