Yaliyofichwa: Gari lililomchukua Mbowe na Mahabusu wengine lagoma kuwaka

Umemuona SSH mwenye diploma ndio mtu sahihi?
Mwenye PhD alikuwepo, alifanya nini zaidi ya kutuachia Legacy za hovyo? Kiongozi bora kabisa wa upinzani kwa kipindi cha miaka ishirini sasa hapa TZ unajua elimu yake? Profesa Lipumba pamoja na uprofesa wake si amekiua CUF? Acha ulimbukeni wa kuhudu mavyeti na madegree, ni makaratasi tu, elimu ya kweli ipo kwenye ubongo wa mtu na siyo makaratasi!!!!!
 
Hili jambo limejitokeza leo kwenye eneo la Mahakama kuu divisheni ya Uhujumu uchumi , wakati mahabusu wakirejeshwa gerezani

Shukrani kwa Askari Magereza walioamua kulisukuma gari hilo hadi likawaka .

Mytake : Mh Mbowe ni Public Figure , hastahili kupanda magari mabovu , na ni hatari kwake na kwa Nchi

View attachment 1954871
 
Mbowe ni kama wewe tu,tofauti anakuzidi ujanja
 
Hili jambo limejitokeza leo kwenye eneo la Mahakama kuu divisheni ya Uhujumu uchumi , wakati mahabusu wakirejeshwa gerezani

Shukrani kwa Askari Magereza walioamua kulisukuma gari hilo hadi likawaka .

Mytake : Mh Mbowe ni Public Figure , hastahili kupanda magari mabovu , na ni hatari kwake na kwa Nchi

View attachment 1954871
Hakuna cha ajabu, sijui nn kimenifanya kuingia kwenye huu uzi
 
Back
Top Bottom