Yaliotokea leo mahakama kuu

wakimataifa

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
942
167
haya watanzania ndio mjue hizo mahakama zenu za tanzania mjue watanzania wengi hapa nchini wanadhurumiwa haki zao na hizo mahakama kwa onyonge wao kwa kukosa hela mwenye hela anapewa ushindi wakati hana haki.

hakimu akikosa mahakama imekosea hakimu akifanya vizuri anasifiwa hakimu
 
Back
Top Bottom